Waraka wa Bashir Yakub: Tundu Lissu japo unaumwa lakini umeshindwa

Mkuu hupaswi kumshambulia mtu hivyo maana hilo unalofanya halina tija kwa taifa, zaidi unadhihirisha chuki zako dhidi ya binadamu na Mtanzania mwenzio
Psychology ya mwanadamu imedhihirisha wazi kuwa kila binadamu ni kichaa,isipokuwa tunazidiana viwango.Kuna kichaa cha muda mfupi kama vile hasira,furaha kupita kiasi inayoambatana na kutoa maamuzi ambayo hukuwanayo kabla.Pia kuna kichaa kinachofikia asilimia sabini,hiki mtu hupelekea kupelekwa hospitali.Kwakifupi maamuzi yoyote utakayoyafanya bila kutumia critical thinking kwakweli huo ni ugonjwa wa akili,kama vile kufikiri kwakuangalia tumbo lako,ubinafsi, nakadharika.
 
MWAMBIE NA BOMBARDEAER ILIYOKUWA INASHIKILIWA CANADA IMEACHIWA. PIA PATO LA MTANZANIA LIMEONGEZEKA MPAKA DALA 10 KWA SIKU. NA VIWONDERS 1350 VIMEJENGWA TOKA ALAZWE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…