Waraka wa amani kwa Rais Samia. Imefikia wakati wa kuponya Taifa na kujenga siasa mpya

Yusufu R H Sabura

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2020
Posts
796
Reaction score
918
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezimungu mwingi wa Rehma kwa kutupatia nafasi nyingine ya pumzi kiasi cha kuweza kutoa maoni haya.

Pili nitoe pole, kwa watanzania wenzangu wote ambao kwa namna zote wamepotelewa na wapendwa wao, ama kusababishiwa ulemavu kufuatia yaliyotokea siku ya uchaguzi katika majiji ya Dar es salaam, Mwanza, arusha na kwingineko.

Tatu, nitoe pongezi kwa mshindi wa mbio za urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuweza kusecure nafasi hiyo kwa muhula mwingine wa kisiasa.

Kisheria, kama walivyotangulia kutoa maoni raia wengine katika jukwaa hili ni kuwa, Rais Samia ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania whether we may like it or not. Kwa wale waliosoma sana wangemuita au wanamuita PRESIDENT DEJURE, yaani ni Rais kwa mujibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hivyo basi kwa vile yeye tayari ni mamlaka kamili ya taifa letu, yaani SOVEREIGN, anayo haki ya kutiiwa kulingana na mamlaka yake toka kwa wananchi wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini pia kutambulika kidiplomasia na mataifa mengine, binafsi nimefurahishwa na Urusi kuitambua serikali yetu, hivyo kuongelea pembeni Raisi hakuwezi kumfanya asiwe Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sasa kwa umuhimu niende moja kwa moja kwenye dhumuni la kuandika hiki ninachokiita waraka wa amani kwa Rais Samia Suluhu Hassani.

Hivi karibuni yametolewa maoni mengi sana na watu mbalimbali wenye mawazo tofauti tofauti, wengine wakichagua na wengine kutokuchagua amani kwa taifa la Tanzania. Nataka nikwambie mheshimiwa Raisi, amani kwa taifa hili haiepukiki, kimsingi taifa au nchi ili iwe, basi ni lazima pawepo na mambo manne makuu, kwanza watu, pili mipaka, tatu serikali na nne uhuru kamili yaani sovereignity, sasa kwa taifa la Tanzania kuna kipengele cha ziada kinaitwa AMANI, bila neno amani Mheshimiwa Raisi hatuwezi kutambulika kama watanzania.

Katika mengi yaliyozungumzwa, ni suala la maridhiano Pamoja na interim government yaani serikali ya mpito, swali la msingi hapa ni je nani sasa ndo awe Raisi wa serikali ya mpito kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya amani na maridhiano ya kitaifa?

Kila msemaji kasema la kwake nami pia naomba niseme la kwangu na pia niombe radhi kama nitazikera mamlaka, lengo ni AMANI NA MARIDHIANO ya kitaifa.

Mheshimiwa Rais, kwa vile sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari zinakutambua kama Mkuu wa nchi, vivyo hivyo kwa jumuiya za kimataifa, na kwa vile hii ndio ile awamu yako ambayo tunadhani ndio ya mwisho kwa wewe kugombea uraisi wa JMT, hivyo basi ninashauri kuwa :

Ukiwa kama Amiri jeshi mkuu wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, kaa kwa ukaribu sana vyombo hivyo na hakikisha AMANI ya taifa letu unailinda kwa gharama yeyote ile mpaka utakapomaliza muda wako.

