Responded Waraka wa Katibu Mkuu kuhusu MUDA WA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA UHAMISHO KUPITIA MODULI YA e-UHAMISHO

Responded Waraka wa Katibu Mkuu kuhusu MUDA WA KUSHUGHULIKIA MAOMBI YA UHAMISHO KUPITIA MODULI YA e-UHAMISHO

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
1000933714.jpg

Wakuu hapo nikitaka ku submit inaniandikia hivyo,je naweza kweli kutoa kwenye hicho kikombe cha watesi,na natokaje
 
Kaka nimefuata taratibu zote nilianza vacancy (hii ni kwajili ya kuomba nafasi kule uendako mfano taasisi,wizarara nk) kwa hiyo nikajibiwa nkaendelea hatua nyingine ,ambapo ikanipeleka kwenye Transfer request( hii ni baadaya ya kukubaliwa nafasi kwenye vacancy request unaendele na hatua nyingine amabayo inapitq kwa mkuu wa idara yako then unaenda kwa mkurugenzi aki approve Moja kwa Moja inaenda UTUMISHI HQ) kwa hiyo mtu wa mwisho ku approve hapa ni katibu mkuu.
NB hatua zote nimetumia mfumo
Ulishahama sasa baada ya kufuata hatua zote au bado ipo utumishi
 
Ni zaidi ya mwezi sasa umepita ombi langu la UHAMISHO likiwa mezani Kwa accounting officer (Mkurugenzi) Na Kwa mujibu wa andiko Hilo Ombi la UHAMISHO kwenye ESS linakaa siku 10 Kwa mkurugenzi/accounting officer,Je huu walaka ni feki au utekerezwaji wake bado haujaanza?
 
Back
Top Bottom