WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

heeeee yashakua hayo mbona zinaimbwa nyimbo nyingi na majina ww ndo unaona hii acha fikra finyu, mbona kn nyimbo zinaimba Agnes, Maria, na mengine mengi. acha udini.
 
tena usirudie tena kuleta mambo ya udin mm mwenyewe muislamu sijaona tatizo kwani alikwambia Yahya aliyemuimba ndo hy unayemsema. acha zako.
 
LICUD ww ndio umetafsiri hivyo na ndio utakua chanzo cha uchochez!! Ametumia jina ki kawaida kabisa sababu wapo watu wenye majina kama YAHAYA, Emmanuel, Elia ambayo yana maana kubwa sana but wanatabia ambazo huwez amini.. So ichukulie kama ni Yahaya au Amos flan wa sinza ivi au pale kwa mtogole anapewa ujumbe baaasi .. Mengine tunatafsiri ss


Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Hizi ni jitihada za wapinzani wa Jide kutaka kuupoteza wimbo wake.
 
ukikua utaacha aliyekutuma tunamjua
 

Naona harufu yaudini ipo ndani yako,hichi ulichoandika ni kudhihirisha wazi kuwa wewe ni mdini. Muziki hauwezi ukachochea hisia za udini kama ulivyoelezea unless uwe umeongelea jambo linalotokea kwa wakati huo na lenye uhalisia ,wewe nadhani hukusoma nini maana ya fasihi.
 

Kbla ya huu wimbo wa Yahaya nazani ungeanza na wimbo wa mtoto Idd kazua balaa wa Juma Nature ungeeleweka hapa.....
 
tena usirudie tena kuleta mambo ya udin mm mwenyewe muislamu sijaona tatizo kwani alikwambia Yahya aliyemuimba ndo hy unayemsema. acha zako.

Huyu jamaa naona Anaitwa Yahaya, sasa mke wake analala anamuimba usiku kucha halali,,,,
 
Mimi pia mwanzo nilipatwa na wasiwasi kama wa mtoa mada lakini nilijiuliza kutokana na wimbo huo ambapo kuna sehemu Lady Jay Dee ameimba hivi " Yahaya unashi wapi kwa jina lako halisi naniii Yahaya weeee....!" Hapo nikajua kwamba hata huyo mtu anayeitwa Yahaya si jina lake kamili.
 
mleta mada na wewe badili id yako, inatuchochea sisi wayahudi kutumia id ya jina la ki-hebrew halafu unaandika pumba!:bowl:
 
siyo kila jina linafaa kuimbiwa kwenye beat ya muziki, sioni kama hoja yako ni ya msingi labda kama na wewe ni type ya YAHAYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…