Ujuaji ndio umewafikisha hapo!
Hamuambiliki! Mnajua kila kitu,
Mpambane na hali yenu,
Ukiondoa level ya A level, asilimia kubwa ya wanafunzi kwa o level na primary wanaosoma kagera ni Wahaya, Wahaya wanaamini shule zao ndiyo zinafundisha vizuri, kwahiyo hawapendagi kupeleka watoto wao nje ya mkoa.Yeye anajua shule ikiwa kagera wanaosoma ni wahaya tu! Taahira kweli huyu wanafunzi wengi wa private Kagera wanatokea kanda ya ziwa nzima pamoja na mkoa mingine!
Weee... kumbe mnafanya? Sasa ni nn tena? Hamjui nyie ni yatima wenzetu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si muongeze nguvu kazi? Sasa hb hakikisheni kwanza muna barabara za kutosha... au tunadilishane mkoa? [emoji28][emoji28] najua barabara zikishakua nyingi baasi mmetoboa. Maana kutakua na connection na mwingiliano mkubwa. Ama nyoe siyo wabishi kama sisi? Kwanini isiwe get rich or die trying? Yaan machaka yote hayo jamani? Ama munachomana wenyewe kwa wenyewe. Mtu unakula zako chaka lako mali ghafi hii hapa. Itafika mahali watawaomba kwenye meza ya mazungumzo maana hivihivi hamtapata heshima nyie. Si unaona kwetu heshima ipoHayo mambo ya michango na harambee yako Kila mwaka huku uhayani..watu wanajenga mabweni,shule ,dispensary, Hadi Barabara..
Tatizo la huu mkoa ni population...kagera Ina 3.5 million people nyuma ya dar na Mwanza tu....lakin GDP ni ndogo mno
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Anachekesha sanaYeye anajua shule ikiwa kagera wanaosoma ni wahaya tu! Taahira kweli huyu wanafunzi wengi wa private Kagera wanatokea kanda ya ziwa nzima pamoja na mkoa mingine!
Hiv huwezi kuongea bila kutukana....Yeye anajua shule ikiwa kagera wanaosoma ni wahaya tu! Taahira kweli huyu wanafunzi wengi wa private Kagera wanatokea kanda ya ziwa nzima pamoja na mkoa mingine!
Ukiona stand ya mabasi ya mkoa pale bukoba utacheka,utadhani standi ya mbagala rangi tatuWeee... kumbe mnafanya? Sasa ni nn tena? Hamjui nyie ni yatima wenzetu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si muongeze nguvu kazi? Sasa hb hakikisheni kwanza muna barabara za kutosha... au tunadilishane mkoa? [emoji28][emoji28] najua barabara zikishakua nyingi baasi mmetoboa. Maana kutakua na connection na mwingiliano mkubwa. Ama nyoe siyo wabishi kama sisi? Kwanini isiwe get rich or die trying? Yaan machaka yote hayo jamani? Ama munachomana wenyewe kwa wenyewe. Mtu unakula zako chaka lako mali ghafi hii hapa. Itafika mahali watawaomba kwenye meza ya mazungumzo maana hivihivi hamtapata heshima nyie. Si unaona kwetu heshima ipo
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Kwa nini alie alie wakati huna uwezo wa kumsaidia, yaani wewe kuwa na duka lako au biashara yako ukamvimbie muhaya, unakuwa unapoteza muda atakudharau tu.Hawa vijana wa kihaya hata ukikutana nae mtaani anashida kibao anajitutumua yuko vizuri! Hawataki kushirikiana na wenzao wao wanajua kila kitu!
Tazama haya matokeo ya form two katika hii seminary ya Rubya huko bukoba.Hakuna seminary nchi hii ikawa mkoa fulani halafu 99 asilimia wakawa wenyeji! Kadanganye wahaya wenzio kijiweni!
Hawa hata ukienda soko kuu la bukoba hawataki hata kuchinja kuku wanaowachinjia kuku wengi ni watu wa musoma na Mwanza wao wanaona kazi ya kiboya! Lakini jioni mchinja kuku anatoka na elfu 40 utamfikia lini na mshahara wako wa laki tano uliojaa makato!uchwara!kwanza ukubali kuwa ukimwi umechangia pa kubwa kuwamaliza nyie watani zangu!!! nimesoma hapooo Nyakato sec.school watu walikuwa wanafanyana kweny migomba ya shule kila siku,
ukipita ivi au vile unawakanyaga kwa siku unaweza kanyaga watu hata hamsini jamani kweli? hii imewapukutisha sana nguvu kazi mkubali tu! hiyo moja..
Kahawa/michai imeshuka bei na wala haitaki kupanda BUKOP imezama! sasa tuwafanyeje watani zanguni?? hatuwezi kuwapa hela tuuuu! bila shughuli! na madanguro wtu hawataki kufanyana siku hizi mengi yana fungwa!
kashai bukoba imekufa....lutiginga Musoma IMekufa, hayya Paleee temeke wailles pamefungwa watu hawaendi sasa tuwalazimishe wanaume kufanyana na nyie?
hapa mtani wangu utuwoe radhi kidogo sina hasira na nyie ila mmechuja mnoo!! si mnajua Vita ya kagera wasinge kuwa wakurya na mwalimu nyerere mngekoma kwa yule bwana kitambi Amini! sasa tena mmekuja nalingine!!
Mlizoea babu yenu nyerere kuwabeba mkabweteka lkn sasa hayupo ndo madhara yake?? mwende mkalie butiama kaburini mtambike muwe salama mkijifa nya vichwa mtakwisha
Mnadhani mzanzibar atawasaidia nini??? sasaana atawacheka tu!! mjibebe! naomba niwashauri kitu kimoja nendeni Musoma Mjifunze kujitegemea ila kure ni kazi kazi hawataki mapenzi maweeee.......yangu ni hayo!
