Bhisumbinyama
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 797
- 581
Wala tec hawana hoja ya msingi. Nikundi la wasakatonge struggling for survival. Kama wana uzalendo pamoja na wewe mwenyewe jibuni haya:Ungeonekana una akili sana kama ungetaja huo utapeli. Vinginevyo ni ujinga kuzua mambo. Ukizingatia wengi tumesoma tamko la TEC na lipo sawa kabisa. Limewakamata papaya hadi mnahaha. Kila uchwao TEC hivi, TEC vile
1. Kwa nini hawajawahi kuishauri Serikali ivunje MoU na makanisa ambapo wanapokea mamilioni kila.mwaka na kikomo hakijulikani?
2. Kwa nini tics imewekaze bandarini mpaka ikashindwa na tec hawakujitokezi kuomba serikali iboreshe bandari kwa kuwa tics hawana uwezo?
3. Mbona mikataba mingi imesainiwa lakini tec hawasemi kitu japo kuwa nayo ina mashaka mengi?
Jibu hayo halafu tuendelee.