Waraka wa wazi kwa mwanangu Koku

Waraka wa wazi kwa mwanangu Koku

Bishanga Wosia wako mzuri sana kwa binti yako Koku ingawa una mapungufu kidogo, maana hujamueleza mila na desturi za kule kwetu. Usipoangalia akiolewa ndoa itamshinda kwa kuwa atakula senene zote bila kumuachia mme. Kwetu wa-aya hili ni kosa la jinai labda tu uwe na uhakika kwamba ataolewa na nyamaanga!
koku huwa anacheka nikimwambia traditionaly kwetu wanawake walikuwa hawaruhusiwi kula senene wala nyama ya mbuzi wala firigisi.
 
Yaani hivi kweli Bishanga yuko radhi kumpeleka Koku kwingine kuliko kuanza na mimi wa karibu....but wait unajua Bishanga huu muda Koku aliomaliza shule ingekuwa vizuri nikawa naonana nae kumpa nasaha mbili tatu...i tell you from the bottom of my heart, hands, fingers and legs..you'll see the positive change in her
kila siku jioni huwa anakwenda kucheza basket kwenye viwanja vya oysterbay polisi mkabala na nyumba ya ocd,karibu.
 
kila siku jioni huwa anakwenda kucheza basket kwenye viwanja vya oysterbay polisi mkabala na nyumba ya ocd,karibu.
Yule OCD ni family friend wetu kama huwa anaenda kucheza maeneo ya pale basi inshallah jioni naweza kuwa napita hapo walau niseme na Koku maneno mawili matatu nitamkaribisha nyumbani kwa OCD ili link ya familia yetu na ya kwako izidi kuwa kubwa..nafikiri kwa sasa hakuna kijana atakayemgusa maana baada ya kumtambulisha kwa OCD nitakuwa na uhakika wa kulindiwa Koku wangu..:eyebrows:
 
Litakapokuja suala la kuchagua taaluma ,ikiwezekana chagua taaluma ambayo unaipenda,fuata moyo wako usijilazimishe kufuata mkumbo au kunifurahisha mimi mzazi wako.Katika taaluma yako fanya kazi kwa bidii na penda kazi yako.Hakuna mwajiri huwa anamlipa mwajiriwa stahiki yake,jifunze kudai unachostahili kulingana na uwezo na mchango wako kwa mwajiri.
Mzee mwenzangu yote uliyonena nimekubalian na wewe kwa % 100, lakini hapo kwenye bold na nyekundu, mh! nimeshawishika kuweka mtazamo wangu, si unajua wazee wanapowashauri watoto wao kuna wakati huchota busara kwa wazee wenzao! Nomba niweke yangu machache hapa ingawa najua sio wengi wenye mtazamo huo.

Kwa mimi ningemshauri mwenetu Koku asome kwa bidii sana na aweke nguvu zake kwenye kujiajiri kuliko kuajiriwa, kwani huo ndio ukombozi pekee uliobaki kwa kizazi hiki tulicho nacho. Siku hizi yatupasa sisi wazazi tuonyeshe mwamko mpya wa kuwashauri wenetu kuweka uzingativu zaidi katika kujiajiri na kuwekeza, hata kama itatokea kuajiriwa, iwe ni njia tu ya kuelekea huko kwenye kujiajiri au kuwekeza.

Nakushukuru sana kwa barua barua hii ya wazi na sio kwa Koku tu bali pia naamini wenetu kama kina Cantalisa, Smile, Kabakabana na wengineo watakuwa wamenufaika na waraka huu.......................
 
Asante sana Baba Koku hii msg imeenda kwa Koku na kwetu pia ...ubarikiwe sana Bishanga Avatar yako imejaa hekima😛oa
 
waraka mzuri, umetulia.

Ngoja niedit kisha nauprint niubandike kwenye kitanda cha mwanangu, akikua aukute, utamsaidia sana. Hongera Baba Koku.
 
Mdogo nani? Mimi au mwanangu?

lol wote wawili, kwangu mimi wewe mdogo, afu tena mtoto mdogo, so wote wadogo....afu kunigandisha pale stendi ubungo sio fresh (hivi si nilikuita nikunong'oneze)
 
lol wote wawili, kwangu mimi wewe mdogo, afu tena mtoto mdogo, so wote wadogo....afu kunigandisha pale stendi ubungo sio fresh (hivi si nilikuita nikunong'oneze)
Hahaha! Nilikuja sijakukuta! Hebu nnong'oneze sasa...
 
Back
Top Bottom