Waraka wa Mtikila Kwa Bunge Huu Hapa!!!!!!!!!!!!

Waraka wa Mtikila Kwa Bunge Huu Hapa!!!!!!!!!!!!

Waambie mtikila, vichwa vya panzi haviwezi kuelewa.
 
Mch Mtikila wewe ni kichwa cha ukweli.

Naamini atawabadilisha wengi kwa waraka wake huu.
 
Hili jamaa ni kichaa kweli kweli. Hivi kwa nini lisipelekwe Milembe, Dodoma? Mdomo wake unanuka kabisa. Nasikia hata ndugu zake wote haelewani nao. Nasikia hata mke ameamua kujitenga kwa kulala chumba chake. Alimuogopa sana Nyerere kiasi kwamba hakufahamika kabisa wakati wa Enzi zake. Pumbafuuuuuu!!!!!
 
Mchungaji Mtikila wewe ni kichwa nakukubali,Watanganyika wengi wetu ni wavivu wa kufikiri tunaburuzwa tu,tukatae kongwa hilo.
 
"Katika mabadiliko hayo Wazanzibari wamefuta kipengele kilichowaingiza katika huo Muungano kwa Tamko kwamba Zanzibar ni sehemu ya Muungano, kwa Tamko kwamba sasa Zanzibar ni Nchi iliyo huru, au Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Ni dhahiri kwamba watu wa Jamhuri ya Zanzibar wameletwa katika Bunge hili la Katiba ambalo haliwahusu baada ya kujitoa rasmi katika muungano, ili watumiwe kwa maslahi ya kikundi cha ki-Mafia cha CCM kinachotaka kutawala milele" :-Mtikila

Katika watanzania millioni 43 huyu jamaa Mtikila ndio peke yake mwenye akili waliobakia wote mbumbu..
 
Back
Top Bottom