Kama unaona Mbowe na Div 0 ameelimika kuliko Dr. Kitila mwenye Ph.D, basi hufai kujadiliana na baadhi yetu wana JF maana lazima una upungufu fulani. Sidhani kama una elimu ya kumzidi Mbowe. Kwa taarifa yako ni kuwa Kikwete ana honorable Ph.Ds, hizo hazina thamani ni za urafiki tu na mtu haajiriwi nazo. Nenda ukajielimishe labda itakusaidia kuacha kumshabikia Mbowe hata anapoboronga. Nakutakia elimu njema maana kama hatuko kwenye kiwango kinacho-shabihiana ni vigumu kujadiliana na wewe mada yeyote kwa busara.
Nyie Ndio Mnaitwa John Kisomo.
Kama unataka kujadiliana na watu wajivuni, waliojawa dharau na kuvimba vichwa kutokana na kupita shule, endelea kuwatafuta, najua wamo wengi tu, na wengine ndio kama huyo Kitila.
Aiyumukini ungejua theorists waliodadavua na kusimika mambo ambayo leo mnalazimika kujifunza kwa muda mrefu na hata kupeana medani na medani ni watu ambao binafsi hawakutumia michakato hiyo, na wengine hawakuwahi kukalishwa chini na kufundishwa usingekuwa na tambo za namna hii.
Huyo mbowe unayemuita ana division zero, aina ya maisha ambayo ama anaishi au anaweza kuamua kuishi kutoka na uwezo wa fedha alio nao sikutegemea mtu kama wewe anaweza kuja hapa na ku rant eti mbowe anadivision zero, hasa ukizingatia msimamo wako juu ya elimu ni mdogo sana, hivyo nilazima uko money oriented, utazitafuta pesa kwa elimu yako, lakini kama huu ndio msimamo wako hautozipata.
Na ukikimbilia kusema alimerithishwa baba yake, ukumbuke pia kujiuliza baba yako, na baba yake Kitila walikuwa wapi nao kuaccumulate na kuwachia nyie watoto zao, au la, kwa akili kama zako, hata kama baba yako angekuachia mara kumi ya mali alizoachiwa Mbowe, wewe, tena wote wewe na Kitila Mngezitapanya ka Pumba, kufikia umri wa mbowe mngekuwa tayari ni wagongea pombe na sigara, huku mabinti zetu wakifanya kazi za kujidhalilisha kwa ajiri ya kuwalisha.
Ni wazi, kama ni kweli na wewe ulipita shule, basi wewe na kitila, ni watu msio na utu, oooh, lo!!, tena mnajijua vizuri, ndio maana kitila na kupita kwake shule, anajua hawezi kuvaa viatu vya Mbowe ndio maana anamtanguliza Zitto, likely alikuwa anategemea cheo cha kuteuliwa.
Nenda Kamuambie Kitila, alichokifanya hakina tofauti na kukutana na Mwanamke mrembo, mwanamme rijali badala ya kutongoza, unaanza ohooo, rafiki yangu anakupenda sana.
Kitila amejidharirisha sana.