Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

Ndo maana i will keep insisting siyo wavivu. Wahaya wana makosa yao kutokishtuka mapema lkn serikali imewakosea zaidi.

Panaponisikitishaga zaidi ni kigoma aisee. Yaan sijawahi kufika lakini nikifikiria barabara zao roho inaniumaa balaa. Mpango apambane. Mkoa ule una neema sana. Sana sana sana. Yaan serikali imeutenga mno. Ni mkoa wa kihistoria. Kwann wanautenga vile? Hata barabara tu kweli? Yaan nani atapeleka mabasi yake kule? Nani akatese malori yake kule? Basi japo lami wawakumbuke. Huduma zingine watajipelekea hata wenyewe raia ama taasisi mbalimbali kama za dini etc. Yaan wawape lami tu. Wanawatesa sana. Na waha ni wachapa kazi sana. Wale dagaa ilipaswa tutambe kidunia ila ndo hivyo tena

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Wanasema eti mkoa wa wakimbizi, serikali inaamini kwamba ikiwapelekea maendeleo watataka kurudi kwao, mambo ya ajabu kweli kweli.
 
Katawaze **** lako linanuka! Malaya mkubwa mbwa wewe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Wanasema eti mkoa wa wakimbizi, serikali inaamini kwamba ikiwapelekea maendeleo watataka kurudi kwao, mambo ya ajabu kweli kweli.
Aisee. Kwani intelijensia yao imekaaje mpaka waweze ingia. Halaf hili tatizo lipo sana. Yaan kama wakongo wamejaa kweli. Hivi sisi ni wakarimu sana kiasi hiki? Mbona tunanyanyasikaga sana mataifa ya watu tena hawahawa majirani? Wao hapa wanajiingilia tu? Waendeshe tu intelijensia yao vyema. Ila huduma za kijamii waache kuwabagua

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Nakuelewa ndugu ila kwa hili idi amini tunamsingizia,mimi nimefika bukoba,kyaka,mtukura,misenyi,ngara,karagwe.sijaona madhara ya iddi amini,iddi amini alitia hasara taifa kwa kuua wanajeshi na kutumia bajeti kubwa kumfurusha ila wahaya na wanyambo walioathirika na vita moja kwa moja ni kidogo sana,mi nadhani zao ka kahawa kukosa bei nzuri,na mnyauko wa migomba,wahaya kutopenda fursa zingine zaidi ya kusoma,kutowekeza bukoba mjini,ubinafsi,ubaguzi na egoism ndio sumu ya maendeleo ya wana bukoba
Hujaona madhara Kwa sababu watu wa huu mkoa wamepambana kuurudisha katika Hali ya Sasa....eneo la kaskazini ya mto kagera Kuna nyumba nyingi zilivunjwa na watu waliuliwa kibao...

Mji huo wa bukoba baadhi ya maeneo yake yalilipuliwa ..

Hata Tetemeko la ardhi huoni watu walivyojenga faster na Sasa huwezi ona madhara yake Tena....

Vijana wa huu mkoa wanajituma sana na kujitegemea

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Nakuelewa ndugu ila kwa hili idi amini tunamsingizia,mimi nimefika bukoba,kyaka,mtukura,misenyi,ngara,karagwe.sijaona madhara ya iddi amini,iddi amini alitia hasara taifa kwa kuua wanajeshi na kutumia bajeti kubwa kumfurusha ila wahaya na wanyambo walioathirika na vita moja kwa moja ni kidogo sana,mi nadhani zao ka kahawa kukosa bei nzuri,na mnyauko wa migomba,wahaya kutopenda fursa zingine zaidi ya kusoma,kutowekeza bukoba mjini,ubinafsi,ubaguzi na egoism ndio sumu ya maendeleo ya wana bukoba
Kwa hiyo waache kusoma..?wafanye mambo mengine?

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Zimbabwe hawataki kumsikia huyu mama jinsi alivyoungana na mabeberu kuisagia kunguni nchi yao ipigwe sanctions.
Wazungu wenyewe wakasema ripoti tumepewa na mwafrika mwenzenu Tena kutoka nchi ambayo ni maswahiba wenu Wala hakuna mzungu alieshiriki hiyo ripoti.
Mama nuksi huyu.
Yeye pia kwanini hajawekeza hata shule zake huko Kagera?
Kagera ana shule pia Tena nzr sana inaitwa Kajumulo Alexander girls high school

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Tusidai katiba mpya kwa kutukanana tafadhali Sasa andiko langu na matusi Yako wapi na wapi ebu jitafakari nani mpuuzi kati yangu na wew? Kama mnataka katiba mpya kwa matusi HIV mtaipata
1. Je wewe ni Tibaijuka uliendika waraka? au wewe ndiye mwenye umeanzisha huu uzi?
2. Wapi nimekuquote kuashiria comment yangu inakulenga wewe? double ID sio!
3. Na ni kwanini kila dai la msingi lenye kupoka ulaji wenu katika taifa letu mnalihusisha na upinzani hasa Chadema? Hivi mnadhani ni wanaccm wote wanakubali upuuzi wenu?
 
Wahaya wengi wameinvest Dubai ambayo ni kama second home!
... KWA SAUTI YA MPOKI WA COMEDY!
1642420785823.png
 
Hakuna anayewakataza kusoma! Kusoma tu bila kuwambunifu haina maana! Pia kikubwa muwe na ushirikiano na wageni wa mkoa wenu! Kifupi muache ukabila, ubinafsi na roho mbaya!
Sidhan kama Kuna watu wanabebana sana hapa bongo kama wahaya....

Naomba uniambie ni familia gan za kihaya zina wasomi halafu bado ni maskini???

Elimu inalipa sana...

