Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Misifa tu imebaki kwaoWahaya wameachwa mbali sana na wachagga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misifa tu imebaki kwaoWahaya wameachwa mbali sana na wachagga!
Tibaijuka Yeye amekua Waziri katika Serikali, mbona hatujawai kusikia anawasemea wana kagera, amekuwa mbunge miaka 10, hatukuwai kuona hata akisemea zao kuu la biashara kahawa, wakati Nchi jirani Uganda kahawa ni bei ni zaidi ya mala 3, mpaka kagera tunatamani kuuza Uganda.Tibaijuka alichokifanya alipopata ubunge na uwaziri ni kujimilikisha aridhi tu,akuna alichosaidia chochote, Sasahivi eti anapiga kelele.
Wahaya wameachwa mbali sana na wachagga!
Wahaya hamrudi makwenu baada ya kufika town haswa Dar
Sijakulewa..fursa pamoja na maendeleo ziwafikie hukohuko Kagera.
..kusema wake Dsm " kuchota maendeleo " na kuyapeleka Kagera naamini sio sahihi.
Majirani zaoWahaya wanabadilishana nafasi na wenzao waha mmoja mwaka huu anakua wa kwanza mwingine anakua wa pili kutoka mwisho
Huyu mama nakumbuka wakati bado anafanya kazi huko umoja wa mataifa, alikuja Tz akawa anahojiwa na waandishi wa habari kuhusu mikataba ya madini ilivyokuwa inainyonya nchi, akasema huko umoja wa mataifa kipo kitengo ambacho huzisaidia nchi zilizoingia mikataba ya kinyonyaji ili hiyo mikataba irekebishwe, nikamuona huyu mama ni MTU mzuri mzalendo kweli kweli duh! Siku ya pili yake tu alipohojiwa tena aliruka maili mia kama vile Jana hakuwa yeye !! Nilishangaa nikasema kweli wahenga walisemaga DUNIA HADAA ULIMWENGU SHUJAA !!! Ila naamini huwa hawapati peace of mind kwa sababu ya tamaa zao , KARMA IS REAL !Mbona yeye hata shule zake amewekeza Mwanza,badala ya Bukoba.
Huyu mama amepagawa baada ya kuona bibi kizee mwenzake Muramura amepewa ulaji wakati yeye akisahaulika ingawa naye alikuwa huko UN-HABITAT.
Huo ndio ukweli,hakuna lingine wala nini?
Yeye si anakula za Museveni kidogo kidogo, shida yake nini?
Bado za mboga kutoka kwa Rugemalira!
Bado malori semi trailers zinapishana barabarani zikisomba cement,kwa mgongo wa Texas!
Kweli mama ana tamaa ya FISI.
Nani kakwambia mama Samia anashughulika na kuondoa umasikini? pambaneni na hali yenu siku zote mnajisifia eti, Mtanzania wa kwanza kupanda ndege ni Muhaya, Profesa wa kwanza Tanzania ni Muhaya, sasa mnalialia nini, tumieni huo uprofesa wenu kuondoa dhiki KageraNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wazalendo wote nchini na Duniani kwa Ujumla
Nimeambatanisha Waraka Kutoka kwa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu uduni wa Maendeleo kwa Mkoa wa Kagera
View attachment 2082264
View attachment 2082267
View attachment 2082268
View attachment 2082269
Sijakulewa
Ndio kwenye masuala ya Wizi wachaga wapo mbali sanaWahaya hamrudi makwenu baada ya kufika town haswa Dar
Kwenye malori ya cement apo fafanua mdau wanguMbona yeye hata shule zake amewekeza Mwanza,badala ya Bukoba.
Huyu mama amepagawa baada ya kuona bibi kizee mwenzake Muramura amepewa ulaji wakati yeye akisahaulika ingawa naye alikuwa huko UN-HABITAT.
Huo ndio ukweli,hakuna lingine wala nini?
Yeye si anakula za Museveni kidogo kidogo, shida yake nini?
Bado za mboga kutoka kwa Rugemalira!
Bado malori semi trailers zinapishana barabarani zikisomba cement,kwa mgongo wa Texas!
Kweli mama ana tamaa ya FISI.
Mradi wa kupima viwanja Kigamboni ulifikia wapi? Huyu mama ni mwizi sijawahi ona Dunia.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wazalendo wote nchini na Duniani kwa Ujumla
Nimeambatanisha Waraka Kutoka kwa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu uduni wa Maendeleo kwa Mkoa wa Kagera
View attachment 2082264
View attachment 2082267
View attachment 2082268
View attachment 2082269
Bwashee unamtafuta maneno IstanbulWahaya wameachwa mbali sana na wachagga!