Hawa vijana wa kihaya hata ukikutana nae mtaani anashida kibao anajitutumua yuko vizuri! Hawataki kushirikiana na wenzao wao wanajua kila kitu!
Ujuaji ndio umewafikisha hapo!
Hamuambiliki! Mnajua kila kitu,
Mpambane na hali yenu,