Waraka wa Bashir Yakub: Tundu Lissu japo unaumwa lakini umeshindwa

Lissu aliposema tujitoe MIGA ndipo tuongee na hawa watu ili watuheshimu kisawasawa hajaeleweka. Anaitwa msaliti na kutaka kuuawa. Saa hizi wana uhakika hatuna ubavu kwa lolote. Hatuwezi kuwabana kwa kutuibia wala kwa kutolipa kodi. Sie tuendelee kechekelea kulipwa peanuts!
Nchi gani Africa inaweza mbana mzungu?
 
Kama walijua Angeshindwa kwanini walimtandika Risasi?
Walijua yeye ni kitisho cha kuwaumbua.

Nchi hii kuna watu wa ajabu sana... Kwa Mwananchi wa kawaida ambae anajua kushangilia tu yeye atapokea taarifa kama ilivyo na kushangilia.., ni ngumu sana kudanganya watu wote kwa wakati wote.. Wengi wameingia mkenge.. Naona propaganda kwamba "WANAUME wamekubali kutulipa"..,

.., kuweka kumbukumbu sawa,
USD300M sio deni..., ni kulinda uaminifu.. ni kama bonus.., hakuna deni lolote walilokubali kwa mujibu wa maelezo ya pande zote mbili..., bonus haiwezi kuwa deni., "Kama malipo ta kuonesha nia njema ya kufidia fedha zilizotokana na upotevu wa mapato kupitia biashara ya kampuni hiyo"

Kwa hiyo BARRICK watalipa bilioni 600 (USD300M) na sio ile trilioni 450 ambayo tulielezwa na kuaminishwa awali kwamba ndio tunawadai!? Tunashangilia tena.. Sisi watu wa maajabu na hatujawahi kuacha kujishangaza.., Zile kelele za trilioni 400 ambazo tulielezwa tunawadai BARRICK zimeyeyuka ghafla..

Bado BARRICK wanakwenda kuchenjua wenyewe. Wanakwenda kupeleka wenyewe sokoni, kwenye masoko ya kimataifa Belgium, RSA, Britain. Baadae Mauzo baada ya safari yote ndio analeta mezani faida ya Mauzo GOT na BARRICK wagawane 50/50 percent . Hii unaona iko sawa tu!?

Ukimsikiliza Profesa Kabudi na Dr. John Thornton, kuna eneo Kabudi anasema WAMEKUBALI lakini Thornton anazungumzia subject to APPROVAL ya wakubwa zake huko kuliko na head quarter zao ambazo huenda zikahamia Mwanza kwa mujibu wa makubaliano..

..., ukimsikiliza Dr John Thornton anasema "proposal zote lazima zipitishwe na London Board of Directors na Acacia ..." Tunafanya propaganda ambazo hazina faida hata.L kidogo....., changa la macho ....., kutoka madai ya trilioni 426 hadi bilioni 700 bado unashangilia tu.

My prudence would have been to hold this press conference until everything has been approved by their shareholders and the board in London.., to avoid any potential embarrassment in future.

Usishangae BARRICK/ACACIA wakagoma..., au wakaja na counter proposal.. maana hata kama BARRICK ni majority share holder wa ACACIA.., minority wakigoma itabidi kutumia kwenye usuluhishi au kuwalipa minority kama watakubali kununuliwa. its bit tricky.. lets remain sober for now.. Nasubiri press release ya BARRICK/ACACIA..
mkuu unaona mbali sana..hongera...mtoa uzi anakurupuka na hajitambui, washagoma kulipa!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
We huna akili. Ulitaka aseme kwamba wameshinwa? Jibu hoja hapo juu kuwa je tumenyolewa kama lisu alivyodai? Bora lilipochapwa lisasi tu mana halina maana zaidi ya kuwa kibaraka wa wazungu
Kibaraka wa wazungu
1.Ni yule aliyesaini mkataba na wazungu japo hauna faida kwa
2.Kibaraka wa wazungu ni yule aliyeridhia kupitishwa sheria za wizi na akanyamaza kwa miaka 20 bila kusema aje kusema leo tumeibiwa wakat alikiwa sehem ya kubarili wizi
3.Kibaraka wa wazungu ni yule anayewita wezi wa madini "Wanaume"
4.Yule anayekubaliana na wezi kukaa meza moja na wezi wanamgomea kuwa japo wameiba HAWALIPI
[HASHTAG]#Tafakari[/HASHTAG]
 
Sawa. Katika bandiko lingine Mh Zitto amenukuliwa akiongea DW kuhusu hilo la ACACIA/Barrick kukubali. Kwangu, hilo si hoja kabisa na haliingi akilini kwa Kampuni kubwa hizo kuingia makubaliano na Serikali, tena yenye Rais asiyemung'unya maneno, akiendesha vita ya uchumi, halafu wadharau makubaliano. Sihitaji kufikiria kitakachotokea ila narejea mabeno yake Rais kuwa kama hawatakuja kwa majadiliano ataifunga migodi. Mimi kama Mtanzania, nitasimama upande wa Rais na lolote liwe, kwani tumechezewa, tumenyonywa, tumepuuzwa vya kutosha kwa kukubali kwamba tu wanyonge hadi akili zetu.
Katika vita hiyo ya kiuchumi kwani makampuni ya kibepar mangapi yametusumbua?
Iko wapi Bombadia yetu?Kesi ya Konoike na ziko wapi tril 400?
 
