Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Jamani huyu mkuu wenu msingependa kabisa akapata ushauri kinzani?! Hata hao wanaoongoza dunia hupata ushauri tofauti na mawazo/mapenzi yao!!grossly invalid advice!

Hivi unafikiri IQ za wanaCCM zilivyo watakuelewa??
Wanajitoa akili kisa buku 7 au teuziwanaCCM wakienda CDM wanakuwa na akili tena IQ kubwa sana?,ikiwa ni hiuvo basi kibaya si wanaCCM bali neno 'CCM' maana wakiwa CCM wanakuwa wabaya ila haohao wakienda CDM wanakuwa wazuri sana,hii ipo Tanzania tu;
SINA CHAMA,MIMI NI MTANZANIA;
tumepigwa mchana kweupeeembona husemi wamekataa kulipa trilioni 425!!
nitajie hizo dola milioni 300 ni za nini?
halafu 50/50 ya profit huelewi kitakachotokea,...watakuwa wanareport loss na utasubiri sana kupata hiyo nusu ya faida yao...tumepigwa hapo na wazungu
Kwani wamelipa, Yakub, wamelipa? Eti na wewe ni msomi! Wanaokuchukua kama wakili nadhani wanaangukia pua kesi zote
Pamoja na maelezo marefu ni kuwa hukusikiliza au kuelewa kilichosemwa. Kwanza hawajukubali kuwa kulikuwa na wizi wowote ila wamesema wanatoa hicho kiasi kwa ajili ya kujenga imani ya biashara, ndiyo kusema tumeshindwa kuthibitisha wizi wowote.Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.
Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.
Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.
Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.
Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.
Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.
Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.
Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.
Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.
Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.
Ulikera sana hapa :
Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.
Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".
Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.
Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.
Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.
Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.
Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.
What a shame to the Government..
From a claim of USD 400+ Trillion and u get only USD 300 Bil..!!
Mruma and Ossoro reports were purely Professorial Nonsense and Rubbish.
Kijana unaejiita msomi unasimama kuandika upuuzi kama huu? Mbona unamtukanisha alokufunza hesabu za kutoa kwa uvivu wa kufikiri???Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.
Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.
Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.
Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.
Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.
Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.
Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.
Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.
Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.
Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.
Ulikera sana hapa :
Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.
Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".
Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.
Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.
Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.
Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.
Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.
Wewe unajua deposits za dhahabu ziko maeneo gani nchii hii tuondolee hii kituPamoja na maelezo marefu ni kuwa hukusikiliza au kuelewa kilichosemwa. Kwanza hawajukubali kuwa kulikuwa na wizi wowote ila wamesema wanatoa hicho kiasi kwa ajili ya kujenga imani ya biashara, ndiyo kusema tumeshindwa kuthibitisha wizi wowote.
Pili kukubali ubia wa 50/50 na serikali ni danganya toto, washachimba dhahabu karibia yote, mgodi 1 ushafungwa kwani gold imeisha, miwili iliyosalia haina muda wa zaidi ya miaka kumi. Hivyo wao kukubali ubia huo ni kutokana na kwamba tayari walishapata superprofit na bado wanafanya cost sharing na serikali ili wafaidi tena kwenye kidogo kilichosalia. Tundu lisu anabakia kuwa na mwono sahihi wa kile kinachofanyika kwa sasa
HahWaraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.
Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.
Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.
Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.
Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.
Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.
Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.
Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.
Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.
Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.
Ulikera sana hapa :
Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.
Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".
Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.
Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.
Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.
Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.
Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.
hahahaaaaaa hapa lazima waje na mapovu kibao ila watalegea tu usijali..maana wao ni wazee wa kubeza kila kitu ila nahisi muda si mrefu salio litasoma tuuendelee kutoa elimu bure na kuleta maendeleo kwa wananchiWaraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.
Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.
Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.
Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.
Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.
Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.
Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.
Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.
Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.
Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.
Ulikera sana hapa :
Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.
Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".
Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.
Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.
Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.
Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.
Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.
wee jamaaa sio mzalendo hahahahhahahaahahahaAfadhali tungeshtakiwa, hapo tumedharauliwa kwa thamani kiduchu
What is 300m USD kwa Barrick na madai ya USD 194 bn, it's just peanut
Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.
Kwa hiyo unatakaje,! We unataka wasilipe or? Maana wameshakubali bado unapayuka kama kware!