Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

Alikuwa mbunge wa Muleba kusini akimrithi Wilson Masilingi na siyo Karagwe as asserted above.
 

Ninavyoelewa mimi ni kwamba Prof anahusika na shule mbili. Moja iko Dsm inaitwa " Barbro," na nyingine iko Kagera inaitwa " Kajumulo. "
 
Lakini mbona mjini wahaya wanavimba hivyo, huko kwao wanakwama wapi?
 
..ni mdai mkubwa wa shule hiyo.

..fuatilia hapo kwenye video.

..tumtie moyo ktk juhudi zake za kuwapa watoto wa kike elimu.

Hapa umemjibu kwa facts aliyetupotosha kuwa Kajumulo si ya kwake.
 
Haya ni makazi ya wahaya huko vijijini bukoba ...


Nyie bakini na takwimu zenu....watu wanafanya mambo huko vijijini kwao

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Tofautisha vyakula na madini wew.

Madini yanachimbwa na makampuni ya kigeni lakin vyakula vinazalishwa na household ...


Hebu tazama makazi ya watu katika mkoa huu maskini linganisha na mkoa wako wenye unafuu

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Hapa umemjibu kwa facts aliyetupotosha kuwa Kajumulo si ya kwake.

..ninavyoelewa mimi Tibaijuka ni jina la mume wake.

..Na kajumulo ni jina la Baba yake mzazi.

..kabla hajaolewa alikuwa anaitwa Anna Kajumulo.
 
Wahaya bhana kujitutumua! Niambie hata huko kanda ya ziwa wapi mmeshika uchumi!? Kwenye madini hampo,biashara za kawaida mpo wachache, yaani nyinyi mmekazania elimu tu lakini niwakumbushe elimu ya makaratasi bila maarifa ya kutafuta maisha kila sehemu mtabaki kama mlivo!
 
Ameshindwa kuomba kukutana na Rais amueleze...au ameshindwa nini kusubiri kikao cha bunge apeleke hoja binafsi...

Huyu nae ni walewale tu.. kipindi cha hayati hawa wote walikuwa wagonga meza.
Na kauli hii "twafaa" haina tofauti na "kupigwa mnada"

Ashughulikiwa. Japo ujumbe wake huenda ukawa sahihi.
 
Kwan mpaka mshike uchumi????

Ishu ni kuhakikisha wew na ukoo wako mnatoka katika ujinga na umaskini.....

Wahaya wa Sasa walishatoka katika zama za kutumia nguvu nyingi akili kidogo kama ngoshaz...


Hebu tafuta makampuni ya ujenzi,wamiliki wa shule( karibu shule zote zinazofanya vizr tz hii zinamilikiwa na wahaya)
Tafuta engineering companies kama biotech,abemulo, luganuza, Rabininsia, Kairuki,kareju na mshumbusi zote zinamilikiwa na Koo za kihaya...

Koo za kihaya zimeenda mbali na kukuta maingeneer humo,madaktari,walimu ,wafanyabiashara humo.....

Ndo maana elimu inakumbatiwa sana

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Huyu Mama kuitaja Kilimanjaro kuwa Ina maendele kuzidi Kagera atapingwa na wahaya wenzake wa JF
Hahaaaaaaa
 
Very well facted... Huu ni ukweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…