Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

Vigogo wa Chadema wanagawana ruzuku...ukitaka kuliwa kichwa hoji mapato na matumizi ya chadema....transparency=zero
 
 
Nilihama CHADEMA rasmi baada ya kusoma waraka huo...inasikitisha chama kinachojiita cha demokrasia kugeuka kinara cha madudu
 
 
Comment yako inaendana na jinalako "Gwalihenzi"...Labda nikufundishe kitu...kwenye siasa ungeelewa umuhimu wa kura 1, usingethubutu kupost huo utumbo ...Mr.Gwalihenzi
Mapovu ya nini we bi mkubwa? kama kura yako moja imeondoka, nani kakuambia kuwa hakuna kura mia moja zilizoongezeko huko ulikotoka wewe?
 
Ina maana chacha wangwe nae alipigania hayohayo? Je waraka Wa chacha wangwe upo tuuone? Je kifo chake nani anahusika?
Mbowe ana elimu gani?
 
kondoowasufi nenda mwanzoni mwa thread. Ukurasa wa kwanza utauona

Kinachosikitisha ni kila anayetoka Chadema lazima aongelee yale yale.

Inaonekana DJ ni Joseph Stalin wa Chadema aisee.

Ila acha atafune hela chama amekijenga sana... na wengi anaowaongoza hawaoni haya sababu hata kimbilio ambalo ni Ccm nako kuna matatizo!!
 
Last edited by a moderator:
Lakini fairplay mbona kila aneyetoka anamlaumu jamaa kwa nini asilalamikiwe Katibu....Bali yeye tu...ndo maana nikauliza F.E.M hakujichanganya vyuoni jinsi ya kuishi na watu?
 
Mbowe kama unamganga endelea nae usimuachie maana haya mambo unayoyafanya watu hawayaoni wanaona ya wengine wanafukuzwa na kusimamishwa na kuvuliwa vyeo vyao du...!!!

Mbowe ni mchawi balaa hata kule Musoma alituma watu kwenda kuwanunua wazee wa Mila wasifanye Tambuko juu ya kumuua Chacha, Wauaji wa Chacha wanajulikana mmojawapo ni Deus malya mwingine ni mbunge wa kasikazini na mwingine ni mbunge jijini Dsm na woote ni Wachaga na ni ndugu wa Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…