WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

Kwenye dunia ya muziki shabiki anajua personal details zote za msanii nyimbo zake,umri,makazi,gari anazoendesha,mavazi n.k but msanii wala hakujui we shabiki. So consider urself ignored.au huu walaka wako uuimbe yani uutolee single may be anaweza akakusikia.
 
Akili ni nywele unapoteza nguvu na muda kuleta udini hapa looh.
 
Ukiwa una mawazo kwamba mke wako anatoka nje ya ndoa bila ushahidi,siku moja usiku akikuambia hajisikii kufanya mapenzi tu,labda sababu kachoka na kazi za mchana kutwa,utasema ametoka kufanya mapenzi na yule bwana umzaniaye! Naona ndio mawazo ya huyu mtoa mada. Hivi ni majina mangapi ya ki kristo na ki islam yametumika kwa mazuri au mabaya hapa Tanzania na hakuna mtu wa dini yeyote aliyeuliza!. Ha!
 
Kwa Kiarabu Yahaya, Kiswahili Yohana, Wazungu hu2mia Johannes, John, n.k.
 
Kwa Kiarabu Yahaya, Kiswahili Yohana, Wazungu hu2mia Johannes, John, n.k. Acha udini ndugu kwani dini si jina bali IMANI ya mtu mwenyewe.
 
Nimeuleta hapa kwa sababu kwanza, najua atauona lakini pili najua here is the home of the Great Thinkers.

Great thinkers hawajadili ujinga kama huu wa kwako ulioandika chooni wakati ukijisaidia haja kubwa.

Ungeuchambia na kuuacha huu ujinga huko huko chooni ulipokuwa.

kaka umeielewa lakini thread yangu

Of course, hakuna atakayedai ana hisa kwenye thread ya kijinga kama kama hii.

Ichukue kabisa rudi nayo kule kule chooni ulipokuwa.
 

Kaka hizo ni dalili za kutokujiamini,mimi sioni tatizo labda ungesema wenye majina ya yahaya ndo itakuwa tabu kwao,kwa sababu humo jide kamchora yahaya kama kijana mtanashati ambaye anaishi maisha ya kubangaiza na anajifanya mambo safi kumbe hana hela,anajifanya anaishi masaki kumbe kinondoni na nyumba anayoishi haijuilikani,naijua hiyo nyimbo haiko kama unavyoifikiria kaka,napingana na hisia zako kabisa ni potofu,unataka waislam waogopwe wamekuwa nani??,kumbuka jide hajazungumzia udini kamzungumzia YAHAYA..
 
  1. Siungi mkono ushauri wa mleta mada
  2. Siungi mkono "uhuru wa mawazo" unaouruhusu kuwaza alivyowaza mleta mada. Hakuna namna ubongo unaruhusiwa kuwaza hivyo. Hakuna. Nimesema hakuna.

Hivi dini ni kitu gani hiki kinachofanya watu wanachanganyikiwa hivi? Kwa namna dini inavyokuzwa hata Mungu inabidi awe muumini!! Dini inaogopwa kuliko Mungu mwenyewe!! Waafrika hao!!!

Dini dini, dini dini... mpwampwa..mpwampwa... kero bana!!

NB. Mleta mada usijipe moyo kwa kusema haya ni maoni yangu... maoni yako hayatakiwi kuwepo popote pale...iwe katika kichwa changu au chako.
 

wisely writen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…