Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

Waraka wa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Maendeleo ya Mkoa wa Kagera. "Kagera Twafa"

Sasa watoto sio vichwa ngumu ndo maana wanasoma Hadi vyuo vikuu....

Yaan mtu afaulu vzr aache kwenda chuo sijui afanye biashara? sijui uchuuzi kama wafanyavyo makabila yasiyosoma....
Husishauri wahaya waanze uchuuzi bali watumie elimu Yao kuwa innovative kama walivyofanya baadhi ya wahaya maarufu kama Maxence melo, Ruge,Ally mfuruki, Mshumbusi, kareju,dk remmy NK nk

Kwanza mnasingizia tu...Kuna wafanyabiashara kibao tu wa kihaya
Kuna wavuvi kibao...

Kuna wakulima wa miwa Kule misenyi
Kuna wakulima kibao wa vanilla huko misenyi

Bado na wahaya wachuuzi wapo kibao tu..

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Vyuo vikuu siku hizi wahaya ni wakuhesabu kwa vidole sio kama miaka ya 90 kushuka chini, mambo yamebadilika makabila yote yanajua umuhimu wa shule .kahawa ya bukoba ndio ilikuwa msaada sasa haina value wazazi hawana cha kuuza ili watoto wasome,mabinti wanafanya uhuni na wavulana ni matapeli tu,badilikeni,mnapitwa na njombe mkoa wa juzi tu,
 
Ila nikuambir kitu insta? Hapajawahi kutokea matajiri katika wasomi. Labda huu ukuaji wa teknolojia. Yaan mabilionea wengi hasa huku Africa ni la saba[emoji28][emoji28] halaf wanatuajiri sisi wasomi.

Nakupa mfano hai... kwa kilimanjaro, jamii iliyokua imesoma sana ni wamachame, old moshi na Marangu. Walipata elimu kabla ya warombo na wakibosho. Hawa wakibosho na warombo ndo wakawa chokaa mbaya ila ndo ikawatia ndimu. Wengine wakiwa wanapiga vitabu hawa wakibosho na warombo wakaanza uchuuzii. Yaan wamesotaaa balaaa... walikua maskini kweli kasoro nyumba za wamangi. Navyokuambia kwa sasa ni hivi? Hawa wamachame na wamarangu wamekuja kudrop. Yaan mabilionea wamekuja kuwa wale makapuku. Baba zetu na mama zetu ni la saba nakuhakikishia lkn hiyo pesa waliyo nayo sisi tutashika lini. Na hata ktk sisi ambao tulioendelea, yaan wale makapuku wamekuja kutupita kama umeme[emoji23][emoji23]
Sisi tukishakuwaga na Elimu tunabweteka sana. Tunaona kufanya hata kazi za uchuuzi kama vile tunajishusha. Mfano mzuri mimi tu. Nikikuambia mtaji nilioutaka kwa mzee na mia mbovu sikua nayo[emoji23][emoji23] Elimu naona inatulemaza sana kwa upande mwingine. Ndo kinachowakumba wamarangu na wamachame. Elimu kama huifanyii practice ni tatizo. Mtaji wenyewe shida. Mkopo wenyewe ndo mtauana. Basi unabaki na vyeti vyako tu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Elimu inafaida kubwa sana Kwa mtu wenyew kama anaelewa anachokisoma ....

Mifumo mibovu ya nchi hii ndo inafanya watu waone elimu Haina faida .lakin elimu ikitumiwa vizr Ina faida maradufu...

wasomi wa kagera wengi wa kagera wamekimbia hii nchi Kila mtu anatafuta unafuu Kwa kutumia elimu yake mahali popote. Na akipata huwekeza nyumban kwake na ukoo wake...

Mambo ya serikali ndo mabovu katika mkoa wa kagera

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Vyuo vikuu siku hizi wahaya ni wakuhesabu kwa vidole sio kama miaka ya 90 kushuka chini, wazazi hawana cha kuuza ili watoto wasome,mabinti wanafanya uhuni na wavulana ni matapeli tu,badilikeni,mnapitwa na njombe mkoa wa juzi tu,
Acha uongo wee..

