Nilimaanisha hata wakati wa Mwalimu Nyerere TEC walikuwa wakitoa nyaraka za kichungaji. Nyaraka haziandikwi kumlenga kiongozi wa kitaifa, "addressees" wa nyaraka ni wanakanisa na mahitaji ya kanisa na ndiyo maana husomwa kanisani kwa waumini.Nyerere alipewa waraka kwaajili gani?