Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
- Thread starter
- #101
koku huwa anacheka nikimwambia traditionaly kwetu wanawake walikuwa hawaruhusiwi kula senene wala nyama ya mbuzi wala firigisi.Bishanga Wosia wako mzuri sana kwa binti yako Koku ingawa una mapungufu kidogo, maana hujamueleza mila na desturi za kule kwetu. Usipoangalia akiolewa ndoa itamshinda kwa kuwa atakula senene zote bila kumuachia mme. Kwetu wa-aya hili ni kosa la jinai labda tu uwe na uhakika kwamba ataolewa na nyamaanga!