Katika hizi dini 2 zilizo letwa na majahazi walau waislamu wana waumini watiifu kwa viongozi wao hasa hasa pale inapo tukanwa dini yao(kitabu chao au mtume wao)
Msingi mkuu wa dini ya ki islamu ni udugu wa kiarabu ( Arabic brotherhood) ambao baadae.ulibadilishwa na ukuwa udugu wa kiislamu( Islamic brotherhood)
Udugu wa kiarabu ulikuwa ni kuungana dhidi ya wayahudi.
Waislamu wana umoja na mshikamano mno.
Nna declare interest mimi nimezaliwa katika familia na ukoo wa ki islamu.
Ingawa Sasa hivi nimerudi kwenye uafrika wangu ambao ndio uhalisia wangu lakini niwaambie tu ndugu zangu heshimu sana watu wenye umoja n.a. mshikamano.
Waislamu huwaga wana umoja n.a. mshikamano wa hali ya juu sana.
Angalia hata kwenye misiba mtu ambapo fariki jinsi wanavyo kusanyana na kuhimizana.
Hata kama sio muislamu mwenzao as long as ni jirani, work mate, school mate etc huwa wanakuwaga na umoja sana.
Ukatoliki na ukristo kwa ujumla umejengwa katika utamaduni wa kizungu ( ubepari na ubinafsi)
Wakristu hawanaga umoja wa kihivyo. Kwa mfano wakatoliki kama huwa huendi kwenye jumuiya ndogo ndogo basi huzikwi na kanisa (waislamu hata kama wewe mkristo umefiwa na nduguyo mkristo ukiomba wamzike wanamzika kiislamu)
Ile amri ya Yesu ya upendo naiona zaidi miongoni mwa waislamu kuliko kwa wakristu wenyewe.
Wakristu wanaishi kufuata mfumo wa kizungu every one mind his own business.
kikichafuka hapa mtakimbiana. Maaskofu wa TEC watashangaa kuona kwamba kumbe hawana ushawishi wowote kwa waumini wao. Waumini wanaweza kuwa asi TEC na kujiunga na waislamu kwa ajili ya kui - ishi the spirit of solidarity.
TEC jueni kwamba ninyi hamna wafuasi watiifu sio kwenu tu bali pia hata kwa imani yao.
Asilimia kubwa ya atheists duniani walikuwaga wakristu.
Wakristu wanafanya utani hadi na Yesu. Comedian Mkristo anaweza kufanya utani kuhusu Yesu. Mfano " kama Yesu mwenyewe amerudi kukaa kwa baba ake Mimi ni nani hata nitoke kwa nyumba ya baba yangu" au comedian anaweza kumrefer Jesus as " J"
Kuna rafiki yangu Mkristo mwaka 2006 ali anzisha bar yake aka iita hata " Jesus Bar" Brela wakamtalia ( mkatoliki)
Rapper Suma Mnazareti ( ambae ni Mkristo) aliwahi kurap " mistari yangu ni tight zaidi ya bikira ya mariamu"
Muislamu hawezi kuongea hivyo kwa sababu at least yupo royal kwa imani yake hata kama yeye mwenyewe ana matendo ya dhambi.
Diamond kaimba wimbo wake wa kidunia anauita " Alleluya" na wakristu wamekaa kimya. Angethubutu kuimba wimbo wa design hiyo halafu aweke maneno yanayo tumiwa na waislamu unge Iona solidarity ya waislamu.
Jay z kwenye wimbo wake " EMPIRE STATE OF MIND" anasema " Jesus can't save you church start where ur life end" then katika wimbo huo huo anasema " If Jesus pay LeBron I pay D'wayne Wade"
But Christians they think it is okay wana ucheza na kuucheza. Mwaka 2009 Jokate Mwegelo ambae ni mkatoliki she personally told me that Empire State of Mind was her favourite song" can u imagine. Wimbo unao likashifu kanisa na Yesu unaanzaje kuwa ur favourite song? Jibu ni moja lack of loyalty.
Zamani wakatoliki walikuwaga wanaenda kuungama dhambi kwa mapadre sasa hivi labda watoto ndio wanaweza kufanya hivyo.
Ni wakatoliki wachache sana wanao amini kuhusu kuwepo kwa moto wa jehanamu lakini waislamu bado wana amini hadi kuhusu adhabu ya kaburi achilia mbali moto wa jehanamu..
Katika nchi yenye watu wenye mdogo wa kufikiria kama Tanzanja ni vyema dini ikatengwa na siasa.
TEC ninyi hamna hicho " kibali" kwenye mioyo ya waumini wenu kiasi cha kuwaambia wafanye jambo fulani na wakafanya
Msisahau kuwa kanisa lenu ndio linaongoza kwa kuhamwa na waumini wake ambao wengi wao wanaenda kwenye ulokole.
Mafundisho ya wasabato dhidi ya kanisa lenu yameleta impact kubwa sana kwenye kanisa lenu kwa sababu waumini wenu wengi wakifundishwa na wasabato huwa wanaishia kuamini na eidha kujiunga sabato, ulokole,uislamu au kuacha kwenda kabisani.
Ndo maana u can't find " church goers" among the Catholics.
Church going persons wengi wao ni Walokole ama wasabato na wapentekoste but no wakatoliki.
This means wakatoliki hawapo royal n.a. Mafundisho ya kanisa lao
TEC take this note