Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
You can Fool Some People Sometimes But You cant Fool All The People All The Time
Wabongo tatizo kweli hata yale maneno ya Live umeshindwa kuelewa ngoja nikusaidie, Ni hivi kwenye makadirio ya kodi na kiasi wanachodaiwa bado mazungumzo yataendelea kwa kuwa inatakiwa kupitia nyaraka mbali mbali zen ndio ufike muafaka pia kama ulimsikia Kabuda kwamba itakuwepo kamati/timu ndogo ambao watafanya nao kazi hii pia Tshs 700 bn ambazo Barrick watatoa ni kuonyesha kama wapo tayari katika kulipa deni ila wanataka kujiridhisha.Mkuu hapo tumepewa rushwa in the name of Good faith
Hauwezi ukapewa ahadi ya 0.15% ya unachokidai ukajisifu mshindi . Hiyo ni bakshishi a.k.a rushwa ili unyamaze, uache makelele ya kuwaharibia kwenye soko la hisa duniani.
Tumenunusurika kushtakiwa na kulipa fidia kubwa kwa mujibu wa bwana yule.Ni sawasawa na mtu unamdai gunia la mahindi alafu mwisho wa siku unapewa sado moja alafu unasifia kupewa sado duh ndo mana nachukiaga siasa
Nchi imejaa wajinga watupu.Kwani wamelipa, Yakub, wamelipa? Eti na wewe ni msomi! Wanaokuchukua kama wakili nadhani wanaangukia pua kesi zote
something is better than nothing,,, haters will always hate,, JPM goooWhat a shame to the Government..
From a claim of USD 400+ Trillion and u get only USD 300 Bil..!!
Mruma and Ossoro reports were purely Professorial Nonsense and Rubbish.
lisu apone au afe? bnafs napenda asepe tu tumechoka ishi na wanafki TzBashir ulichoandika hapa kinaonyesha mambo mawili makubwa: 1. Hukupata nafasi ya kulelewa vizuri. Tuliobahatika tulifundishwa na jamii kutomsimanga mgonjwa. Mtu mwenye busara angesubiri Lissu apone ndio ampe ya moyoni ama kutomwambia kitu kabisa. 2. Ni jambo la hekima kutomsimange yeyote ambaye umempa chakula ale hata kama katenda kosa. Haya mambo mawili inaelekea Bashir sio kosa lako bali hujawahi kuyajua. Hapa Lissu anahusika na namba moja maana yuko hospitalini. Kwa tunaoelewa mambo Rais wetu na Tundu Lissu walikuwa na approaches mbili tofauti lakini kila mmoja alikuwa na nia njema na nchi yake. Hata kama Lissu angefanikisha mambo kwa kutumia njia yake tusingesema rais wetu si mzalendo maana alikuwa akitetea rasilimali zetu. Sasa imetokea kuwa approach ya Rais imezaa matunda nasi sote tumpongeze. Lakini pia tumpongeze mbunge wa singida ambaye alikuwa na njia mbadala aliyeiamini sana. Wewe ndugu yangu Bashir sijui ulikuwa na njia gani mbadala! inawezekana ulikuwa nayo lakini hukuthubutu kuisema. Watanzania tujivunie kwamba tuna watu wenye mitazamo tofauti tofauti katika kutatua matatizo yetu maana bado tunayo mengi sana. Huna sababu ya kumsimanga Lissu tushukuru Mungu team ya Prof Kabudi imefanikisha hili jambo. Pia wanaobeza mafanikio haya hawafanyi vizuri. Hata kamattusipolipwa hata senti bado mimi ninaona mabadiliko ya sheria na taratibu zingine zitakazofuatwa na kampuni ile ya madini ni ya muhimu zaidi kuliko pesa. Bashir nakutakia mchana mwema.
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.
Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.
Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.
Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.
Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.
Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.
Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.
Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.
Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.
Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.
Ulikera sana hapa :
Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.
Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".
Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.
Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.
Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.
Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.
Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.
Mbow ndiye alitaka kumuua liss. Serikali haikuwa na mpango na mropokaji asiyekuwa na akili kama liss. Mbow ndiye muuaji wa liss. Na akirudi Mbow lazima ammalizie maana lengo lake halijakamilika maana serikali haijateteleka na watu ndiyo wamezidi kuwa na imani na Dkt Magufuli na serikali kwa ujumla. Pole zake huyu mnafiki, na nadhani Mbow na kundi lake walifanya vizuri kumtwangwa risasi huyu mnafiki maana kesi tumeshinda na yeye bado yupo hospitali anauguliaKama walijua Angeshindwa kwanini walimtandika Risasi?
Walijua yeye ni kitisho cha kuwaumbua.
Nchi hii kuna watu wa ajabu sana... Kwa Mwananchi wa kawaida ambae anajua kushangilia tu yeye atapokea taarifa kama ilivyo na kushangilia.., ni ngumu sana kudanganya watu wote kwa wakati wote.. Wengi wameingia mkenge.. Naona propaganda kwamba "WANAUME wamekubali kutulipa"..,
.., kuweka kumbukumbu sawa,
USD300M sio deni..., ni kulinda uaminifu.. ni kama bonus.., hakuna deni lolote walilokubali kwa mujibu wa maelezo ya pande zote mbili..., bonus haiwezi kuwa deni., "Kama malipo ta kuonesha nia njema ya kufidia fedha zilizotokana na upotevu wa mapato kupitia biashara ya kampuni hiyo"
Kwa hiyo BARRICK watalipa bilioni 600 (USD300M) na sio ile trilioni 450 ambayo tulielezwa na kuaminishwa awali kwamba ndio tunawadai!? Tunashangilia tena.. Sisi watu wa maajabu na hatujawahi kuacha kujishangaza.., Zile kelele za trilioni 400 ambazo tulielezwa tunawadai BARRICK zimeyeyuka ghafla..
Bado BARRICK wanakwenda kuchenjua wenyewe. Wanakwenda kupeleka wenyewe sokoni, kwenye masoko ya kimataifa Belgium, RSA, Britain. Baadae Mauzo baada ya safari yote ndio analeta mezani faida ya Mauzo GOT na BARRICK wagawane 50/50 percent . Hii unaona iko sawa tu!?
Ukimsikiliza Profesa Kabudi na Dr. John Thornton, kuna eneo Kabudi anasema WAMEKUBALI lakini Thornton anazungumzia subject to APPROVAL ya wakubwa zake huko kuliko na head quarter zao ambazo huenda zikahamia Mwanza kwa mujibu wa makubaliano..
..., ukimsikiliza Dr John Thornton anasema "proposal zote lazima zipitishwe na London Board of Directors na Acacia ..." Tunafanya propaganda ambazo hazina faida hata.L kidogo....., changa la macho ....., kutoka madai ya trilioni 426 hadi bilioni 700 bado unashangilia tu.
My prudence would have been to hold this press conference until everything has been approved by their shareholders and the board in London.., to avoid any potential embarrassment in future.
Usishangae BARRICK/ACACIA wakagoma..., au wakaja na counter proposal.. maana hata kama BARRICK ni majority share holder wa ACACIA.., minority wakigoma itabidi kutumia kwenye usuluhishi au kuwalipa minority kama watakubali kununuliwa. its bit tricky.. lets remain sober for now.. Nasubiri press release ya BARRICK/ACACIA..
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.
Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.
Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.
Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.
Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.
Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.
Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.
Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.
Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.
Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.
Ulikera sana hapa :
Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.
Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".
Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.
Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.
Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.
Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.
Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.
Ha ha ha haaaaa.. Namba ya simu ya nini sasa?