Waraka wa Maaskofu Katoliki kusomwa na makanisa yote nchini kesho Agosti 21, 2023

Kaa kwa kutulia wewe kiazi huna akili kichwa chako empty head sifuri 0/0
Taarifa Ili iwe authentic inavigezo vyake mkuu sio mambo yakulishana matango pori tu hao kofia ndefu ndio Wala rushwa wakubwa kumbuka ishu ya Tegeta Escrow ilivyowavua nguo hao mnaowaita Baba askofu ndio maana nkakwambia nyinyi ni Vilaza mbumbu Mzungu wa reli huna cha kusema mbele ya Kauli ya askofu sasa usilazimishe Watz wote kuwa hivyo utumwa ni hiyari ww tumikia unachokiamini
 
Mkuu, Kiswahili chako umesomea India?
 
Unataka chanzo cha habari au hauamini tu kwamba ndiyo hivyo?
Yani tunataka uthinitisho wa taarifa maana yanasemwa mengi ikiwa msomi lazma uchambue taarifa ipi sahihi na ipi sio sahihi sio kukubali tu na yy kama man ushahidi nendeni mahakamani mkafungue kesi
 
Haupewi chanzo wala uthibitisho.Elewa hivyohivyo.Subiri uone watakaokuwa wanajikuna ndiyo utajua wenye ukurutu.
 
Wewe kweli Mbumbumbu bado upo 20th century ndio maana kumbe nyie mazuzu mpo karne ya 20 mnasumbua humu basi msichokijua tupo karne ya 21 (21st century) kaa hapo usomewe waraka Mbumbumbu mmoja we
Typing error
 
Back
Top Bottom