njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,144
- 6,942
Huo wimbo ulishaimbwa zamani, mr.paul alifanya kuurudia tu. Hata hivyo huwezi kufananisha maudhui ya wimbo wa zuwena na huu wa yahaya, coz kwenye wimbo wa zuwena mr.paul anazungumzia namna alivyo shtushwa na taarifa za ajali ya mchumba wake aitwaye zuwena. but huu wa yahaya , jide ambaye ni mristo anazungumzia tabia mbaya zinazo fanywa na mtu ambaye ana jina la kiislamu, not the fact that wimbo umetoka katika kipindi hiki ambapo ishu ya udini Tz iko vey sensitive
i do respect you, the fact is you are my brother in Islam , anyways my case is settled ... just don't be too sensitive kwa issue zisikuwa na maana kama hizi esp. majina ... ni ushauri tu! muslims we have issues nyingi sana to worry about ...
you have good day