Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wambieni wanaowatuma wawape na hoja nzitonzitoSerikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa hoja ya kuwepo kwa kadhi Tanzania.
Mimi huwa najiuliza maswali kuhusu nguvu hizi za Maaskofu kwanini hazikutumika kupinga Mwl. Nyerere kuifuta serikali ya Tanganyika, kutaifisha baadhi ya shule zao za kanisa kuwa za serikali, wala kupinga nchi kutaifisha mali za serikali kama nyumba, mashirika ya umma na migodi yetu.
Mbona kama waraka hizi zinatolewa zaidi kwenye awamu fulanifulani TU?
Ada kubwa ni kiasi gani?Makanisa na shule zile zilijengwa kwa rasilimali zetu walizopora, ilikuwa sawa kwa Nyerere kuzitaifisha. Wanadai wanadai msamaha wa kodi kwenye vifaa vya kanisa lakini wanatoza ada kubwa ya shule na matibabu kwenye shule na hospitali zao.
Sio kweli ni vile hawanaga critical thinkingNdio maana Marais wastaafu waislam wako hai wote hadi Leo. Ni wakweli, wasafi, wachaMungu, hawana makandokando zaidi ya kuwatafutia nafuu watanzania wenzao.
Hiyo 80% imeipataje au umeinukuu wapi?Kwanini waraka haukutoka wakati serikali inaruhusu vyama vingi 1992 wakati 80% wa wananchi walikataa?