Mambo ya mikoa waachie serikali

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mfano?

..kipato cha wananchi kitaongezeka kama wataweza kuzalisha zaidi haswa ktk kilimo, wataweza kuongeza thamani ktk mazao yao, na watakuwa na masomo ya uhakika ya mazao yao.

..kwa hiyo, serikali iangalie namna ya kusaidia wananchi wa Kagera ktk maeneo hayo matatu. Kwa mfano, sina uhakika kama kuna masomo ya kisasa ktk mipaka ya nchi jirani ktk mkoa wa Kagera.
 
Kwa hiyo waache kusoma..?wafanye mambo mengine?

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Wawe flexible,dunia imebadilika,kama mtoto kichwa kigumu na ana kipaji muache atumie kipaji chake,refer saida kalori,hakusoma ila muziki ulimpa maisha,mhaya hajui biashara,hajui mpira hajui muziki.amekariri kusoma tu
 
Sidhan kama Kuna watu wanabebana sana hapa bongo kama wahaya....

Naomba uniambie ni familia gan za kihaya zina wasomi halafu bado ni maskini???

Elimu inalipa sana...

Mambo ya mikoa waachie serikali

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ila nikuambir kitu insta? Hapajawahi kutokea matajiri katika wasomi. Labda huu ukuaji wa teknolojia. Yaan mabilionea wengi hasa huku Africa ni la saba[emoji28][emoji28] halaf wanatuajiri sisi wasomi.

Nakupa mfano hai... kwa kilimanjaro, jamii iliyokua imesoma sana ni wamachame, old moshi na Marangu. Walipata elimu kabla ya warombo na wakibosho. Hawa wakibosho na warombo ndo wakawa chokaa mbaya ila ndo ikawatia ndimu. Wengine wakiwa wanapiga vitabu hawa wakibosho na warombo wakaanza uchuuzii. Yaan wamesotaaa balaaa... walikua maskini kweli kasoro nyumba za wamangi. Navyokuambia kwa sasa ni hivi? Hawa wamachame na wamarangu wamekuja kudrop. Yaan mabilionea wamekuja kuwa wale makapuku. Baba zetu na mama zetu ni la saba nakuhakikishia lkn hiyo pesa waliyo nayo sisi tutashika lini. Na hata ktk sisi ambao tulioendelea, yaan wale makapuku wamekuja kutupita kama umeme[emoji23][emoji23]
Sisi tukishakuwaga na Elimu tunabweteka sana. Tunaona kufanya hata kazi za uchuuzi kama vile tunajishusha. Mfano mzuri mimi tu. Nikikuambia mtaji nilioutaka kwa mzee na mia mbovu sikua nayo[emoji23][emoji23] Elimu naona inatulemaza sana kwa upande mwingine. Ndo kinachowakumba wamarangu na wamachame. Elimu kama huifanyii practice ni tatizo. Mtaji wenyewe shida. Mkopo wenyewe ndo mtauana. Basi unabaki na vyeti vyako tu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
..kipato cha wananchi kitaongezeka kama wataweza kuzalisha zaidi haswa ktk kilimo, wataweza kuongeza thamani ktk mazao yao, na watakuwa na masomo ya uhakika ya mazao yao.

..kwa hiyo, serikali iangalie namna ya kusaidia wananchi wa Kagera ktk maeneo hayo matatu. Kwa mfano, sina uhakika kama kuna masomo ya kisasa ktk mipaka ya nchi jirani ktk mkoa wa Kagera.
Hivi kwanini walitoa masomo ya kilimo na ufugaji katika mtaala wa Elimu? Why? Aisee japo jembe sijui kulishika lakini napenda mno kilimo na ufugaji. Ile ardhi ya kagera ningeimiliki yaani

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kilichorudisha nyuma maendeleo ya Kagera ni usafiri. Wahaya walipokuwa wakifika Dar au Mwanza, usafiri wa kurudi kwao unakuwa ni mgumu sana ndipo wengi wao wakahamishia makao yao Dar na Mwanza. Serikali ya Magufuli ilijitahidi kujenga tena infrasturucture ya kwenda Bukoba kwa kufufua meli, usafiri wa ndege wa uhakikia, na jitihada za kuimarisha barabara kati ya Mwanza na Bukoba kupitia Busisi na hakuwahi kushukuru serikali hiyo.

Leo hii mama huyu kulilialia huku ni unafiki tu kama alikuwa hajui hili. Yeye ana hela ya mboga nyingi tu hapo Dar.
Serikali ya magufuli? Hizo barabara zimejengwa enzi ya mkapa na Jk
 
Wawe flexible,dunia imebadilika,kama mtoto kichwa kigumu na ana kipaji muache atumie kipaji chake,refer saida kalori,hakusoma ila muziki ulimpa maisha,mhaya hajui biashara,hajui mpira hajui muziki.amekariri kusoma tu
Sasa watoto sio vichwa ngumu ndo maana wanasoma Hadi vyuo vikuu....

Yaan mtu afaulu vzr aache kwenda chuo sijui afanye biashara? sijui uchuuzi kama wafanyavyo makabila yasiyosoma....
Husishauri wahaya waanze uchuuzi bali watumie elimu Yao kuwa innovative kama walivyofanya baadhi ya wahaya maarufu kama Maxence melo, Ruge,Ally mfuruki, Mshumbusi, kareju,dk remmy NK nk

Kwanza mnasingizia tu...Kuna wafanyabiashara kibao tu wa kihaya
Kuna wavuvi kibao...

Kuna wakulima wa miwa Kule misenyi
Kuna wakulima kibao wa vanilla huko misenyi

Bado na wahaya wachuuzi wapo kibao tu..

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom