Waraka wa Bashir Yakub: Tundu Lissu japo unaumwa lakini umeshindwa

Kama kweli wanatulipa sisi bilioni 700 badala ya wao kutushitaki MIGA na kuwalipa mabilioni kama alivyotuaminisha ndugu yetu Tundu Lissu, basi kuanzia leo nina mashaka makubwa na ufahamu wa sheria za kimataifa wa Tundu Lissu. Naomba sana amuachie profesa Kabudi masuala ya kimataifa yeye aendelee na hizi kesi za kuwatetea akina Wema, Lema na mafisadi hizo kesi anaziweza sana na siyo hizi za kimataifa.
 
Nchi inafaidika sasa wewe unamwitaje mwenzako mbwa!! Ina maana umechukia kwa marekebisho yanayo kwenda kufanyika nasisi watanzania tufaidike?
 


Hii nchi ina wajinga wengi sana, na ni hasara kwa taifa, nadhan moderators mlitakiwa kuwa mnaondoa ujinga kama huu, hili jinga halijui hadi hawa ndugu wametumia akili ya Lisu ? Lisu Si ndo alitoa ushauri Wa kujiondoa Kwanzaa kwenye haya makubaliano kama Miga na kwingineko ? Do u think we are done ? We bure kabisa
 
Naona wafuasi wa mazwazwa wanafurahia kulishwa uzwazwa na viongozi wao mazwazwa wa awamu ya 5
 

From 450 trillion to 700 billion na unashangilia? Are you serious? Kama ni hizo concession na wawekezaji hata Kikwete alifanya bila mbwembwe nyingi akapata naye kidogo.
 
Tunagombania bil 700; kweli hii ni dharau kubwa sana kwetu
 
JE, WAMELIPA DENI, AU WAMEPUNGUZA?

Kwanza nijipambanue kama nilivyo wahi andika hapo awali kuwa napenda kuona tunashinda vita hii ya uchumi. Ila nilitahadharisha sifa za mabepari kuwa wao hawana "win to win situation" lazima wakulalie tu.

Pili, ripoti zote mbili za maprofesa, zilieleza jinsi nchi ilivyo tafunwa, Rais mara moja akaanza kutafuta sovereignty of our resources! Tukaambiwa wale "wanaume" tunawadai trillion 424, ambazo kwa bajeti yetu ya trillion 31, zingeweza kuhudumia bajeti ya nchi kwa takribani miaka 13!

Na fedha hizo zinaingia mara 8 ya deni la taifa linalo kadiriwa kuwa trillion 51.

Sasa Leo nasikia wamelipa takribani tubillion 600+ hata tutrillion tumoja hatujafika!! Duuh!

Yaani unamuita mdeni wako, yamkini unamdai laki 100,000, Halafu anakulipa mia 600?? (Rudi clinic kachukue dawa)

TRA walituaminisha trillion 400+ tukaketi tukisubiri muda wote, labda tutapata Noah au million 7.5 kila Mtanzania. Leo zimeyeyuka mithili ya tone la maji katika bahari!

Sasa katika asilimia 100% ambayo ni trillion 400+ tulizo tegemea kupata, tumeambulia asilimia ngapi?

(1/400)×100%= 0.25%! Maana yake kwenye tegemeo la asilimia 100% tumeambulia 0.25%. Kwa hiyo 0.25% ndiyo pesa ya uaminifu wa kibiashara. Asilimia iliyo baki 99.75%, puuuuh!!!

Turudi clinic tutafute dawa!

#Nb! Haya mambo kama huwazi nje ya box, huwezi yaelewa.
 
Tujuze MIGA. Hapa tumekubaliana matatizo yetu tuyamalize na mahakama zetu hapa tiyari tumejitoa miga hapa hakuna mshindi ushindi ni wawa Tanzania
 
Serikali nzima inagombana na kivuli cha Lissu aliye kitandani aibu still mmeshindwa hoja.
 
Ilo limeshapita, aliyekuja hapa ni mtuwao anaye aminika. Deal done.
 
We huna akili. Ulitaka aseme kwamba wameshinwa? Jibu hoja hapo juu kuwa je tumenyolewa kama lisu alivyodai? Bora lilipochapwa lisasi tu mana halina maana zaidi ya kuwa kibaraka wa wazungu


Hilo swali alipaswaa
ajibu Tundu Lisu Mwenyewe. Ajabu hutumii akili kugundua kua tundu lisu yupo kwenye hali tete kiafya, hivyo hawezi kulitokea hukumu sasa hivi. Mpaka arudi.

Katika Natural justice unatakiwa kumpa nafasi Tundu lisu ajitetee kabla huja muhukumu Kua ni Muongo am a vinginevyo

Lakini kwakua wanamuogopa walitaka haya yatokee akiwa hayuko hai ili wapate pa kuficha sura zao.

Binafsi nina uhakika bado Tundu lisu yupo sahihi.
Kwasababu hakuna mahali panasema tunalipwa fedha hizo kwa wizi wa acacia. Hii Ina maana serikali imeshabadilisha gia hewani kwa aibu.
What if see in all imesema hayi kwenye press for public consumption?

Tundu lisu alipigwa risasi kwa kufichua siri kua ndege ya bombadia imekamatwa.
Nina uhakika akifichua kilichojificha kwenye hizi bilioni 600s itakua aibu ya karne.

Pia
Numbers don't lie.
Kutoka trillions mpaka tubilioni. Tena hili sio Deni. Hatulipwi tena. Zingatia.

Tumeshanyolewa mavuz* tayari.
[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Una matatizo ya akili. Jiongeze katika kufikiri. Haya uliyoyaandika yajibiwa kiuwepesi sana. Kimsingi, umeonyesha ni kiasi gani ulivyo mjinga na hila za kimataifa za kumnyamazisha lofa mwenye mali. Wewe endelea kukenua meno kwa kuahidiwa kulipwa dola 300m ambayo ni 0.15 percent ya unachostahili kulipwa. Isitoshe hiyo 0.15 percent inahitaji kuthibitishwa na maboss London na wala si deni bali good will. London inaweza kukataa kulipa. Lofa wewe unakenua meno tu na kushangalia!!! Majuha wa aina yako wanapatikana Lumumba tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…