Malumumba wakimsikia Lisu matumbo yanawaharisha ile mbaya. Yaani mimi nacheka halafu na hasira mbaya. Mjuha haya yanashangilia eti Lisu nashindwa. Lumumba mnatakiwa wote mchomwe moto. Tena muungue hadi majivu ibadilike kuwa udongo.

Tunapigwa halafu bado mnatuletea shangilio LA kushangilia kimbunga badala mshangilie mbua!?

Hizo bilioni 700 haitoshi hata kulipia hasara iliyopatikana kwa kuzuia makinikia ya watu bandarini. Kwa nakuambieni hakuna shilingi itakayohit kwenye account ya TZ. Na kama itakuwepo itakuwa labda 0.16% ya hiki kilichotajwa.

La pili 50:50 share hiyo haitatokea nakwambia labda siku hiyo ulimwengu ugeuke jua lianzie magharibi liishie mashariki. Hata hizo 16% of share hamtapata hatakama mkiwape wake zenu hao wanzungu wawalale. Hiyo ni kitendawili tega pwagu pwaguzi.

Dilution of shares is more complicated more than mnavyofikiria. Kwa hiyo Lumumba kama hilo ni kiki mlilotafuta basi hilo limepita vuuuuu patupu. Changa LA macho Mara maaaap.
 
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.

Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.

Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.

Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.

Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.

Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.

Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.

Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.

Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.

Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.
Kama walijua Angeshindwa kwanini walimtandika Risasi?
Walijua yeye ni kitisho cha kuwaumbua.

Nchi hii kuna watu wa ajabu sana... Kwa Mwananchi wa kawaida ambae anajua kushangilia tu yeye atapokea taarifa kama ilivyo na kushangilia.., ni ngumu sana kudanganya watu wote kwa wakati wote.. Wengi wameingia mkenge.. Naona propaganda kwamba "WANAUME wamekubali kutulipa"..,

.., kuweka kumbukumbu sawa,
USD300M sio deni..., ni kulinda uaminifu.. ni kama bonus.., hakuna deni lolote walilokubali kwa mujibu wa maelezo ya pande zote mbili..., bonus haiwezi kuwa deni., "Kama malipo ta kuonesha nia njema ya kufidia fedha zilizotokana na upotevu wa mapato kupitia biashara ya kampuni hiyo"

Kwa hiyo BARRICK watalipa bilioni 600 (USD300M) na sio ile trilioni 450 ambayo tulielezwa na kuaminishwa awali kwamba ndio tunawadai!? Tunashangilia tena.. Sisi watu wa maajabu na hatujawahi kuacha kujishangaza.., Zile kelele za trilioni 400 ambazo tulielezwa tunawadai BARRICK zimeyeyuka ghafla..

Bado BARRICK wanakwenda kuchenjua wenyewe. Wanakwenda kupeleka wenyewe sokoni, kwenye masoko ya kimataifa Belgium, RSA, Britain. Baadae Mauzo baada ya safari yote ndio analeta mezani faida ya Mauzo GOT na BARRICK wagawane 50/50 percent . Hii unaona iko sawa tu!?

Ukimsikiliza Profesa Kabudi na Dr. John Thornton, kuna eneo Kabudi anasema WAMEKUBALI lakini Thornton anazungumzia subject to APPROVAL ya wakubwa zake huko kuliko na head quarter zao ambazo huenda zikahamia Mwanza kwa mujibu wa makubaliano..

..., ukimsikiliza Dr John Thornton anasema "proposal zote lazima zipitishwe na London Board of Directors na Acacia ..." Tunafanya propaganda ambazo hazina faida hata.L kidogo....., changa la macho ....., kutoka madai ya trilioni 426 hadi bilioni 700 bado unashangilia tu.

My prudence would have been to hold this press conference until everything has been approved by their shareholders and the board in London.., to avoid any potential embarrassment in future.

Usishangae BARRICK/ACACIA wakagoma..., au wakaja na counter proposal.. maana hata kama BARRICK ni majority share holder wa ACACIA.., minority wakigoma itabidi kutumia kwenye usuluhishi au kuwalipa minority kama watakubali kununuliwa. its bit tricky.. lets remain sober for now.. Nasubiri press release ya BARRICK/ACACIA..
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.

Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.

Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.

Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.

Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.

Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.

Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.

Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.

Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.

Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.

Ulikera sana hapa :

Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.

Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".

Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.

Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.

Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.

Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.

Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.

mkuuu

mkuu namba ya simu umeweka ili upigiwe na mkuu au ?njaaa hiz mbaya sana fanya kazi ujenge life lako hizi kiki zimeshapitwa na wakati
 
Uliwahi sana kutoa waraka.Ona sasa fedheha hii. Ungesubiri kwanza.Andiko limekosa shabaha.Ni ushindi kwa aliyeandikiwa
 
Mungu muumbaji na mponyaji aweze kuponya na kuimarisha afya yako mh TL. Kiongozi mpole, mwenye hofu ya Mungu unaetetea haki za binadamu, demokrasia, Utawala wa sheria na uzalendo wa kutoka moyoni. Long live TL
 
Amina kubwa!!
 