Elimu na muhaya ni Pete na kidole
JamiiForums243528976.jpg
JamiiForums-937984943.jpg

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Vyuo vikuu siku hizi wahaya ni wakuhesabu kwa vidole sio kama miaka ya 90 kushuka chini, wazazi hawana cha kuuza ili watoto wasome,mabinti wanafanya uhuni na wavulana ni matapeli tu,badilikeni,mnapitwa na njombe mkoa wa juzi tu,
Ni kweli kabisa. Kila kabila wanajitahidi kwa nafasi yake.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Elimu inafaida kubwa sana Kwa mtu wenyew kama anaelewa anachokisoma ....

Mifumo mibovu ya nchi hii ndo inafanya watu waone elimu Haina faida .lakin elimu ikitumiwa vizr Ina faida maradufu...

wasomi wa kagera wengi wa kagera wamekimbia hii nchi Kila mtu anatafuta unafuu Kwa kutumia elimu yake mahali popote. Na akipata huwekeza nyumban kwake na ukoo wake...

Mambo ya serikali ndo mabovu katika mkoa wa kagera

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Mimi nachoamini si wahaya tu wamewekeza nje ya mkoa wao wala nchi. Wengi wamekimbia kuwekeza hapa kwasababu ya ukiritimba wa policy za kijinga. Ndo maana Elimu inaonekana hailipi hapa kwetu kwasababu ya kisiasa tu. Mtu ambaye hajaenda shule ana ujasiri mno wa kupambana kwakua anajua msaada wake ni yeye mwenyewe kupambana tofauti na sisi elimu tunayo lkn namna ya kuifanya fursa ndo serikali imeamua kutunyoosha. Katiba mpya ndo kila kitu. Science and technology inalipa sana. Hata mabilionea wakubwa tumeona utajiri wao ulivyoongezeka maradufu kipindi hiki cha lock down. Who is there to listen and act? Aisee tujisaidie wenyewe. Taasisi mbalimbali hasa za dini nazo kwa nafasi zao zitubebe tu... hatuna namna.

Nakumbuka ile thread ya hospitals yule mama aliyewekeza bukoba. Mkatutania sana. Naamini kabisa hata sisi serikali imetutenga sana tu. Ni taasisi za dini pekee zimetubeba. Mf. Hospitali ya Huruma ni mali ya kanisa katoliki. Ipo mission pia ya Mkuu toka miaka hiyo. Zaidi ya miaka 100 sasa. Lkn serikali ilikuja kujoin ingali kuna hiyo ya serikali inaitwa Karume haina hata mvuto labda kama sasa hv ndo wanafnayia jambo kama walivyoweka mipango. Lkn tumetengwa pia. Ni taasisi za makanisa zinatibeba. KCMC nayo mali ya Lutheran. Lakini hatujalalamika. Na movement ingekua kubwa tungeshawekeza. Kwakua taasisi zimesimama imara kutoa huduma baasi na wananchi tumetulia. Unakumbuka kule kahe, mabogini etc wananchi wenyewe walichanga pesa kwaajili ya kutengeneza lami yao wenyewe serikali ikazuia na wakagoma kisa bunge la mpinzani? Mashetani kabisa hawa. They are not there to serve us. Maybe usishangae hata nyie mkataka kufanya jambo na mkawa blocked... henu jaribuni tuone. Endesheni harambee ya jambo moja muwahusishe na wa diaspora muone itakuaje. Mkombole kibosho nilipita ioe siku wanazindua hospitali alijenga chami akaikabidhi kwa serikali. Sijui waliikubali lwasababu ni ccm mwenzao ama lah.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Yeye anajua shule ikiwa kagera wanaosoma ni wahaya tu! Taahira kweli huyu wanafunzi wengi wa private Kagera wanatokea kanda ya ziwa nzima pamoja na mkoa mingine!
Usiwe mjinga ,mi nimesoma katoke seminary ila sio mhaya ,hao watoto wamefuata elimu tu,
 