  • Kwa wanaodai serikali ya mpito ili MARIDHIANO YA AMANI yafanyike, ikiwa utakubali, wewe ndo uitwe Raisi wa mpito na serikali yako itakuwa ya mpito hivyohivyo kwa vile kiasili tayari mpo madarakani kisheria. Halafu safari yetu ya maridhiano ya amani itaanzia hapo. (kwa vile CHADEMA hawakushiriki uchaguzi na wanakana kuhusika na fujo hizo basi hata maridhiano hayataahusu kama nitakavyoeleza mbele). Usikubali kufanya maridhiano na CHADEMA bado sio dawa.
  • Baada ya declaration ya serikali ya mpito ambayo kiasili ipo madarakani, kwa maslahi ya kuzika tofauti zote za kiitikadi, msajili wa vyama vya siasa avifutie usajili vyama vyote vilivyosajiliwa kwa ajili ya shughuli za kisiasa ikiwemo chama tawala. Kwa maana hiyo Raisi na wabunge mtafanya shughuli zenu za kiserikali bila kujali matakwa ya jumuiya zenu za vyama na badala yake itakuwa wananchi wa JMT.
  • Bunge la bila vyama litakuwa na kazi moja tu ya kujadili na kupitisha bajeti, hili si jambo jipya kutokea !, kwa sisi tuliobahatika kusoma historia za mabunge na mabaraza, kazi ya msingi ya vyombo hivi ilikuwa kujadili hali ya Uchumi wa wananchi na kujadili kodi ya kiwango gani itozwe na mamlaka kulingana na Uchumi wa wananchi. Rejea Magna Carter.
  • Halafu, suala la MARIDHIANO YA AMANI YA KITAIFA lifanywe bila kisasi wala kumuumiza mtu yeyote, na vyombo vya utoaji elimu, kinara ikiwa ni Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam na vyuo vikuu vingine, viongozi wa dini zote, vyombo vya habari, asasi za kiraia, makundi ya vijana na wengine watakaoonekana kufaa katika hili, kisiwekwe chama chochote ndio mana nikasema hapo mwanzo vifutwe vyote.
  • Vyombo nilivyovitaja hapo juu, vyuo vikuu, viongozi wa dini, vyombo vya habari, asasi za kiraia nk, ndivyo viwe na kazi kubwa ya kutunga sheria za taifa jipya, viandike Katiba mpya, sheria mpya za uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi ujao, na uundwaji wa tume huru ya uchaguzi ujao.
  • Baada ya hapo sasa, serikali kupitia ofisi ya msajili itakayokuwa imeundwa upya, itangaze nafasi za usajili wa vyama vipya vya kisiasa ambavyo vitatokana na mapenzi na maamuzi ya wananchi wenyewe. Nashauri vyama viwili tu kwa kuanzia, ambavyo ndivyo vitafungua ukurasa mpya wa siasa za vyama vingi katika taifa letu. Raisi na wabunge watakaokuwa madarakani wasiruhusiwe kujihusisha kwa vyovyote na siasa za uchaguzi utakaokuja, mpaka uchaguzi ule uishe ndipo waruhusiwe kuingia katika siasa za vyama.
STRATEGIC WARNING

Hebu tutupie jicho letu katika historia ya taifa la Rwanda mwaka 1994, waliuana kwa wingi wa idadi kutokana tofauti za kimakabila zilizopandikizwa na wakoloni, maafa yale mpaka leo hii yanakumbukwa na dunia nzima. Sisi hapa Tanzania, hatuna kabisa mambo ya ukabila nani jambo la kushukuru, lakini tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2025, tishio letu kubwa ni mgawanyo mkali wa itikadi za kisiasa, ingawaje wapo wasiolitakia amani taifa hili kwa kuanzisha habari za uislamu na ukristo na ubara na uzanzibari, haya ni mambo ya kukemea bila woga hata kidogo.

Wasiwasi wangu ni kwamba, iwapo tutakataa kuvifuta vyama vyetu vya kisiasa vya zamani, najua ni ngumu kumeza, na kuanzisha mfumo mpya wa vyama vya siasa utakaojali hisia za wananchi wote, tutagombana kwa sababu yule kavaa kombati la kijani na yule kavaa kombati la kaki kila mmoja akimnyooshea kidole mwenzie kuwa ndiye mchokozi.

Maumivu yake yatakuwa ni ya kiwango kikubwa sana kulinganisha na idadi yetu kama watanzania,

AJENDA YA MAENDELEO KATIKA KIPINDI CHA MPITO.

Mheshimiwa Raisi, itatulazimu kama watanzania kuamini kuwa, katika hicho kipindi cha mpito itakuwa vyema kuzingatia zaidi maendeleo ya wananchi au watu zaidi kuliko maendeleo ya vitu. Serikali ya mpito ijikite katika elimu, afya, ajira kwa vijana na usawa kwa jamii. Miradi mikubwa mikubwa isiwe mingi, ili mwimbo uwe ni wananchi wananchi wananchi. Ukifanya hivi Mhe Raisi,kutapunguza joto la fukuto katika mioyo ya unaowaongoza, utarudisha Imani kubwa ya wananchi kwa serikali yao na kuunda misingi imara ya taifa lao jipya.

