Waraka wa mishahara ya walimu umetoka leo, majonzi yaendelea

Waraka wa mishahara ya walimu umetoka leo, majonzi yaendelea

Naomba nisieleweke vibaya kwa walim wenzangu,ila me nataka kuwaambia walim wenzangu kuwa,mshahara hauwez kututoa kama tufikiriavyo,lakin walim wa serikali tupo free sana,tutumien fursa hii kujiongezea vipato,Let say kwa wiki una vipind kwa siku 2,hizi siku nyingine wafanya nino OFISINI???

Kumbe nyie mdio mnaotuharibia hii profesheni yetu aisee, na nina wasi wasi na elimu yako kwamba haufanyi uchunguzi, vipindi viwili? unless otherwise unaishi dsm coz hapo wamejaa wanawake ambao wengi wao ni vimwana wa mabosi, wake zao, wanaume wengi basi ni watoto wa wakubwa, sasa sijajua upo kundi gani. Nenda pembeni pembeni huko mikoani, utalia.
Mimi ni mkufunzi naona ninapoenda kuassess, hali mbaya sana. USIONGEEE AISEE
 
Kwa walimu ni kawaida tunachukuliwa poa sana na viongoz walioko juu wanatuchakachua
 
Mkuu jamaa wanapambana...km we ni mtumia bodaboda ukipanda bodaboda saa za jioni ongea na dereva..hutapitisha wiki hujabebwa na mwalimu..
Ukienda maeneo ya vijijini ukiona kiosk jaribu kuuliza mmiliki..ukiuliza zaidi ya vinne..hutakosa cha mwalimu. Ukiona muuza vitumbua shuleni ebu jaribu kuuliza..km sio mwalimu basi ni mke wa mwalimu. Wanapambana mkuu..japo kutoka siyo rahisi kihivyo.
kaka sory me nategemea kuagiriwa next year nimemalza baed. Vip tunaanza na sh ngap?
 
dah! Sasa hapo ndio wanasema wameongeza nini? Kuna asilimia 2,ya chama cha wafanyakaz,13 ya income tax,10 ya pension,bado kama unamkopo nmb,barclays n.k. Piga hesabu huyo mtumishi atabaki na nn? Twendeni mtaani tu

wategemee hali mbaya zaidi ya hii iliyopita....
WALIMU NA CHADEMA DAIMA.
 
Tutafelisha zaidi ya hapa.
Ndo silaha pekee iliyobaki.
Hatuwez kudharaulika kiasi hiki walimu.
Na mwaka 2015 ccm out!
 
Kama walimu wanafanywa kuwa ni watu wenye shida basi elimu yetu bado itakuwa ni ya shida pia.kwa hil tutarajie matokeo mabaya forever, walimu fundishen kulingana na mshahara mnaopewa.
 
Hapa inatengeneza wigo wa walimu kukacha vipindi na kwenda kujiongezea kipato.
 
Back
Top Bottom