Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

R.I.P chacha wangwe . Haya mauti yalikuwa ni Kafara kwa chadema ili mbowe apae zaidi lakini imekuwa kinyume, kwani mpaka anazeeka hatakaa awe Rais wa Tanzania.
 
Chaha Wangwe alikufa kwa ajali ya gari.

Si kweli hata chembe Ile haikuwa ajali yale yalikuwa maigizo ya Deus Malya tu baada ya kutekeleza alivyoagizwa na Mbowe. Chacha wangwe alipigwa Risasi mdomoni kisha kijiko kikaibinua ile gari na kuiponda kwa juu kisha kikatikomea, Lema anaijua Sinema yooote lakini Rushwa ni Adui wa haki ndiyo maana kila kitu kiliminywa.
 
Si lazima wa-copy mambo ya ccm, wao chadema ni chama cha kukosoa mabaya ya chama Tawala si kukariri mabaya. Wao kama walimuua Chacha wangwe Dhambi yao ipo milele na safiri hii idadi ya wabunge itapungua sana.
 
Yaaani hata mie nashangaa,,,sielewi kabisa watu wamelishwa nini. Wanashindwa hata kufocus kwenye makosa ya Mwenyekiti na Katibu ambayo tayari yana uthibitisho wanabaki kung'ang'ana na vitu vya kufikirika.

Mbowe alichukua majina ya wanachama woote akayapeleka kwa Sangoma Gambia kipindi cha uchaguzi wa ndani, kawapiga Limbwata wana-cdm wote hakuna wa kufurukuta na ikitokea lazima Deus malya azae na wewe.
 
wapenzi wa chadema wenye mahaba na mbowe huwa hawalisemi hili wala huwa hawawezi kujibu hizi hoja, ila watatukana sana tu

Mbowe alichukua majina ya wanachama wote wa Chadema akapeleka Gambia wakamtengenezea Limbwata kubwa ndiyo maana hata akifisadi pesa za Chama hawaongei wapo kiimya! Sana sana wanamsifia kinafiki nafiki huku wengine wakiwaogopa akina Kileo,Rwakatare, Lema na Deus malya.
 
Kuna mijitu ukiwauliza wanatoa wapi ujasiri wa kuikemea CDM wakati wao wanajilimbikizia madaraka kibao kwa maslahi ya CCM ... Wasaliti plus mamluki wote wametambuliwa na kutimuliwa ... CCM must go! Hakuna namna ... Nyakati hizi ni vigumu sana kumpata kiongozi wa aina ya Mbowe! Kiongozi asiekuwa na price Tag Mgongoni ... CCM wanajua kuwa hata wamhonge Mbowe BOT hatachukua !!! ....
 
Ina maana chacha wangwe nae alipigania hayohayo? Je waraka Wa chacha wangwe upo tuuone? Je kifo chake nani anahusika?
Mbowe ana elimu gani?

Ans => Mbowe hana Elimu ya Taaluma isipokuwa Elimu ya Ufisadi na Umafia na U-Dj anayo, kwa kifupi Elimu Dunia ya kijanja janja anayo kimtindo. Kifo cha Chacha kiriratibiwa na Mbunge wa Dsm mchaga na Mlinzi wa chacha ndiye alikuwa akiwapa Data zote akisaidiana na Deus malya, watekelezaji wa mauji ni k na L wote ni wachaga huku Deus malya akitumika kuwahadaa watanzania kuwa ile ilikuwa Ajali , wakati yale yalikuwa mauaji kisha wakatengeneza sinema Feki ikiambatana na Rushwa kubwa iliyofanikiwa kuficha Ukweli.
 

Madhambi ya ccm si kigezo cha kuharalisha mapungufu ya Mbowe , tambua kuwa kazi ya Chadema ni kuikosoa ccm, sasa kama Chadema kwenyewe kuna Ufisadi wa ndani ya chama wanatoa wapi uharali wa kuwakosoa ccm? Jaribu kujitambua usikariri kuwa Mbowe ni Mungu hana kasoro zake.
 
Dj MBOOwe akigombea tena Uenyekiti kwa mara ya 3 jumla atakaa miaka15 kwenye uongozi nahama rasmi CHADEMA maana atakuwa ni mlafi wa Madaraka na kiongozi kama huyu hafai kupewa Dola ataibadilisha na katiba yenyewe kabisa.