HATARI YA KUTOCHUKUA HATUA YA SERIKALI YA MPITO.

Mheshimiwa Raisi, sipo hapa kukulazimisha ufanye ninavyofikiria, lakini kwa maoni yangu, ikiwa hatua hizi hazitachukuliwa kwa haraka, japo sina hakika lakini kutakuwa na wasiwasi mkubwa wa uwezekano wakutokea makelele na fujo za kukera. Njia hii ya makelele na kukaripiana itafungua mlango wa wanaojiita walinzi wa amani kwa taifa letu.

Walinzi wa amani watajifanya wanakuja kutoa misaada lakini kumbe wamebeba ajenda za siri zisizofaa kwa taifa letu. Sayansi ya siasa inamtambua mnyama mmoja anaitwa ‘FARASI WA TROY’, Huyu farasi ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa na ndiye huwabeba wanaojiita walinzi wa amani.

Historia ya ulindaji wa amani na maneno mengine yafananayo, inatuambia kuwa, misaada hiyo inaweza kuonekana kama dawa katika siku za mwanzo, lakini mara zote imekuwa ni sumu kwa uhuru, amani na mustakabali wa mataifa kadhaa yaliyojaribiwa.

Mheshimiwa Raisi, ndio kusema kwamba ulinifurahisha sana ulipowaambia wana SADC kuwa wasitufundishe cha kufanya, kwa maana mtu yeyote mwenye akili angejua walichomaanisha, katika kipindi hiki ndugu Mkuu wa nchi, maoni ya kimataifa yanaweza kuwa na athari kubwa katika siasa zetu za ndani, hivyo karipio la wazi ni mwanzo wa usalama wa taifa letu.

Mwisho ndugu Mkuu wa nchi, Najua ujumbe huu utakufikia hapo Chamwino jengo la buku, nataka nikwambie na nikupe moyo kuwa unayo nafasi ya kipekee na ya kihistoria ya kuleta maridhiano ya kweli,maendeleo ya wananchi, na mfumo mpya wa kisiasa unaomilikiwa na wananchi wenyewe. Tunakuomba uwe acting interim president, usisite kamwe kuondoa visiki vya siasa za zamani, ili iwe historia kwako na kwa raia unaowaongoza.

Mungu akubariki sana ndugu Mkuu wa nchi.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

MUNGU IBARIKI AFRIKA
.​
 
Alisha jinasibu mara kadhaa yeye hababaiki na maneno ya Watanzania, ili mradi watu wa nje wanamsifu na kumpongeza kwake haina shida...

Kwahiyo hizi ni ngonjera Mkuu ambazo yeye mwenyewe hataki kuzisikia kwenye maskio yake.
 
Ushauri wako ni mzuri, ila ungeweza kufanya kazi iwapo Samia yuko madarakani kwa ajili ya kuwatumikia watanzania. Huyo yuko madarakani ili kulinda maslahi ya wala cake ya taifa. Ndio maana ametangazwa kwa idadi ya kura hewa bila aibu. Kisha akamwaga damu.

Naona unataka yawepo maridhiano ila umewataja cdm katika hali hasi. Inaonekana ww ni mwanaccm unayeumizwa na uwepo wa cdm, kwani unaona kama cdm ndio chama kilichochangia kuwafanya wananchi wapoteze imani na ccm. Iko hivi, ccm watakapoamini na kukubali kuwa hiki si kizazi cha ccm, hizi aibu za kujitangazia ushindi kwa kura hewa zitaisha, na amani itatamalaki. Ccm wafahamu wakati ukuta.
 
Maridhiano ni suala losilokwepeka
 
Raisi Samia sikiliza vilio vya wananchi wa jamhuri ya muungano ya Tanzania 🇹🇿
 
Ushauri wako ni mzuri, ila ungeweza kufanya kazi iwapo Samia yuko madarakani kwa ajili ya kuwatumikia watanzania. Huyo yuko madarakani ili kulinda maslahi ya wala cake ya taifa. Ndio maana ametangazwa kwa idadi ya kura hewa bila aibu. Kisha akamwaga damu.

