Naomba nisieleweke vibaya kwa walim wenzangu,ila me nataka kuwaambia walim wenzangu kuwa,mshahara hauwez kututoa kama tufikiriavyo,lakin walim wa serikali tupo free sana,tutumien fursa hii kujiongezea vipato,Let say kwa wiki una vipind kwa siku 2,hizi siku nyingine wafanya nino OFISINI???
Kumbe nyie mdio mnaotuharibia hii profesheni yetu aisee, na nina wasi wasi na elimu yako kwamba haufanyi uchunguzi, vipindi viwili? unless otherwise unaishi dsm coz hapo wamejaa wanawake ambao wengi wao ni vimwana wa mabosi, wake zao, wanaume wengi basi ni watoto wa wakubwa, sasa sijajua upo kundi gani. Nenda pembeni pembeni huko mikoani, utalia.
Mimi ni mkufunzi naona ninapoenda kuassess, hali mbaya sana. USIONGEEE AISEE