WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

hapa hakuna hoja ila ni udini.unanzisha chokochok hadi kweny majina. so unataka kila msanii atumie jina la dini yake this is pointless hapo kaimbwa mtu sio dini. na mtu huyo imekuw kiwakirishi kwa wengne.na kutafuta vina.haya ss hebu remix yake sas kutoka kwako.
 

mpe somo.ndugu....
 
Mwanzisha uzi una yako. Unapekenyua ili kumweka jide kwenye mazingira mabaya. Huna lolote we ni msaliti tu. Imba wimbo wako isitie watu hasira hapa.
 
kwani wewe ni muislamu au mkristo
 
Nimeuleta hapa kwa sababu kwanza, najua atauona lakini pili najua here is the home of the Great Thinkers. Mnaweza kutoa ushauri wenu pia.

Kama we ni mshabiki wake Kama unavyosema ungejiandikisha kwake na ungeomba kuwa mshauri wake wa karibu mapema sana. Naamini Kama ungefanya hivyo ungefanikiwa kurekebisha hiyo Hali mapema. Sasa hv ni too late.
Pili hili suala la udini ni wewe ndo umelileta hapa na kwa mada yako hii inazidi kuchochea. Kwani hakuna kina Yahaya wezi na wavuta bangi wababaishaji huko mitaa unayoishi?
Acha kuwa myopic.
 
Hayo ni mawazo yake, sioni tatizo kubaki nayo. Yahaya atabaki kiwa Yahaya tu.
 
kazi ipo!

naupenda saaana huu wimbo!

 
Last edited by a moderator:
marijani rajab jabali la muziki aliimba nyimbo kama mayasa,masudi ,matilda na vick ni nyimbo zinazowakilisha tabia na wala hazihusiani na dini.tazama hamza kalala aliimba baba jeni.ndugu zinduka.
 
Hata bibi Kidude kaimba "Ahmada" umelewa
mr Paul kaimba "Zuwena"
marlow kaimba "Ritha"

sasa hapo vipi? urasimu tu
 
Naaaaaaaam hoja inawekwa mezaniiii na inapanguliwa kwa hoja,kiroho safi kabisaaa!.....hii ndo jamiforum,safi sana wadau.
 
au mleta uzi alitaka yatumike majina kama ngapulila,kalubandika,kalunde,tuma,ajuza na siwema?tufikiri kabla ya kutuma uzi!
 
Hapa si mahala pa kuleta pumba Kama hizo. What does the name means. Mbona majina mbalimbli yanatumika katika kueleza mambo mbalimbali.
OK fine nimekuelewa kuwa wee unauelewa udini kuliko udini wenyewe.
MTU anaweza Angea kit akiwa Hana intention unayofikiria
 
Chameleon aliimba jamila
Mwungine kaimba zuwena, name Kama alivyosema member hapo juu big kidude na offside trick wakaimba ahmada amelewa tena tokea Zanzibar kwa with wenye misimamo yao.
 
Nimependa sana mlivo mjibu..kwa mtu yyte atakae leta mada kama izo humu ajifunze kuwa apa sio fb..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…