Wahaya wasikubali kuingia kwenye huu mtego wa wanaoponda eti elimu haina thamani, wazidi kusoma zaidi, elimu ndiyo inaongoza duniani, elimu haijawahi kushuka thamani kidunia, wote wanaoponda wahaya kusoma na kuwekeza kwenye elimu humu ni wasomi na wanaongoza taasisi.
Mkuu, liko wazi. Liko wazi kabisa Elimu ndo kila kitu. Ila mfumo wetu wa Elimu na katika ajira ndo unaifanya Elimu isiwe na thamani. Mtu ana degree yake analipwa laki 4 sijui 3. Dah. Mwingine anauza matunda kwa mwezi ana million yake na kitu as a saving. Inaumiza sana. Ndo maana unakuta wenye kazi za ovyo wapo na pesa ya kutosha. Kuna kijana anauza maji tu. Amejenga nyumba yake. Ameoa, amefungua na mradi wa ufugaji mwaka wa sita ama saba huu. Wengine vyuo tumemaliza miaka mingapi sasa na hatuoni direction tunaambiwa tufikirie nje ya box na tujiajiri?[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mimi nachoamini si wahaya tu wamewekeza nje ya mkoa wao wala nchi. Wengi wamekimbia kuwekeza hapa kwasababu ya ukiritimba wa policy za kijinga. Ndo maana Elimu inaonekana hailipi hapa kwetu kwasababu ya kisiasa tu. Mtu ambaye hajaenda shule ana ujasiri mno wa kupambana kwakua anajua msaada wake ni yeye mwenyewe kupambana tofauti na sisi elimu tunayo lkn namna ya kuifanya fursa ndo serikali imeamua kutunyoosha. Katiba mpya ndo kila kitu. Science and technology inalipa sana. Hata mabilionea wakubwa tumeona utajiri wao ulivyoongezeka maradufu kipindi hiki cha lock down. Who is there to listen and act? Aisee tujisaidie wenyewe. Taasisi mbalimbali hasa za dini nazo kwa nafasi zao zitubebe tu... hatuna namna.

Nakumbuka ile thread ya hospitals yule mama aliyewekeza bukoba. Mkatutania sana. Naamini kabisa hata sisi serikali imetutenga sana tu. Ni taasisi za dini pekee zimetubeba. Mf. Hospitali ya Huruma ni mali ya kanisa katoliki. Ipo mission pia ya Mkuu toka miaka hiyo. Zaidi ya miaka 100 sasa. Lkn serikali ilikuja kujoin ingali kuna hiyo ya serikali inaitwa Karume haina hata mvuto labda kama sasa hv ndo wanafnayia jambo kama walivyoweka mipango. Lkn tumetengwa pia. Ni taasisi za makanisa zinatibeba. KCMC nayo mali ya Lutheran. Lakini hatujalalamika. Na movement ingekua kubwa tungeshawekeza. Kwakua taasisi zimesimama imara kutoa huduma baasi na wananchi tumetulia. Unakumbuka kule kahe, mabogini etc wananchi wenyewe walichanga pesa kwaajili ya kutengeneza lami yao wenyewe serikali ikazuia na wakagoma kisa bunge la mpinzani? Mashetani kabisa hawa. They are not there to serve us. Maybe usishangae hata nyie mkataka kufanya jambo na mkawa blocked... henu jaribuni tuone. Endesheni harambee ya jambo moja muwahusishe na wa diaspora muone itakuaje. Mkombole kibosho nilipita ioe siku wanazindua hospitali alijenga chami akaikabidhi kwa serikali. Sijui waliikubali lwasababu ni ccm mwenzao ama lah.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hayo mambo ya michango na harambee yako Kila mwaka huku uhayani..watu wanajenga mabweni,shule ,dispensary, Hadi Barabara..

Tatizo la huu mkoa ni population...kagera Ina 3.5 million people nyuma ya dar na Mwanza tu....lakin GDP ni ndogo mno

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Ujuaji ndio umewafikisha hapo!
Hamuambiliki! Mnajua kila kitu,
Mpambane na hali yenu,
 
Eeeh kumbe mnajua umuhimu wa elimu pamoja na kupinga pinga humu na kupiga lopo lopo kuhusu wahaya na elimu .
Hakuna asiyejua umuhimu wa elimu tatizo wahaya hawawezi kujitwist na maisha nje ya elimu,wanaishia ummalaya na utapeli shule ikibuma,
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Wazalendo wote nchini na Duniani kwa Ujumla

Nimeambatanisha Waraka Kutoka kwa Profesa Anna Tibaijuka kuhusu uduni wa Maendeleo kwa Mkoa wa Kagera

---
KAGERA ,TWAFA

Anaandika Profesa Anna Tibaijuka
View attachment 2084908
Kagera. TWAFA. Tumuombe Rais Samia atuangalie kwa jicho la huruma, la mama mzazi.

1. Mwaka 1961 tukipata uhuru Kagera ulikuwa mkoa wa pili kwa maendeleo baada ya Kilimanjaro. Sasa hivi miaka 60 baada ya uhuru ni mkoa wa mwisho Tanzania Bara. Nambari 25.

