Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

Waraka wa Marehemu Chacha Wangwe na Hatma ya Siasa za CHADEMA

WAKATI MWINGINE VYAMA VYETU VYA SIASA VINACHANGIA SANA KUIWEKA CCM MADARAKANI.
CCM NI NYEPESI SANA KAMA TUNGEKUWA NA UMOJA WENYE KATIBA MADHUBUTI NA SIYO MAAMUZI YA MTU MMOJA MWANZILISHI WA CHAMA.
 
Hee, bado uko enzi za Chadema kupata ruzuku ya millioni 66 wakati sasa kinapata zaidi ya millioni 300! Yaani bado uko enzi za ujima ndugu. Kwa akili hizi Tanzania ya viwanda tutaisikia redioni.
 
Mbona mkuu wa majeshi ni msukuma kama alivyo mwenyekiti wa chama cha magamba?
 
Karne 21 unazungumzia ukabila, lazima utakuwa mchawi wewe?
 
Hamjalazimishwa kuwa chadema kuna vyama vingi mnaweza kujiunga au jiunge na CCM yenye uhuru na pasipo na ukabila wala ukanda
 
Hata mimi nimehamia CCM sasa nimechoshwa na Ukabila wa Chadema
Kwani ukihama na kujiunga mafisiem, ni matakwa yako,chama kitakuwepo na maisha yanaendelea
Siasa za aina hii zilisha pitwa na wakati , ila naona bado upo zama za kale za mawe ''ULIMBOMBO NA ULINDI'' na umepoteza mda wako mwingi kuandika makala ndeeeefu yenye hoja zilizo pitwa na wakati kwa sasa.

Kushambiliana kivyama kwa sasa hakuna tija kwa siasa za sasa, mkuu nadhan ndio umeibuka leo kutoka shimo la wapi sijui ukadhan bado watanzania tuna siasa za aina hiyo, pole sana siasa za sasa ni kuhusu mipango ya maendeleo ya taifa letu chini ya Rais wetu Mh.John Pombe Joseph Magufuli na si vinginevyo.

Hivyo watakao ungana na wewe kwa hoja yako hii ya ukabila na ukanda nadhani wapimwe afya za akili zao kama wanaendana na usasa wa siasa za sasa tanzania
JITAFAKARI KWANZA USAWA WA AKILI YAKO.
 
Njoo nisaidie kusoma, halafu ndo nichangie,ufanyage hata summary kidogo basi maana si kwa gazeti hili
 
Usasa ni unafiki baada ya wewe kupata matatizo ndo unasema chadema ya wachaga hapo hapo unasema kamanda chacha wangwe alisema chadema ya wachaga je mbona uliendelia kubaki chadema? Kila mtu atavuna alichopanda usitafute huruma ya wanachadema
 
ni kweli hayo ni sawa alivyofanya H.kolimba alivyosema ccm inapoteza dira na ccm siyo mama yangu wala baba yangu na kulichokuja kutokea kila mtu anakujua!
 
Umeanza kusema ukabila. Kesho utasema udini. Uspande mbegu za chuku za kikabila. Makabila yote yamo chadema. Acha uchochezi wa kikabila kama umekosa nafasi nenda chama kingine. Mbona viko tele?.
 
Ukisoma uzi na kumaliza utaelewa kwanini CCM itashinda 2020...CHADEMA UKABILA +UDINI... CUF UDINI ukiangalia ACT kimejaa wachumia tumbo plus wasaliti yaani CCM anajishindia kiulaani kabisa.
 
Back
Top Bottom