Waraka wa Maaskofu unabagua mambo

Waraka wa Maaskofu unabagua mambo

Si unajua aliooishia lakini??
Ndio maana Marais wastaafu waislam wako hai wote hadi Leo. Ni wakweli, wasafi, wachaMungu, hawana makandokando zaidi ya kuwatafutia nafuu watanzania wenzao.
 
Serikali imetwangwa barua Waraka na Maaskofu kupinga mkataba wa bandari. Ingawa Baraza hili haliko kisheria kufanya jambo la nchi kama hilo lakini limefanya hivyo baada ya kujiridhisha kuwa serikali, Bunge na mahakama wametenda kosa kwenye mkataba huu. Waraka kama huu ulionekana tena wakati wa hoja ya kuwepo kwa kadhi Tanzania.

Mimi huwa najiuliza maswali kuhusu nguvu hizi za Maaskofu kwanini hazikutumika kupinga Mwl. Nyerere kuifuta serikali ya Tanganyika, kutaifisha baadhi ya shule zao za kanisa kuwa za serikali, wala kupinga nchi kutaifisha mali za serikali kama nyumba, mashirika ya umma na migodi yetu.

Mbona kama waraka hizi zinatolewa zaidi kwenye awamu fulanifulani TU?
Wambieni wanaowatuma wawape na hoja nzitonzito
 
Makanisa na shule zile zilijengwa kwa rasilimali zetu walizopora, ilikuwa sawa kwa Nyerere kuzitaifisha. Wanadai wanadai msamaha wa kodi kwenye vifaa vya kanisa lakini wanatoza ada kubwa ya shule na matibabu kwenye shule na hospitali zao.
Ada kubwa ni kiasi gani?
 
Ndio maana Marais wastaafu waislam wako hai wote hadi Leo. Ni wakweli, wasafi, wachaMungu, hawana makandokando zaidi ya kuwatafutia nafuu watanzania wenzao.
Sio kweli ni vile hawanaga critical thinking
 
Back
Top Bottom