Mbowe anatawala kifalume na Mwenyekiti wa kudumu mpaka anatembelea mkongojo .
 
 
Hapo ndo tatizo lilipo. ukiangalia kwa undani barua hiyo ya Wangwe yote aliyopigania Wangwe RIP ndo hayo yaliyomfukuzisha Kabwe. Tatizo lipo kwa uongozi wa juu na lazima lipatiwe ufumbuzi haraka.

Tatizo kubwa Chadema ni Pesa za Ruzuku na pesa za misaada kuliwa makao makuu kijanja janja na Mbowe na Timu yake akina Lema mnyika Kileo nk na yeyote anayethubutu kuhoji huanzishiwa Zengwe la hatari asipo uawa Kama chacha basi atafanyiwa kama zito.
 

Huu walaka si wa leo kama unakumbuka kipindi cha mgogoro kati ya marehemu chacha na Mbowe huu walaka ulichapishwa kwenye Gazeti na hii si kazi ya ccm bali ni Mungu kaamua kufichua Uovu wa Mbowe, usikariri kuwa Mbowe ni Mungu hana Dhambi na kila jambo linalomuhusu ccm wamelitengeneza, Madhambi ya Mbowe, Ufisadi wa ndani ya chama upo wazi haihitajiki hata elimu ya darasa la pili kutambua, hata asiyejua kusoma anajua kuwa Mbowe ni Fisadi wa pesa za Ruzuku na misaada kwa Chadema.
 
Yaani kwa mfano wako ccm wana Nafuu sana na kwa style hii ya Ufalume wa Mbowe ndani ya Chadema hakuna dalili za kuingia ikulu watabakia hapo hapo walipo mpaka wanazeeka.
 
Alichokipigania chacha wangwe ndio,
Kitaondoa wizi wa fedha za halmashauri zetu?

Ndicho kitazuia ccm kutawala?

Ndicho kitazuia traffic kuwatoza madereva kila siku elfu 5000?


Ndicho kitaondoa kauli za ccm kuwa Dr salm na Bashe sio raia wa Tanzania?


Ndichokitaleta maji,umeme,elimu bora,aoko la bidhaa za wakulima na pia miundombinu mizuri kama flyover?


Au ndicho kitakomesha akina nyoka wa makengeza kukwapua ndani ya BOT na kuhamishia nje ya nchi?




Au ndicho kitatupa katiba bora,siasa safi na uongozi bora?
au kazi yako ni kuwaza chadema tu, badala ya kuleta hoja ya maendeleo endelevu?

Ukifilisika kisiasa,utajinasibisha kwa udini,ukanda na ukabila,Chadema kwa watanzania wameijua vema,kapikeni kingine wachovu wa reasoning nyie


 
Kwahiyo mbowe ni nkurunziza wa chadema.

Umechanganyikiwa Nkrunzinza ni Rais rafiki wa maccm,Mbowe wapo na wapi
Katupe jivu mil 849.12 za misamaha zimeliwa na wachache mnaowalea mtazirudisha au chukua chako mapema?
 

Hivi si vigezo vya kumfanya mbowe aendelee kukiibia chama Uovu wa ccm isiwe sababu ya kuabudu Ufisadi wa mbowe na kukumbatia ukabila wenu, wewe kubali kuwa Mbowe ni Mtemi na mjanja anawapiga pesa zenu lakini mnaogopa kumchana live mnaishia kuwamulika ccm huku Chadema pesa inaliwa kiulaini na wajanja wachache.
 
Kwahiyo mbowe ni nkurunziza wa chadema.

Ni zaidi ya huyo kwani Chadema ni saccos ya Mtei na falsafa yao ni kutafuna pesa za chama na kila anayethubutu kupaza sauti anafukuzwa kwa kupakaziwa mengi, Chadema wameshindwa kutambua kazi ya Upinzani ni kuwa chama saaafi kwanza ndipo wawakosoe ccm , cha Ajabu Chadema kuna Ufisadi mkubwa lakini wana Chadema wengi ni Viziwi na vipofu wanamwogopa Mbowe kuliko chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…