Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
makwaiyaaaaaaaa upooooooooooooooo!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... kundi linalotambuliwa na serikali yaani BAKWATA wanonekana kuchomoa mapema na hii itakuwa ni shinikizo la serikali. ... serikali yake itaacha hadaa zake (taking the population for granted) za kipuuzi. !
Bifu la BAKWATA na kina Shehe Ponda serikali inaingiaje humo Mkuu Byasel?
BAKWATA imesema hii ishu ya Waislam kuandika waraka wa uchaguzi na wenyewe wameisoma gazetini, hawajui chochote, hawahusiki, hawakuombwa ushauri, hawakuwemo BAKWATA. Sasa utasemaje wamejitoa kwa shinikizo la Serikali? Kama wanasema uongo kina shehe Ponda wangewaacha? Si wangesema fulani na fulani wa BAKWATA walikuwepo wakati tunaandika waraka. Hebu usiingize serikali katika vi-bifu binafsi vya waislam bana.
Na Habari kuwa Madhehebu yote ya KIKRISTO yameungana na kukubaliana na waraka wa Wakatoliki zimedhibitishwa?
Ingekuwa ni hatuanzuri!
Kwa nini mnauogopa na kuwekea mashaka Mwongozo wa Waislamu?
Mbona Ilani ya CCM ambayo nia yake ni kwa manufaa ya CCM hamuilalamikii?
Hata siasa si Imani? Kama CCM ni Wajamaa na wamelazimisha Watanzania wote kuwa Wajamaa bila hiari, mbona hamuoni kama hili lina kasoro?
Mwongozo wa Waislamu hautkuwa na tofauti na Waraka wa Kanisa Katoliki, Ilani ya CCM au hata zile za CUF, Chadema, NCCR au TLP?
Why Paranoia on the Mwongozo?