fute alexander
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 382
- 148
Uko very biased, wanalipa 1/16 tu!!
Asante jinga lao, je zile kozi ambazo tra aliaema anawadai acacia zitalipwa? Au kusikia dola milion 300 ndo basi tenaNapenda kutoa pole kwa lissu na kumtakia maisha mema na augue pole.
Nampenda lissu hasa katika hali yake ya uimara wa kukosoa na kutoa tips za ushauri ingawa kuna muda hutoa ushauri usio sahihi au ushauri katika muda ambao sio muafaka au katika njia zisizo sahihi.
Napenda kusema kuwa maoni ya lissu katika sakata hili la makanikia ambalo limeishia pazuri yalikuwa na sifa nyingi ikiwemo kuonya,kupotosha,kutisha ,kurekebisha na kujitafutia umaarufu.
Kwa upande mmoja yalikuwa na uzuri wake lakini kwa upande mwingine yalikuwa ni nusunusu,yanapotosha,yanatisha,hayana staha,yenye kurudisha nyuma,ya kizamani sana,yenye hofu,ya rushwa na sifa nyingi nyingine ambazo kama Serikali ,jamii na watanzania wangeyakubali tusingefikia hapa tulipo leo.
Siko hapa kumlaumu sana mgonjwa Tundu lissu pengine msimamo wangu huu unachangiwa na maumivu anayoyapata toka apigwe risasi na sasa akiendelea kupambania maisha yake.
Nilizoea kupambana na lissu kwa hoja ...yaani pindi alipoitisha conference ya kupotosha umma ..nilikuja na thread katika jamvi hili muhimu kupingana naye...na nitaendelea kufanya hivyo.
leo hii mimi na wananchi wengi wa Tanzania wana furaha kubwa moyoni ya kuweza kupambana na unyonyaji katika hali zake zote.
Leo hii watanzania wote wanasimama wima wakimpongeza kiongozi wao Dr.John Pombe Magufuli kwa kuthubutu na kufanikiwa kuanzisha mapambano mapya dhidi ya mafisadi nchini na wawekezaji wanaotuibia.
Kwa mafanikio tuliyofikia leo hatuna budi kuipongeza Serikali na vyombo vyake vyote,wananchi wazalendo na wanaJF makini ambao walisimama kidete katika suala la madini na makanikia iwe miaka hii au zamani.
Pia hatuna budi kuwapongeza walioipinga approach ya Serikali katika swala hili huku wakiwa na nia njema ya kuhakikisha Tanzania inafaidika .
Sioni aibu kumponda yoyote yule aliyeinanga Serikali katika mchakato huu kwa nia ya kuiharibia Serikali ili tu ajijenge kisiasa.Huyu anastahili adhabu kali sana ya USALITI VITANI!anafaa kuhukumiwa vilivyo kabla,wakati au baada ya mchakato huu,awe ametokea kokote!!
Tundu lissu alitoa maoni yake katika mchakato huu iwe informal au formal no one knows.
For the records:Tundu lissu alikosea katika njia ya kutoa maoni yake katika mchakato huu!Alikosea pengine nyuma yake akiwa na dhamira njema.
Anaweza kuwa alikuwa na point muhimu lakini timing na approach yake ilikuwa mbovu na ya kupotosha au kuturudisha nyuma kwenye uwanja wa mapambano.
Leo hii tumefikia pazuri sana na atakayepinga atapinga bila facts.
Cha kujifunza kama watanzania ni kimoja tu...ni lazima tuwe na umoja vitani!
Maoni na approach yetu katika vita ni lazina yalenge kulifanya Taifa lishinde na sio ushindi wa kibinafsi au ushindi wa adui yetu hata kama adui anatusaidia kimaslahi.
Tundu lissu alitualert kuhusu uwezekano wa kushtakiwa MIGA lakini siamini kuwa aliwasilisha caution na way foward kwa Rais juu ya mapambano haya (hilo ni kosa na anapaswa kulijutia).
