Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"


..katika nafasi ya Uwaziri Prof.Tibaijuka alikuwa Waziri wa ardhi wa Tanzania nzima, sio Waziri wa ardhi wa Kagera au Karagwe jimbo lake la uchaguzi.

..kwa msingi huo Prof ktk nafasi ya Waziri wa ardhi asingeweza kufanya au kutekeleza jambo lolote huko Kagera nje ya mipango ya serikali kuu au ilani ya chama chao.
 
Wahaya hamrudi makwenu baada ya kufika town haswa Dar

..fursa pamoja na maendeleo ziwafikie hukohuko Kagera.

..kusema wake Dsm " kuchota maendeleo " na kuyapeleka Kagera naamini sio sahihi.
 
Huyu mama nakumbuka wakati bado anafanya kazi huko umoja wa mataifa, alikuja Tz akawa anahojiwa na waandishi wa habari kuhusu mikataba ya madini ilivyokuwa inainyonya nchi, akasema huko umoja wa mataifa kipo kitengo ambacho huzisaidia nchi zilizoingia mikataba ya kinyonyaji ili hiyo mikataba irekebishwe, nikamuona huyu mama ni MTU mzuri mzalendo kweli kweli duh! Siku ya pili yake tu alipohojiwa tena aliruka maili mia kama vile Jana hakuwa yeye !! Nilishangaa nikasema kweli wahenga walisemaga DUNIA HADAA ULIMWENGU SHUJAA !!! Ila naamini huwa hawapati peace of mind kwa sababu ya tamaa zao , KARMA IS REAL !
 
Nani kakwambia mama Samia anashughulika na kuondoa umasikini? pambaneni na hali yenu siku zote mnajisifia eti, Mtanzania wa kwanza kupanda ndege ni Muhaya, Profesa wa kwanza Tanzania ni Muhaya, sasa mnalialia nini, tumieni huo uprofesa wenu kuondoa dhiki Kagera
 
Nasikia wasukuma wananunua sana maeneo ya mapori ya Karagwe na Biharamuro wanakwenda kufanya kilimo na ufugaji.Soon Bukoba itapaa, wasukuma wanasukuma maendeleo sehemu mbali mbali maana ni watumiaji Wazuri na wawekezaji Wazuri.Angalia Katavi, Marinyi, Kilosa morogoro, Lindi, Mbalali, Kasulu.Sukuma hawana utani linapokuja swala la uwekezaji katika kilimo na mifugo
 
Kwenye malori ya cement apo fafanua mdau wangu
 
Mradi wa kupima viwanja Kigamboni ulifikia wapi? Huyu mama ni mwizi sijawahi ona Dunia.
Lukuvi anamfahamu huyu mama in and out.
Aliozesha wizara ya ardhi kabisa
 
Majibu ya anachokilalamikia naamini anayo, ni msomi amekua serikalini muda mrefu na kimataifa pia yupo vizuri.
wakati Kagera ikiwa ipo nafasi za juu alikuwepo na alikua ni msomi tayari siyo hadithi kwake.

Naamini kama Kagera imeshuka, hili sio jambo lililotokea tu asubuhi watu walipoamka, kuna sababu na zilipoanza aliziona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…