Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
Nasikia wasukuma wananunua sana maeneo ya mapori wankwenda kufanya ufugaji.Soon Bukoba itapaa, wasukuma wanasukuma maendeleo sehemu mbali mbali maana ni watumiaji Waziri na wawekezaji Waziri.Angalia Katavi, Marinyi, Kilosa morogoro, Lindi, Mbali, Kasulu.Sukuma hawana utani linapokuja swala la uwekezaji katika kilimo na mifugo
Akiwa Waziri wa ardhi alikaliwa kooni na Dr Ndugulile hadi akaachana na mpango wake ovu wa kuiuza kigamboni kwa Wamarekani kwa madai eti ya kuanzisha stellite City.Wahaya bhana full majimwambafaiTibaijuka Yeye amekua Waziri katika Serikali, mbona hatujawai kusikia anawasemea wana kagera, amekuwa mbunge miaka 10, hatukuwai kuona hata akisemea zao kuu la biashara kahawa, wakati Nchi jirani Uganda kahawa ni bei ni zaidi ya mala 3, mpaka kagera tunatamani kuuza Uganda.Tibaijuka alichokifanya alipopata ubunge na uwaziri ni kujimilikisha aridhi tu,akuna alichosaidia chochote, Sasahivi eti anapiga kelele.