2. Taarifa rasmi za Benki kuu..(Consolidated Zonal Economic Performance Report) Inaorodhesha pato la taifa kwa kila mkoa kwa kila mwananchi au kichwa (per capita GDP) kwa Tanzania bara.

3. Kwanza ni Dar es Salaam. Shs 4,678,751. Mwisho namba 25 ni Kagera Shs 1,168,661.

4. Kwa asilimia kipato cha mwananchi mkoa wa Kagera ni asilimia 44% tu ya kipato cha Taifa.

5. Na asilimia 25% au robo ya kipato cha wakazi wa Jiji Kuu la Dar es Salaam.

6. Ukilinganisha na Makao makuu Dodoma (Shs 1,759,347) Kagera ina asilimia 66% au theluthi mbili.

7. Hali ni tete. Kaya maskini nyingi hata mlo ni wa kubahatisha katika hali ya kawaida. Ukiingiza ukame inakuwa zahama.

8. Tukubali mkoa slowly but surely umefilisika. Tunahitaji kufanya tathmini ya kina kuona tunajikwamua vipi. Nini kazi ya Serikali? Nini jukumu la WanaKagera. Na kipi Mhe Rais wetu Mama Samia atuwekee nguvu?. Mambo yalipofikia tunahitaji mbinu zote na mikakati mipya kubadilisha hali hii isiyopendeza.

9. Lazima kumwangalia adui umaskini machoni na kupambana naye.
Tukikata tamaa au kulaumu hatutafanikiwa.

10. Kinachohitajika ni utambuzi na uelewa wa pamoja wa sababu za kufilisika kiasi hiki ili kurekebisha mambo. TUNAWEZA. KUJIKWAA SI KUANGUKA. Ila lazima tujipange. Kila mtu kwa nafasi yake.

11. Mwalimu Baba wa Taifa alisema. "It can be done. Play your part".

12. Ninawapongeza waheshimiwa Rais Samia na Waziri Mkuu Majaliwa kwa kupanga safu ya uongozi upya. Tumeshuhudia maboresho makubwa. Tunawapongeza Mawaziri na Makatibu Wakuu na Manaibu wote walioaminiwa na kupewa majukumu ya kuongoza sekta mbali mbali. Ninaomba nao waangalie hii hali tete ya Mkoa. Twafaaa... Tunahitaji msaada.

Na wenzetu wa Kigoma nambari 24.( Shs 1,479,389); Singida nambari 23. (Shs 1,622,891) sina budi kuwasemea pia. Kwa ujumla wetu: TWAFAAA.

KAZI IENDELEE katika mwaka huu wa OTAGWISA MUKONO.

Mama T

Chanzo: Bukoba Wadau
kwanza ukubali kuwa ukimwi umechangia pa kubwa kuwamaliza nyie watani zangu!!! nimesoma hapooo Nyakato sec.school watu walikuwa wanafanyana kweny migomba ya shule kila siku,

ukipita ivi au vile unawakanyaga kwa siku unaweza kanyaga watu hata hamsini jamani kweli? hii imewapukutisha sana nguvu kazi mkubali tu! hiyo moja..

Kahawa/michai imeshuka bei na wala haitaki kupanda BUKOP imezama! sasa tuwafanyeje watani zanguni?? hatuwezi kuwapa hela tuuuu! bila shughuli! na madanguro wtu hawataki kufanyana siku hizi mengi yana fungwa!

kashai bukoba imekufa....lutiginga Musoma IMekufa, hayya Paleee temeke wailles pamefungwa watu hawaendi sasa tuwalazimishe wanaume kufanyana na nyie?

hapa mtani wangu utuwoe radhi kidogo sina hasira na nyie ila mmechuja mnoo!! si mnajua Vita ya kagera wasinge kuwa wakurya na mwalimu nyerere mngekoma kwa yule bwana kitambi Amini! sasa tena mmekuja nalingine!!

Mlizoea babu yenu nyerere kuwabeba mkabweteka lkn sasa hayupo ndo madhara yake?? mwende mkalie butiama kaburini mtambike muwe salama mkijifa nya vichwa mtakwisha

Mnadhani mzanzibar atawasaidia nini??? sasaana atawacheka tu!! mjibebe! naomba niwashauri kitu kimoja nendeni Musoma Mjifunze kujitegemea ila kure ni kazi kazi hawataki mapenzi maweeee.......yangu ni hayo!
 
Back
Top Bottom