Lawama kwa serikali bwasheeeee... serikaki ilaumiwe kwa hili. Hata tukawacheka ni bure tu tuseme ukweli. Tuwacheke kwa nyumba za tembe zao tu na maisha mengine ila kwa huduma za kijamii hapana[emoji28]Ukiona stand ya mabasi ya mkoa pale bukoba utacheka,utadhani standi ya mbagala rangi tatu
Wewe umejaa chuki tu na wahaya wala huna unachokijua kuhusu kagera, Nyerere kuisadia kagera? Kwanza hako kajitu hatutaki kukasikia.kwanza ukubali kuwa ukimwi umechangia pa kubwa kuwamaliza nyie watani zangu!!! nimesoma hapooo Nyakato sec.school watu walikuwa wanafanyana kweny migomba ya shule kila siku,
ukipita ivi au vile unawakanyaga kwa siku unaweza kanyaga watu hata hamsini jamani kweli? hii imewapukutisha sana nguvu kazi mkubali tu! hiyo moja..
Kahawa/michai imeshuka bei na wala haitaki kupanda BUKOP imezama! sasa tuwafanyeje watani zanguni?? hatuwezi kuwapa hela tuuuu! bila shughuli! na madanguro wtu hawataki kufanyana siku hizi mengi yana fungwa!
kashai bukoba imekufa....lutiginga Musoma IMekufa, hayya Paleee temeke wailles pamefungwa watu hawaendi sasa tuwalazimishe wanaume kufanyana na nyie?
hapa mtani wangu utuwoe radhi kidogo sina hasira na nyie ila mmechuja mnoo!! si mnajua Vita ya kagera wasinge kuwa wakurya na mwalimu nyerere mngekoma kwa yule bwana kitambi Amini! sasa tena mmekuja nalingine!!
Mlizoea babu yenu nyerere kuwabeba mkabweteka lkn sasa hayupo ndo madhara yake?? mwende mkalie butiama kaburini mtambike muwe salama mkijifa nya vichwa mtakwisha
Mnadhani mzanzibar atawasaidia nini??? sasaana atawacheka tu!! mjibebe! naomba niwashauri kitu kimoja nendeni Musoma Mjifunze kujitegemea ila kure ni kazi kazi hawataki mapenzi maweeee.......yangu ni hayo!
Hii ni kemebos shule ya pili kitaifa form two.Anachekesha sana
Ujenzi wa Barabara za lami unaotakana na michango ya wananchi katika kijiji Cha bwanjai wilayani misenyiWeee... kumbe mnafanya? Sasa ni nn tena? Hamjui nyie ni yatima wenzetu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si muongeze nguvu kazi? Sasa hb hakikisheni kwanza muna barabara za kutosha... au tunadilishane mkoa? [emoji28][emoji28] najua barabara zikishakua nyingi baasi mmetoboa. Maana kutakua na connection na mwingiliano mkubwa. Ama nyoe siyo wabishi kama sisi? Kwanini isiwe get rich or die trying? Yaan machaka yote hayo jamani? Ama munachomana wenyewe kwa wenyewe. Mtu unakula zako chaka lako mali ghafi hii hapa. Itafika mahali watawaomba kwenye meza ya mazungumzo maana hivihivi hamtapata heshima nyie. Si unaona kwetu heshima ipo
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hahahah leo sijuhi imekuaje, haujawahi kuongea ukweli wa hivi kuhusu wahaya.Sema pia yule mbunge wenu ambaye alikia CHADEMA pia naye alaja kuwa snitch. Sasa nani atawasimamia? Ishu hapa ni tunataka na nyie kodi zenu jamani. Maybe wanadhan wanawakomoa ilihali ni utegeaji wa kuchangia pato. Yaan nyie keki ya taifa hamuichangii ipasavyo. Kila mtu achape kazi achangie pato la taifa... mengine nataman kuandima ila nisije kula kichapo bure...
Tuache siasa za kijinga kukomoana. Linaloumia ni taifa na si kabilaaa, perioooodddd
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Usiniletee seminary uchwara inayojulikana kijijini kwenu huko!Hiv huwezi kuongea bila kutukana....
Anyway hebu tazama matokeo ya hii shule kama utakuta mtu sio muhaya nalog out jf..
Acheni visingizio shule nyingi za kagera wanasoma wahaya .View attachment 2085079View attachment 2085080View attachment 2085081
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Heh, hii lami gani mkuu? Changarawe ama?Ujenzi wa Barabara za lami unaotakana na michango ya wananchi katika kijiji Cha bwanjai wilayani misenyiView attachment 2085095
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Seminary uchwara ni ya nne kitaifa sio....Usiniletee seminary uchwara inayojulikana kijijini kwenu huko!
Hiv huwezi kuongea bila kutukana....
Anyway hebu tazama matokeo ya hii shule kama utakuta mtu sio muhaya nalog out jf..
Acheni visingizio shule nyingi za kagera wanasoma wahaya .View attachment 2085079View attachment 2085080View attachment 2085081
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Kwa nyumba nzuri vijijini hawana mpinzani kuna mahekalu kwenye migomba mengine hata masaki yanastahili ,tatizo mjini tu,ukifungua duka kama hujui kihaya utakoma,anakuja mteja. Iwe ndetela akananka aiko,kama hujaelewa kesho haji hapo anajua huyu mnyamahangaLawama kwa serikali bwasheeeee... serikaki ilaumiwe kwa hili. Hata tukawacheka ni bure tu tuseme ukweli. Tuwacheke kwa nyumba za tembe zao tu na maisha mengine ila kwa huduma za kijamii hapana[emoji28]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app