mwanzisha mada ndo unatufundisha ubaguzi.
ukitaka kubaguliwa kila kitu utachukia..ukiwa mfupi utachukia warefu.
-ukiwa mweupe utachukia weusi.
-ukiwa mwembamba utachukia wanene.
-Ukiwa maskini utachukia matajiri.
Inategemea wewe unataka nini..huwezi kuzuia watu kupenda wanachotaka.
Sioni mantiki ya kuleta mabishano kwa sababu ya mambo ya binafsi,
-Huenda ukitaka unaweza kuacha kusikiliza mkuu wangu, mbona nyimbo ziko nyingi?
:shock: