Kandambilimbili
R I P
- Nov 11, 2008
- 782
- 40
Kweli hawa vijana wamekosa adabu. waraka huu ni funzo kwa kila mmoja wetu, tupo makazini kuna siku tutatoka na kustaafu kufukuzwa etc na tutakumbuka makosa tuliyoyafanya nyuma kutojiandaa na maisha ya uzee. Hawa bado ni vijana na umaarufu wao unashuka si kama walivyoanza. siku hizi hakuna anayekatiza shughuli zake kuwahi ze komedi. Hiyo ni ishara tosha kuwa wnakwenda mwisho, na vimenza kuchosha watu. they are going out of fashion
huyo mhaya awaeleze wenzake: WAHAYA WANASEMA "ENTASIMA EKALYA OMUTIMA GWEMANZI" MENGI AMESAIDIA KUWAWEKA WALIPO
Na TBC1 wajue siku wakiwatema watawatukana hivyo hivyo kama wanavyofanya kwa Mengi.
Du kwa hiyo jamaa wamaishakula mutima gwa manzi sio. acheni dharau jamani wale wototo nao wemeingiza pesa nyingi sana kwa MENGI na pia naye aliwafuata sio kwa ajili ya kuwasiaidia tu alijua atafaidika nao KIBIASHARA mbona kuna vijana wengi hajawafuata kwa nini wao tu, nyie mlitaka wazeekee hapo EATV????
kwani ISSUE ni mengi tu hapa? mbona akina Pinda, Komba na walisemwa mkanyuti?
Nani ana uhakiaka kuwa hawa vijana hawajawekeza??????