Naona unataka yawepo maridhiano ila umewataja cdm katika hali hasi. Inaonekana ww ni mwanaccm unayeumizwa na uwepo wa cdm, kwani unaona kama cdm ndio chama kilichochangia kuwafanya wananchi wapoteze imani na ccm. Iko hivi, ccm watakapoamini na kukubali kuwa hiki si kizazi cha ccm, hizi aibu za kujitangazia ushindi kwa kura hewa zitaisha, na amani itatamalaki. Ccm wafahamu wakati ukuta.
Post za kimkakati zitakuja nyingi sana hizi
 
Kwa

Kwanza kabisa ajitokeze hadharani na kukili kwamba kafanya wizi wa kura wa kiwango cha ajabu kabisa na poa aliwaagiza askari wake kufanya mauaji lakini sio kwa kiwango kilichotokea,hapo nitamsamege..tofauti na hivi nitaendelea kumuombea kifo cha mates kimfike
 
Ushauri wako ni mzuri, ila ungeweza kufanya kazi iwapo Samia yuko madarakani kwa ajili ya kuwatumikia watanzania. Huyo yuko madarakani ili kulinda maslahi ya wala cake ya taifa. Ndio maana ametangazwa kwa idadi ya kura hewa bila aibu. Kisha akamwaga damu.

Naona unataka yawepo maridhiano ila umewataja cdm katika hali hasi. Inaonekana ww ni mwanaccm unayeumizwa na uwepo wa cdm, kwani unaona kama cdm ndio chama kilichochangia kuwafanya wananchi wapoteze imani na ccm. Iko hivi, ccm watakapoamini na kukubali kuwa hiki si kizazi cha ccm, hizi aibu za kujitangazia ushindi kwa kura hewa zitaisha, na amani itatamalaki. Ccm wafahamu wakati ukuta.
Tunataka uwajibikaji
 
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezimungu mwingi wa Rehma kwa kutupatia nafasi nyingine ya pumzi kiasi cha kuweza kutoa maoni haya.

Pili nitoe pole, kwa watanzania wenzangu wote ambao kwa namna zote wamepotelewa na wapendwa wao, ama kusababishiwa ulemavu kufuatia yaliyotokea siku ya uchaguzi katika majiji ya Dar es salaam, Mwanza, arusha na kwingineko.

Tatu, nitoe pongezi kwa mshindi wa mbio za urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuweza kusecure nafasi hiyo kwa muhula mwingine wa kisiasa.

Kisheria, kama walivyotangulia kutoa maoni raia wengine katika jukwaa hili ni kuwa, Rais Samia ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania whether we may like it or not. Kwa wale waliosoma sana wangemuita au wanamuita PRESIDENT DEJURE, yaani ni Rais kwa mujibu wa sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hivyo basi kwa vile yeye tayari ni mamlaka kamili ya taifa letu, yaani SOVEREIGN, anayo haki ya kutiiwa kulingana na mamlaka yake toka kwa wananchi wote wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lakini pia kutambulika kidiplomasia na mataifa mengine, binafsi nimefurahishwa na Urusi kuitambua serikali yetu, hivyo kuongelea pembeni Raisi hakuwezi kumfanya asiwe Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Sasa kwa umuhimu niende moja kwa moja kwenye dhumuni la kuandika hiki ninachokiita waraka wa amani kwa Rais Samia Suluhu Hassani.

Hivi karibuni yametolewa maoni mengi sana na watu mbalimbali wenye mawazo tofauti tofauti, wengine wakichagua na wengine kutokuchagua amani kwa taifa la Tanzania. Nataka nikwambie mheshimiwa Raisi, amani kwa taifa hili haiepukiki, kimsingi taifa au nchi ili iwe, basi ni lazima pawepo na mambo manne makuu, kwanza watu, pili mipaka, tatu serikali na nne uhuru kamili yaani sovereignity, sasa kwa taifa la Tanzania kuna kipengele cha ziada kinaitwa AMANI, bila neno amani Mheshimiwa Raisi hatuwezi kutambulika kama watanzania.

Katika mengi yaliyozungumzwa, ni suala la maridhiano Pamoja na interim government yaani serikali ya mpito, swali la msingi hapa ni je nani sasa ndo awe Raisi wa serikali ya mpito kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya amani na maridhiano ya kitaifa?

Kila msemaji kasema la kwake nami pia naomba niseme la kwangu na pia niombe radhi kama nitazikera mamlaka, lengo ni AMANI NA MARIDHIANO ya kitaifa.

