ulishapitwa na wakati ni siku nyingi
Kazi ya cdm ni kuiondoa ccm madarakani,hizo hela unazo zijadili ni kidogo sana,ccm waatumia hela nyingi zaidi kuin'goa cdm na haikaguliwi.
Nakushauri uje na hoja zenye kukabili changamoto za kimaisha kwa Watanzania,badala y kujadili chama.
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
Msingida usitetee ujinga,hata kama ulizionja zingesaidia sana harakati kama zingeenda sehemu husika!
makamanda wote wameyeyuka, hawataki kuskkia ukweli
Mimi sina tabia ya kufuata mkumbo ndugu.Kama hao unaowaita walikuwa mapandikizi walitibuka basi mimi sio wao.Nimeleta mada baada ya ku-prove on how History use to repeat itself jamaa.Na ninaamini kama wewe umejiwekea mipaka katika kufikiri kwako basi itakuwa ngumu sana kuweza kuleta mawazo endelevu katika hili suala na utabaki kutoa mapovu tu#wake up and free ya' mind dawg
Wanapropaganda wa ccm mko kazini