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.

Pole sana msomi Lissu kwa kuumwa. Lakini sasa kwa taarifa za jana ni kuwa unapata nafuu na Mungu Mwenyezi awe nawe urejee.

Hata hivyo huku ulipotuacha ni umeshindwa vibaya. Wale uliosema watatushitaki na kuwalipa mabilioni sasa wao ndio wanatulipa sisi mabilioni.

Kile ulichosema kuwa ni makosa yetu ya mikataba na ulofa, wamekubali kuwa ni makosa yao na wako tayari kwa marekebisho ya "terms" vipengele vipya kwenye mikataba.

Hata zile kesi ndogondogo tulizokuwa nao katika mahakama "tribunal" mbalimbali sasa nazo wamekubali iundwe kamati ya kuzimaliza kwa mazungumzo.

Lakini kubwa kuliko yote msomi Lissu ni kuwa wamekubali mgao wa 50/50 wa faida na Tz kuwa na wawakilishi kwenye bodi ya wakurugenzi na mengine mengi yenye kutia moyo. Sijui, lakin nadhan habari hizi sio njema sana kwako.

Msomi Lissu, siku nyingine ukiambiwa wako watu wana akili kuliko wewe uwe mwepesi tu kuelewa. Ukiambiwa wako watu wanaona maili 50 zaidi yako uelewe haraka.

Hatukatai, unaweza kuwa mzungumzaji mzuri lakin sio mwenye upeo. Upeo hupimwa kwa matokeo ya matendo. Na kwa matokeo haya twaweza tu kupima nani mwenye upeo kati ya wale uliowaita wa hovyo na wewe. Pia twaweza kujua wa hovyo ni nani sasa.

Nilikushangaa sana uliposema huoni kosa la Acacia. Watu wamedanganya uzito wa madini, wamedanganya sampuli walizobeba na ushahidi upo, msomi unasema huoni kosa !!!? , Looh.

Unajua vyema kuwa hawa jamaa wangekuwa upande salama kama ulivyopiga chapuo wasingefikia makubaliano kama haya. Wangeenda kwenye tribunal za kimataifa kama ulivyowasaidia kupendekeza na wangeshinda na tungelipa mabilioni kama ulivyokuwa umetabiri.

Ulikera sana hapa :

Makontena yakazuiwa, ukasema kimkataba ni yao na yamezuiwa kimakosa.

Ripoti ya kwanza ikasomwa,ukasema ripoti hiyo ni takataka"rubbish".

Ripoti ya pili ikasomwa, ukasema hamna jipya.

Akaja bosi wa Acacia Prof. John.L.Thompton akasema watalipa, ukasema hajasema kama watatulipa na hawawezi kutulipa.

Ulidhihirisha uadui na nia ovu na ndio maana ni halali leo kusema JAPO UNAUMWA LAKINI UMESHINDWA. Haikujulikana ulitaka nini hasa.

Msomi, hawa watu hawakuwa wasafi na hili kila Mtanzania aliliona isipokuwa wewe. Kwa matokeo haya sasa twaweza kujua nani ana maamuzi ya KUKURUPUKA na kuzungumza hovyo.

Tunakutakia afya njema lakini upunguze kidogo kuropoka msomi. Watu wako makini kuliko unavyofikiria.
Tundu Lissu kuna siku aliongea akiwa kitandani akichechemea mdomo unatetemeka macho yanajilyulya, ilikuea ndiyo mara ya kwamba Watanzania kumsikia kipenzi chao Mdomo nguli makini tangu Nairobi. Alimpigia debe Diwani fulani, wa Ukonga au Usukumani vile, huku akiwaomba wapiga kura waungane naye wampe kama vile pole kwa kuugua kwake. Hivi hiyo baba ni Nani? Alijashinda? Who knows?
 
Usifikiri mwekezaji ni mjinga kama unavyofikiri, inawezekana kuna fursa alishaiona. Lakini muda utasema usije ukajificha wakati huo
 
Ni nini chanzo cha magonjwa ya akili kwa watanzania wengi wenye umri wa kufanya maamuzi?
 
Tundu Lissu kuna siku aliongea akiwa kitandani akichechemea mdomo unatetemeka macho yanajilyulya, ilikuea ndiyo mara ya kwamba Watanzania kumsikia kipenzi chao Mdomo nguli makini tangu Nairobi. Alimpigia debe Diwani fulani, wa Ukonga au Usukumani vile, huku akiwaomba wapiga kura waungane naye wampe kama vile pole kwa kuugua kwake. Hivi hiyo baba ni Nani? Alijashinda? Who knows?
Mkuu hupaswi kumshambulia mtu hivyo maana hilo unalofanya halina tija kwa taifa, zaidi unadhihirisha chuki zako dhidi ya binadamu na Mtanzania mwenzio
 
Back
Top Bottom