Waraka wa Maaskofu Katoliki kusomwa na makanisa yote nchini kesho Agosti 21, 2023

Unaposema loyal disciples unamaanisha nini?
hilo ndio kanisa kubwa kabisa nchi hii. Unaposomwa huo waraka makanisani mwao ndipo unawa expose wafuasi wake ambao ni wananchi juu ya hali iliyopo. Kitu ambacho nape na serikali inaogopa ndio maana inahangaika kubana media.

umoja na ukubwa wao unaosema hawana, ndio umewasaidia kumilika miradi mikubwa nchi hii kama mashule, hospitali,n.k.
 
TEC ni wanafiki wakubwa
Ivi nyie wazee wa balashia dini yenu inaruhusu mwanamke kuingiza au ndo civilization za magharibi ndizo zimewamodify.

Ivi nchi za kiarabu ulishawahi kusikia kiongoz yoyote mwanamke au me sio mfatiiaji ebu njooni na evidence.

Shida Africa tunakaririshwa tu pasipo kuelewa umezaliwa umemkuta baba na mama din fulan na ww umo afu Leo mnajifanya wafia dini
 
Kuongoza
 
Sasa hapa mkuu umeongelea Nini, Mimi nilikuwa nafikiri insu ya bandari, nisukilizie mawazo yako.Toa maoni yako
 
Mkuu hapa tunazungumza kuhusu solidarity miongoni mwa wakristu vs miongoni mwa waislamu . Plus loyalty to their religion and leaders
 
Mauwaji ya kimbari waliokimbilia kanisani walichomwa moto humo humo na wakristo wenzao ila wakristo waliokimbia na kujificha misikitini hawakuuwawa na wenzao
Fikiria hilo
Kama nyie mna huruma na upendo San vp hao wazee wa balashia wanao jivisha mabomu na kujitoa mhanga na kuua watu wasio na hatia
 
labda kama haujaelewa, lengo la Kanisa siyo kura au sijui hao unaowaita wafuasi loyal, lengo ni kusimama kwenye ukweli kutetea wanaoonewa na hili wamelifanya wametimiza wajibu wao bila ya uoga wowote, kwanza unazidi kuwatukana, kuwabeza na kuwadharau Waislamu kwa kuwaita “wafuasi loyal” maana yake ni kwamba ni makondoo who can not think for themselves hivyo sidhani kama Kanisa hata linataka waumini wake wawe hivyo, lengo ni kuelimisha watu halafu wenyewe watafanya maamuzi yao …
 
Endelea kufurahia vipepeo kwenye screen server wakati haujui the big brain behind the whole device architecture.
Ulale unono
 
Mtafute sana elimu atakuweka huru.Kuzama katika dini sana hutegemea na elimu uliyo nayo.
 
Mimi nyuzi km hiz sihitaji kusoma nasema moja kwa moja wewe mwandish unahitaji tiba za aina zote;milembe,maombi, psychological,viboko etc
 
Mkuu hapa tunazungumza kuhusu solidarity miongoni mwa wakristu vs miongoni mwa waislamu . Plus loyalty to their religion and leaders
Sasa usifosi wafanane kila dini na kile anachoamini, kila Iman na ustaarabu wao.
 
Miradi inamilikiwa na Vatcan mkuu. Hakuna huduma ya bure kwenye miradi ya kanisa katoliki iwe shule iwe hospitali
 
Sasa usifosi wafanane kila dini na kile anachoamini, kila Iman na ustaarabu wao.

Nazungumza na watu wa TEC to let them know that they are only talking to themselves. No one( catholic)is listening to them.
 
Umenifanya nifikiri. sana tu. Mtu alie kimya , hasikiki, haonekani huyu! ndio anaeongoza nchi. Huyu ndio anayeshawishi na kushauri maamizi usiku, asubuhi yanatolewa maelekezo.
 
Ishu sio waraka ishu ni " aura" wanayo I demonstrate wakiwa wanatoa waraka. They are fronting like they are the most popular and powerful institution in the country na hapo ndipo aura ya udini inapo onekana


Kwa mfano kulikuwa na umuhimu gani wa kusema " tuna jumuiya/waumini kila mtaa kila kijiji nchi nzima" . Hoja hii ina uhusiano gani na bandari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…