Tundu lissu alitutisha sana! ajirekebishe kwa kuendelea kutuelimisha na sasa apeleke maoni ya kizalendo kwa mamlaka husika kwa manufaa ya Taifa by any means necessary and at all costs.
Pamoja na yote sasa ni muda muafaka wa watanzania kuwa wamoja sana katika lengo la kupambana na wasio watanzania.Tufarakane katika kupambania umoja wetu dhidi ya wanaotuharibia!Tusipambane na Serikali kisiasa kw minajili ya vyama au maslahi yetu.
Hopeless commentsHii nchi ina wajinga wengi sana, na ni hasara kwa taifa, nadhan moderators mlitakiwa kuwa mnaondoa ujinga kama huu, hili jinga halijui hadi hawa ndugu wametumia akili ya Lisu ? Lisu Si ndo alitoa ushauri Wa kujiondoa Kwanzaa kwenye haya makubaliano kama Miga na kwingineko ? Do u think we are done ? We bure kabisa
Ropokaji lile bora lingekufa tu
Dah. Ungeshauri nini kifanyike labda? [emoji87]mbona husemi wamekataa kulipa trilioni 425!!
nitajie hizo dola milioni 300 ni za nini?
halafu 50/50 ya profit huelewi kitakachotokea,...watakuwa wanareport loss na utasubiri sana kupata hiyo nusu ya faida yao...tumepigwa hapo na wazungu
Jamani Noah zetu zimeota mbawaNi bora tungeshtakiwa MIGA kuliko kipigo tulichopata. Madai ya sh. 425 trilioni tuje kulipwa 673 bilioni!? Yaani hata trilioni moja haifiki! Na zile Noah zetu je?
wapumbavu nye muwe waelewa haya mambo yamechukua 16 yrs kumbukumbu zngneAfadhali tungeshtakiwa, hapo tumedharauliwa kwa thamani kiduchu
What is 300m USD kwa Barrick na madai ya USD 194 bn, it's just peanut
Hamna haja ya kutoa lugha kali !! Tusubiri "MWANASHERIA WETU MSOMI" Atafungua kesi "MAHAKAMA YA KIMATAIFA" Kupinga makubaliano yaliyofikiwa kwani wale WAZUNGU WAMESAINI WAKIWA WAMELEWA !!![/QUOTE
HUYO FALA KAMA ANAJUA SHERIA AWASHTAKI MADAKTARI WALIOMPASUA BILA IDHINI YAKE
Sijaelewa partner 50% 50% , unajua shareholding structure ya barick?, share zimepanda mpaka 16% , maana yake nini?!. OK sh billion 600 ndio fidia ya dhahabu yote iliyoibwa toka 1998?.waiter ongezaa na meza ile.Kwanza pole kwa matatizo yaliyokupata, ila tunasubili baada ya kupona kabisa uje utuambie ni lini acacia wataishitaki Tanzania huko Miga?
Ukiwa huko Nairobi taarifa zikufikie kwamba Acacia wamekubali kuilipa Tanzania dola za kimarekani millioni 300.
Pia wamekubali kuwa partner na Tanzania kwa 50/50 !! Na share zimepanda hadi 16% !
Hongera rais Magufuli ,hongera watanzania.
Ndo ujue sasa Lisu sio km wewe wa kufa na risasi 1
grossly invalid advice!Na pili alishauri tujitoe MIGA ili hata tunapowashughulikia wawekezaji kusiwe na mwanya wa kuperekwa mahakama za biashara za kimataifa
Bitch Calm down your small cunt ass holeRopokaji lile bora lingekufa tu
**** weweRopokaji lile bora lingekufa tu
yaan ww fala ndo unasema ulikuwa unapambana na lissu?;Napenda kutoa pole kwa lissu na kumtakia maisha mema na augue pole.