"Katika mabadiliko hayo Wazanzibari wamefuta kipengele kilichowaingiza katika huo Muungano kwa Tamko kwamba Zanzibar ni sehemu ya Muungano, kwa Tamko kwamba sasa Zanzibar ni Nchi iliyo huru, au Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Ni dhahiri kwamba watu wa Jamhuri ya Zanzibar wameletwa katika Bunge hili la Katiba ambalo haliwahusu baada ya kujitoa rasmi katika muungano, ili watumiwe kwa maslahi ya kikundi cha ki-Mafia cha CCM kinachotaka kutawala milele" :-Mtikila
Katika watanzania millioni 43 huyu jamaa Mtikila ndio peke yake mwenye akili waliobakia wote mbumbu..