Waraka wa Bashir Yakub: Tundu Lissu japo unaumwa lakini umeshindwa

Afadhali tungeshtakiwa, hapo tumedharauliwa kwa thamani kiduchu
What is 300m USD kwa Barrick na madai ya USD 194 bn, it's just peanut

Sisi nchi yetu ni ya kutegemea misaada NA omba omba, Leo tumepata 700B tumedharauliwa! Mbona huoni kujidharau ama kudharaulika unapopewa misaada ya madawa, maji NA chakula?
 
lishike saana neno nnalokwambia leo wewe lazima utakufa maskini!!!!
 
Lisu analia maumivu SAA hizi huko ... Nasikia kapewa vidonge vya maumivu huko
 
Hili Taifa limejaa waking tu yaani thread utafikiri ya mtoto wa darasa la Saba. Nakumbuka tena kale katoto ka Kenya kwamba watanzania wengi wana shida ya logical thinking matokeo yake ni ma thread Kama haya ya kijinga. Yaani kupata 0.16 percent ndo mnajiona wajanja at least 25 percent hapo ungeongea kidogo.
 
Mtoa uzi Lissu kashindwa wapi. Je unazikumbuka hoja za Lissu vizuri.?
 
Maoni ya mzoga mwingine wa Lumumba usiojua tofauti ya $190 billioni na $300 million. Usiojua kwamba Barrick wamepata wakitakacho ili kuendelea na wizi wao.

Wajinga ndiyo waliwao!

 
Sasa analaumu nini wakati ni kweli yamezuiwa ...kwani wameyataifisha ? Si sasa yana ruhusiwa ? Mwanzo mlisema hayatoko mpaka walipe trillion ambazo hazijawahi kulipwa..[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Kilichofanyika ni mazungumzo ambayo ndio busara na sio ubabe ule wa mwanzo....
Alicho sema lissu ni kuacha ubabe....
Hio 50/50 ya faida ..na huku una share ya 16%
Tunasubiri hio fomula...maana hata TRA zipo figure za kutia shaka
Anyway kajaribi tusubiri ipande wa pili
Ila Lissu haja fail pressure yake ndio imezaa haya kiduchu tulopewa...na ime mcost uhai wake
 

Pole Tundu Lissu.. Nashukuru unaendelea vizuri kabisa na Mungu akuponye upone haraka kabisa..

Nikiachilia mbali afya yako Mh. Lissu..

Huku Nyumbani tunasherehekea ushindi mkubwa tangia Tanzania iumbwe.. Ni mapinduzi ya kiuchumi ktk sekta ya madini..!! Wale wazungu uliokuwa unatutishia kuwa watatushitaki na kulipa billions na ukasema wawekezaji watatukimbia sasa imekuwa kinyume chake.. Wanatulipa billions of tshs and 50 kwa 50 shares ktk profit.. Alafu bado wanaendelea kujua ni kiasi gani halisi watulipe hela yote waliokwepa kodi kwa miaka..!! Na faida lukuki mtoa mada kaeleza vemaaaaa.. Najua bado mgonjwa ila unaweza kujua LEO TUMEPATA USHINDI MKUBWA MNO MNOOO huku home Tz..!!

Na sasa soma maelezo ya mdau hapo juu ni mazuri sana sanaa.. Mm nimefanya kuongezea tu..

TUNAKUTAKIA QUICK RECOVERY UREJEE NYUMBANI..!!
 
Kwanza pole kwa matatizo yaliyokupata, ila tunasubili baada ya kupona kabisa uje utuambie ni lini acacia wataishitaki Tanzania huko Miga?

Ukiwa huko Nairobi taarifa zikufikie kwamba Acacia wamekubali kuilipa Tanzania dola za kimarekani millioni 300.
Pia wamekubali kuwa partner na Tanzania kwa 50/50 !! Na share zimepanda hadi 16% !

Hongera rais Magufuli ,hongera watanzania.
 
What a shame to the Government..
From a claim of USD 400+ Trillion and u get only USD 300 Bil..!!
Mruma and Ossoro reports were purely Professorial Nonsense and Rubbish.

"...reports were purely professorialNonsense and Rubbish"....But, these are the same reports which forced Barrick to negotiate for three 'straight' months here in Tanzania"...These are the same reports which have led to 50/50 share of profits and a number of other agreed points of benefit to this land/nation...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…