Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,265
- 2,252
Wanasema eti mkoa wa wakimbizi, serikali inaamini kwamba ikiwapelekea maendeleo watataka kurudi kwao, mambo ya ajabu kweli kweli.Ndo maana i will keep insisting siyo wavivu. Wahaya wana makosa yao kutokishtuka mapema lkn serikali imewakosea zaidi.
Panaponisikitishaga zaidi ni kigoma aisee. Yaan sijawahi kufika lakini nikifikiria barabara zao roho inaniumaa balaa. Mpango apambane. Mkoa ule una neema sana. Sana sana sana. Yaan serikali imeutenga mno. Ni mkoa wa kihistoria. Kwann wanautenga vile? Hata barabara tu kweli? Yaan nani atapeleka mabasi yake kule? Nani akatese malori yake kule? Basi japo lami wawakumbuke. Huduma zingine watajipelekea hata wenyewe raia ama taasisi mbalimbali kama za dini etc. Yaan wawape lami tu. Wanawatesa sana. Na waha ni wachapa kazi sana. Wale dagaa ilipaswa tutambe kidunia ila ndo hivyo tena
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app