Waraka wa Maaskofu unabagua mambo

Waraka wa Maaskofu unabagua mambo

Ungeonekana una akili sana kama ungetaja huo utapeli. Vinginevyo ni ujinga kuzua mambo. Ukizingatia wengi tumesoma tamko la TEC na lipo sawa kabisa. Limewakamata papaya hadi mnahaha. Kila uchwao TEC hivi, TEC vile
Wala tec hawana hoja ya msingi. Nikundi la wasakatonge struggling for survival. Kama wana uzalendo pamoja na wewe mwenyewe jibuni haya:
1. Kwa nini hawajawahi kuishauri Serikali ivunje MoU na makanisa ambapo wanapokea mamilioni kila.mwaka na kikomo hakijulikani?
2. Kwa nini tics imewekaze bandarini mpaka ikashindwa na tec hawakujitokezi kuomba serikali iboreshe bandari kwa kuwa tics hawana uwezo?
3. Mbona mikataba mingi imesainiwa lakini tec hawasemi kitu japo kuwa nayo ina mashaka mengi?
Jibu hayo halafu tuendelee.
 
Kanyagia hapohapo
 
Aliwezaje kuleta 'azimio la Zanzibar' kuja kudhohofisha azimio la Arusha wakati Nyerere yupo?
Note: Azimio la Zanzibar siyo rasmi.
Katiba aliyoitengeneza mwenyewe ndiyo iliyompiga ngwala Nyerere mwenyewe. Mchimba kisima huingia mwenyewe. Nyerere alitengeneza Katiba ambayo Rais anakuwa kama Mungu mtu. Ndio maana aliishia kugomba na kuandika kitabu kumnanga Rais Ali Hassan. Nyerere hakujua kama ingetokea siku ataacha kuwa Rais akiwa hai. Alimpompendekeza Mwinyi kuwa Rais alidhani ni dhaifu na atamwendesha kwa remote.
 
kilichobakia sasaivi ni kuwashauri maaskofu hawa watusaidie kuifufua Tanganyika, na wataweza, labda wasiamue.
Hakuna asiyefahamu kuwa hata wakoloni/watesi wetu walikuwa wakisali kwenye makanisa hayahaya na Maaskofu walikuwa wakiishi mtaa moja na wakoloni wetu. Tunajuwa kuwa wakoloni walipoondoka Maaskofu walibaki, tunao humuhumu hadi Leo.
 
Waarabu walitawala na waliendesha kwa muda mrefu bihashara ya utumwa ktk ukanda huu hasa hapa nchini kwetu. Wao waliwaachia nini? Misikiti? Mbona hamuulizwi. Kama katoliki waliachiwa hizo shule na hospital, je, ni zenu? Na kwa hiyo mtaka mgao kwenye hizo shule na hospital za katoliki? au mnataka huduma zitolewe bure? Wivu tu, ni shule ngapi na hospital ngapi za katoliki zimejengwa baada ya Uhuru ukilinganisha na za kwenu? Fanyeni kazi na kuwekeza kuliko kufunga misuri na kufuga ndevu huku mkieneza chuki na wivu kwa wenzenu. Mkiona hamna uwezo kuhudumia familia ya watoto wa wake wanne, badilisheni hiyo sera mfanye maendeleo. Mnachosha mnavyonung'unika utadhani mmeshikwa mikono!! Kila kitu m ataka dezodezo tu hadi kujengewa misikiti!!
Mbna povu!!!!vp ruzuku mnayopewa kutoka ktk kodi zetu we mm
 
jana Gerson Msigwa kushatangaza Serikali inaendelea na Mkataba wa ukodishaji wa Bandari. kuna watu hawaamini maana walidhan utulivu wa Serikali hii ni ishara ya kuwaogopa
Nini kimetokea bungeni?
 
Katiba aliyoitengeneza mwenyewe ndiyo iliyompiga ngwala Nyerere mwenyewe. Mchimba kisima huingia mwenyewe. Nyerere alitengeneza Katiba ambayo Rais anakuwa kama Mungu mtu. Ndio maana aliishia kugomba na kuandika kitabu kumnanga Rais Ali Hassan. Nyerere hakujua kama ingetokea siku ataacha kuwa Rais akiwa hai. Alimpompendekeza Mwinyi kuwa Rais alidhani ni dhaifu na atamwendesha kwa remote.
Hapa umeandika hisia zako.
Umetumia kigezo gani kutambua dhahania au hisia za Nyerere?
Kumbe unakubali raisi ana nguvu kubwa angeweza kufanya awezalo kuzuia vyama vingi?
 
Serikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa hoja ya kuwepo kwa kadhi Tanzania.

Mimi huwa najiuliza maswali kuhusu nguvu hizi za Maaskofu kwanini hazikutumika kupinga Mwl. Nyerere kuifuta serikali ya Tanganyika, kutaifisha baadhi ya shule zao za kanisa kuwa za serikali, wala kupinga nchi kutaifisha mali za serikali kama nyumba, mashirika ya umma na migodi yetu.

Mbona kama waraka hizi zinatolewa zaidi kwenye awamu fulanifulani TU?
Ewe mfuasi wa Mwamedi, kwanini waandika Uongo?

Hebu itawadhe ubongo wako

TEC hawakutoa waraka mara mbili katika awamu ya Magufuli?
 
Hakuna asiyefahamu kuwa hata wakoloni/watesi wetu walikuwa wakisali kwenye makanisa hayahaya na Maaskofu walikuwa wakiishi mtaa moja na wakoloni wetu. Tunajuwa kuwa wakoloni walipoondoka Maaskofu walibaki, tunao humuhumu hadi Leo.
Mkitawadha makalio, mikono na miguu....msisahau kutawadha na ubongo

Sawa Bin Mwamedi?
 
Wala tec hawana hoja ya msingi. Nikundi la wasakatonge struggling for survival. Kama wana uzalendo pamoja na wewe mwenyewe jibuni haya:
1. Kwa nini hawajawahi kuishauri Serikali ivunje MoU na makanisa ambapo wanapokea mamilioni kila.mwaka na kikomo hakijulikani?
2. Kwa nini tics imewekaze bandarini mpaka ikashindwa na tec hawakujitokezi kuomba serikali iboreshe bandari kwa kuwa tics hawana uwezo?
3. Mbona mikataba mingi imesainiwa lakini tec hawasemi kitu japo kuwa nayo ina mashaka mengi?
Jibu hayo halafu tuendelee.
Hoja ya tec imejadiliwa na watu wengi sana kuliko ya shura ya maimam na wapinzani.Hata kwenye radio na tv yetu pendwa ya Imaaan imejadiliwa.Kiufupi hoja ina msingi,imetikisa nchi na tec wameaccomplish walichokitaka.Kibaya zaidi wamenyamaza kimya.
Na wewe kwa kuijadili unaipa msingi wa kipekee
 
Hapa umeandika hisia zako.
Umetumia kigezo gani kutambua dhahania au hisia za Nyerere?
Kumbe unakubali raisi ana nguvu kubwa angeweza kufanya awezalo kuzuia vyama vingi?
Mzee Mwinyi hakuutarajia Urais, hakuwa na mizizi Tanganyika. Kuna wakati alitaka kuurejesha Urais kwa Nyerere kwasababu ya anavyomwandama. Mzee Mwinyi alijifananisha na kichuguu mbele ya Nyerere ambae amlimfananisha na mlimae Kilimanjaro.
 
Iko hivi, walaka haukutoka wakati unaotakiwa kutoka na unatoka usipostahili kutoka. Walaka haukutoka wakati wa wizi wa escrow wakati pesa za wizi zilipitia kwenye accounts za bank ya mkombozi, walaka hautoki wakati serikali ya Mama Samia haipigi vsawa sawa vita vya ushoga hadharani kama alivyofanya Museveni Uganda. Walaka hakuna kupinga baadhi ya mapadre kulawiti watoto, walaka hautoki CCM kubaki madarakani milele. Walaka unaangalia maslahi ya kanisa na mabeberu tu
Walaka
 
Hoja ya tec imejadiliwa na watu wengi sana kuliko ya shura ya maimam na wapinzani.Hata kwenye radio na tv yetu pendwa ya Imaaan imejadiliwa.Kiufupi hoja ina msingi,imetikisa nchi na tec wameaccomplish walichokitaka.Kibaya zaidi wamenyamaza kimya.
Na wewe kwa kuijadili unaipa msingi wa kipekee
Tulichokiona ni umissionary TU na maslahi yao. Tunafahamu kuwa wakoloni hawakuondaoka Afrika kwakuwa waliokoka na kuikimbia dhambi ya kupora Mali za wengine, bali waligundua njia nyingine ya kupora bila kelele nyingi.
 
Serikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa hoja ya kuwepo kwa kadhi Tanzania.

Mimi huwa najiuliza maswali kuhusu nguvu hizi za Maaskofu kwanini hazikutumika kupinga Mwl. Nyerere kuifuta serikali ya Tanganyika, kutaifisha baadhi ya shule zao za kanisa kuwa za serikali, wala kupinga nchi kutaifisha mali za serikali kama nyumba, mashirika ya umma na migodi yetu.

Mbona kama waraka hizi zinatolewa zaidi kwenye awamu fulanifulani TU?
Na wewe uwe unatoa kwenye hizo awamu nyingine ili ku'balance' mambo au siyo?
 
Yuko sehemu ambako hata ma pope wanaendaga pia.
 
Tuwe wakweli TU jamani, bandari yetu haitoi mazao yanayotustahili, sio sawa kuogopa kujaribu njia na namna mpya ya kuliendea jambo hili la bandari. Inajulikana pia kuwa wapo watu ambao wanaogopa mabadiliko kwa sababu zao na bila sababu zinazofahamika. Mfano, wapo wale ambao hawakuamini kuwa mwanamke anaweza kuwa Rais wa nchi, wako walioamini kuwa Mama Samia hatamaliza hata siku 100 kabla nchi haijavurugika.

Watu hawa wenye hofu na Rais mwanamke, muislam na mzanzibar wanasubiri sana akosee ili wapate pa kuanzia lakini wanagonga ukuta. Walivizia moments kama za chanjo ya Corona, kuzuiwa kwa mikutano, katiba mpya, mikopo, Royal tour na Sasa bandari kumtia kasoro Mkuu wa nchi lakini bhana mambo Yao bado ni magumu.
 
Serikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa hoja ya kuwepo kwa kadhi Tanzania.

Mimi huwa najiuliza maswali kuhusu nguvu hizi za Maaskofu kwanini hazikutumika kupinga Mwl. Nyerere kuifuta serikali ya Tanganyika, kutaifisha baadhi ya shule zao za kanisa kuwa za serikali, wala kupinga nchi kutaifisha mali za serikali kama nyumba, mashirika ya umma na migodi yetu.

Mbona kama waraka hizi zinatolewa zaidi kwenye awamu fulanifulani TU?
Hii mimi inaenda zaidi ya awamu, nadhani huyu wamemdharau kwa vile ni Mwanamke. Sasa huu Waraka ndiyo Ilani ya CHADEMA sasa kila waendako hata kusiko na bandari kama Meatu na Ngorongoro wanawauliza: je, unakubaliana CCM iuze Bandari zetu kwa Waarabuuuu au unakubaliana na CHADEMA na Maslaakofu kutunza bandari zetu urithi wa watoto wetu? Nyosha mkono nyosha mkono wapiga picha pigeni.
 
Back
Top Bottom