Mheshimiwa Rais, kwa vile sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari zinakutambua kama Mkuu wa nchi, vivyo hivyo kwa jumuiya za kimataifa, na kwa vile hii ndio ile awamu yako ambayo tunadhani ndio ya mwisho kwa wewe kugombea uraisi wa JMT, hivyo basi ninashauri kuwa :

Ukiwa kama Amiri jeshi mkuu wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, kaa kwa ukaribu sana vyombo hivyo na hakikisha AMANI ya taifa letu unailinda kwa gharama yeyote ile mpaka utakapomaliza muda wako.

  • Kwa wanaodai serikali ya mpito ili MARIDHIANO YA AMANI yafanyike, ikiwa utakubali, wewe ndo uitwe Raisi wa mpito na serikali yako itakuwa ya mpito hivyohivyo kwa vile kiasili tayari mpo madarakani kisheria. Halafu safari yetu ya maridhiano ya amani itaanzia hapo. (kwa vile CHADEMA hawakushiriki uchaguzi na wanakana kuhusika na fujo hizo basi hata maridhiano hayataahusu kama nitakavyoeleza mbele). Usikubali kufanya maridhiano na CHADEMA bado sio dawa.
  • Baada ya declaration ya serikali ya mpito ambayo kiasili ipo madarakani, kwa maslahi ya kuzika tofauti zote za kiitikadi, msajili wa vyama vya siasa avifutie usajili vyama vyote vilivyosajiliwa kwa ajili ya shughuli za kisiasa ikiwemo chama tawala. Kwa maana hiyo Raisi na wabunge mtafanya shughuli zenu za kiserikali bila kujali matakwa ya jumuiya zenu za vyama na badala yake itakuwa wananchi wa JMT.
  • Bunge la bila vyama litakuwa na kazi moja tu ya kujadili na kupitisha bajeti, hili si jambo jipya kutokea !, kwa sisi tuliobahatika kusoma historia za mabunge na mabaraza, kazi ya msingi ya vyombo hivi ilikuwa kujadili hali ya Uchumi wa wananchi na kujadili kodi ya kiwango gani itozwe na mamlaka kulingana na Uchumi wa wananchi. Rejea Magna Carter.
  • Halafu, suala la MARIDHIANO YA AMANI YA KITAIFA lifanywe bila kisasi wala kumuumiza mtu yeyote, na vyombo vya utoaji elimu, kinara ikiwa ni Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam na vyuo vikuu vingine, viongozi wa dini zote, vyombo vya habari, asasi za kiraia, makundi ya vijana na wengine watakaoonekana kufaa katika hili, kisiwekwe chama chochote ndio mana nikasema hapo mwanzo vifutwe vyote.
  • Vyombo nilivyovitaja hapo juu, vyuo vikuu, viongozi wa dini, vyombo vya habari, asasi za kiraia nk, ndivyo viwe na kazi kubwa ya kutunga sheria za taifa jipya, viandike Katiba mpya, sheria mpya za uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi ujao, na uundwaji wa tume huru ya uchaguzi ujao.
  • Baada ya hapo sasa, serikali kupitia ofisi ya msajili itakayokuwa imeundwa upya, itangaze nafasi za usajili wa vyama vipya vya kisiasa ambavyo vitatokana na mapenzi na maamuzi ya wananchi wenyewe. Nashauri vyama viwili tu kwa kuanzia, ambavyo ndivyo vitafungua ukurasa mpya wa siasa za vyama vingi katika taifa letu. Raisi na wabunge watakaokuwa madarakani wasiruhusiwe kujihusisha kwa vyovyote na siasa za uchaguzi utakaokuja, mpaka uchaguzi ule uishe ndipo waruhusiwe kuingia katika siasa za vyama.
STRATEGIC WARNING

Hebu tutupie jicho letu katika historia ya taifa la Rwanda mwaka 1994, waliuana kwa wingi wa idadi kutokana tofauti za kimakabila zilizopandikizwa na wakoloni, maafa yale mpaka leo hii yanakumbukwa na dunia nzima. Sisi hapa Tanzania, hatuna kabisa mambo ya ukabila nani jambo la kushukuru, lakini tangu baada ya uchaguzi wa mwaka 2025, tishio letu kubwa ni mgawanyo mkali wa itikadi za kisiasa, ingawaje wapo wasiolitakia amani taifa hili kwa kuanzisha habari za uislamu na ukristo na ubara na uzanzibari, haya ni mambo ya kukemea bila woga hata kidogo.

