Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Jul 11, 2020 Thread starter #381 andoza said: Uzi sasa umewekwa sawa. Click to expand... Ondoza, Hukuangalia chini ungeona hiyo link. Mimi siko hapakufanya utani hata kidogo. Ninaamini hiki ninachokipigania.
andoza said: Uzi sasa umewekwa sawa. Click to expand... Ondoza, Hukuangalia chini ungeona hiyo link. Mimi siko hapakufanya utani hata kidogo. Ninaamini hiki ninachokipigania.
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Jul 11, 2020 #382 nguvu said: Naona povu linakutoka baada ya kupiga ikulu, nchi mnaipeleka mbele kwa kupiga pesa za serikali? 2.5trilioni Click to expand... Mimi siwezi kutokwa povu ndio naanza rasmi sheikh
nguvu said: Naona povu linakutoka baada ya kupiga ikulu, nchi mnaipeleka mbele kwa kupiga pesa za serikali? 2.5trilioni Click to expand... Mimi siwezi kutokwa povu ndio naanza rasmi sheikh
Mkendo JF-Expert Member Joined Oct 14, 2013 Posts 3,137 Reaction score 2,233 Jul 11, 2020 #383 Ukweli kama huu CCM , uwa haipendi kusikia.