What a shame to the Government..
From a claim of USD 400+ Trillion and u get only USD 300 Bil..!!
Mruma and Ossoro reports were purely Professorial Nonsense and Rubbish.
Uwezo wa mtu kiakili,haupimwi kwa namna anavyopanga maneno bali anabyotenda kwa ufanisi.Congrats my Prezda,am proud to a citizen of this country!!Zuzu kabadilisha almasi na kipande cha chupa, ha ha ha asante sana Hayati baba wa Taifa.
Uwezo wa mtu kiakili,haupimwi kwa namna anavyopanga maneno bali anabyotenda kwa ufanisi.Congrats my Prezda,am proud to be a citizen of this country!!Zuzu kabadilisha almasi na kipande cha chupa, ha ha ha asante sana Hayati baba wa Taifa.
Kama walijua Angeshindwa kwanini walimtandika Risasi?
Walijua yeye ni kitisho cha kuwaumbua.
Nchi hii kuna watu wa ajabu sana... Kwa Mwananchi wa kawaida ambae anajua kushangilia tu yeye atapokea taarifa kama ilivyo na kushangilia.., ni ngumu sana kudanganya watu wote kwa wakati wote.. Wengi wameingia mkenge.. Naona propaganda kwamba "WANAUME wamekubali kutulipa"..,
.., kuweka kumbukumbu sawa,
USD300M sio deni..., ni kulinda uaminifu.. ni kama bonus.., hakuna deni lolote walilokubali kwa mujibu wa maelezo ya pande zote mbili..., bonus haiwezi kuwa deni., "Kama malipo ta kuonesha nia njema ya kufidia fedha zilizotokana na upotevu wa mapato kupitia biashara ya kampuni hiyo"
Kwa hiyo BARRICK watalipa bilioni 600 (USD300M) na sio ile trilioni 450 ambayo tulielezwa na kuaminishwa awali kwamba ndio tunawadai!? Tunashangilia tena.. Sisi watu wa maajabu na hatujawahi kuacha kujishangaza.., Zile kelele za trilioni 400 ambazo tulielezwa tunawadai BARRICK zimeyeyuka ghafla..
Bado BARRICK wanakwenda kuchenjua wenyewe. Wanakwenda kupeleka wenyewe sokoni, kwenye masoko ya kimataifa Belgium, RSA, Britain. Baadae Mauzo baada ya safari yote ndio analeta mezani faida ya Mauzo GOT na BARRICK wagawane 50/50 percent . Hii unaona iko sawa tu!?
Ukimsikiliza Profesa Kabudi na Dr. John Thornton, kuna eneo Kabudi anasema WAMEKUBALI lakini Thornton anazungumzia subject to APPROVAL ya wakubwa zake huko kuliko na head quarter zao ambazo huenda zikahamia Mwanza kwa mujibu wa makubaliano..
..., ukimsikiliza Dr John Thornton anasema "proposal zote lazima zipitishwe na London Board of Directors na Acacia ..." Tunafanya propaganda ambazo hazina faida hata.L kidogo....., changa la macho ....., kutoka madai ya trilioni 426 hadi bilioni 700 bado unashangilia tu.
My prudence would have been to hold this press conference until everything has been approved by their shareholders and the board in London.., to avoid any potential embarrassment in future.
Usishangae BARRICK/ACACIA wakagoma..., au wakaja na counter proposal.. maana hata kama BARRICK ni majority share holder wa ACACIA.., minority wakigoma itabidi kutumia kwenye usuluhishi au kuwalipa minority kama watakubali kununuliwa. its bit tricky.. lets remain sober for now.. Nasubiri press release ya BARRICK/ACACIA..

Malipo ya 300m USD hayahusiani na deni na ndio maana wamesema kuwa kamati nyingine ya majadiliano lazima iundwe ili ili kukagua maana miaka ya ukwrpaji kodi ni mingi na muda ni mdogo.....Afadhali tungeshtakiwa, hapo tumedharauliwa kwa thamani kiduchu
What is 300m USD kwa Barrick na madai ya USD 194 bn, it's just peanut
Ilikuwa atafutwe apewe cheo, very rubbish thread ya huyu jamaa, yaani 0.15 of what was claimedHa ha ha haaaaa.. Namba ya simu ya nini sasa?
Unaona aibu na lissu wenuKwani wamelipa, Yakub, wamelipa? Eti na wewe ni msomi! Wanaokuchukua kama wakili nadhani wanaangukia pua kesi zote
Tumeshatangaziwa kama taifa kuwa sasa Barrick ni Ndugu zetu!!!Wale wa MIGA povu linawatoka naskia mgonjwa huko BP iko juu hahaaaaaa Mwambieni tumeshinda tumeshashinda
My prudence would have been to hold this press conference until everything has been approved by their shareholders and the board in London.., to avoid any potential embarrassment in future.
ujinga mtupu hata huyu tompton anaonekana anavyoongea lissu bado ni mshindi na arudi hapa afukunyue yooteMkuu hapo tumepewa rushwa in the name of Good faith
Hauwezi ukapewa ahadi ya 0.15% ya unachokidai ukajisifu mshindi . Hiyo ni bakshishi a.k.a rushwa ili unyamaze, uache makelele ya kuwaharibia kwenye soko la hisa duniani.