Wasiwasi wangu ni kwamba, iwapo tutakataa kuvifuta vyama vyetu vya kisiasa vya zamani, najua ni ngumu kumeza, na kuanzisha mfumo mpya wa vyama vya siasa utakaojali hisia za wananchi wote, tutagombana kwa sababu yule kavaa kombati la kijani na yule kavaa kombati la kaki kila mmoja akimnyooshea kidole mwenzie kuwa ndiye mchokozi.

Maumivu yake yatakuwa ni ya kiwango kikubwa sana kulinganisha na idadi yetu kama watanzania,

AJENDA YA MAENDELEO KATIKA KIPINDI CHA MPITO.

Mheshimiwa Raisi, itatulazimu kama watanzania kuamini kuwa, katika hicho kipindi cha mpito itakuwa vyema kuzingatia zaidi maendeleo ya wananchi au watu zaidi kuliko maendeleo ya vitu. Serikali ya mpito ijikite katika elimu, afya, ajira kwa vijana na usawa kwa jamii. Miradi mikubwa mikubwa isiwe mingi, ili mwimbo uwe ni wananchi wananchi wananchi. Ukifanya hivi Mhe Raisi,kutapunguza joto la fukuto katika mioyo ya unaowaongoza, utarudisha Imani kubwa ya wananchi kwa serikali yao na kuunda misingi imara ya taifa lao jipya.

HATARI YA KUTOCHUKUA HATUA YA SERIKALI YA MPITO.

Mheshimiwa Raisi, sipo hapa kukulazimisha ufanye ninavyofikiria, lakini kwa maoni yangu, ikiwa hatua hizi hazitachukuliwa kwa haraka, japo sina hakika lakini kutakuwa na wasiwasi mkubwa wa uwezekano wakutokea makelele na fujo za kukera. Njia hii ya makelele na kukaripiana itafungua mlango wa wanaojiita walinzi wa amani kwa taifa letu.

Walinzi wa amani watajifanya wanakuja kutoa misaada lakini kumbe wamebeba ajenda za siri zisizofaa kwa taifa letu. Sayansi ya siasa inamtambua mnyama mmoja anaitwa ‘FARASI WA TROY’, Huyu farasi ni hatari sana kwa mustakabali wa taifa na ndiye huwabeba wanaojiita walinzi wa amani.

Historia ya ulindaji wa amani na maneno mengine yafananayo, inatuambia kuwa, misaada hiyo inaweza kuonekana kama dawa katika siku za mwanzo, lakini mara zote imekuwa ni sumu kwa uhuru, amani na mustakabali wa mataifa kadhaa yaliyojaribiwa.

Mheshimiwa Raisi, ndio kusema kwamba ulinifurahisha sana ulipowaambia wana SADC kuwa wasitufundishe cha kufanya, kwa maana mtu yeyote mwenye akili angejua walichomaanisha, katika kipindi hiki ndugu Mkuu wa nchi, maoni ya kimataifa yanaweza kuwa na athari kubwa katika siasa zetu za ndani, hivyo karipio la wazi ni mwanzo wa usalama wa taifa letu.

Mwisho ndugu Mkuu wa nchi, Najua ujumbe huu utakufikia hapo Chamwino jengo la buku, nataka nikwambie na nikupe moyo kuwa unayo nafasi ya kipekee na ya kihistoria ya kuleta maridhiano ya kweli,maendeleo ya wananchi, na mfumo mpya wa kisiasa unaomilikiwa na wananchi wenyewe. Tunakuomba uwe acting interim president, usisite kamwe kuondoa visiki vya siasa za zamani, ili iwe historia kwako na kwa raia unaowaongoza.

Mungu akubariki sana ndugu Mkuu wa nchi.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

MUNGU IBARIKI AFRIKA
.​
Atoke tu, unawaongoza aje uliowaulua ndugu zao? Yeye si mmoja wao kwa matendo yake! Atoke na genge lake la wahuni na kigaidi!
 
Tatu, nitoe pongezi kwa mshindi wa mbio za urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kuweza kusecure nafasi hiyo kwa muhula mwingine wa kisiasa.
Nimeishia kwenye aya hii kusoma uzi wako. Nimegundua kuwa wewe ni chawa wa huyo muuaji.
 
Back
Top Bottom