koku huwa anacheka nikimwambia traditionaly kwetu wanawake walikuwa hawaruhusiwi kula senene wala nyama ya mbuzi wala firigisi.Bishanga Wosia wako mzuri sana kwa binti yako Koku ingawa una mapungufu kidogo, maana hujamueleza mila na desturi za kule kwetu. Usipoangalia akiolewa ndoa itamshinda kwa kuwa atakula senene zote bila kumuachia mme. Kwetu wa-aya hili ni kosa la jinai labda tu uwe na uhakika kwamba ataolewa na nyamaanga!
kila siku jioni huwa anakwenda kucheza basket kwenye viwanja vya oysterbay polisi mkabala na nyumba ya ocd,karibu.Yaani hivi kweli Bishanga yuko radhi kumpeleka Koku kwingine kuliko kuanza na mimi wa karibu....but wait unajua Bishanga huu muda Koku aliomaliza shule ingekuwa vizuri nikawa naonana nae kumpa nasaha mbili tatu...i tell you from the bottom of my heart, hands, fingers and legs..you'll see the positive change in her
Yule OCD ni family friend wetu kama huwa anaenda kucheza maeneo ya pale basi inshallah jioni naweza kuwa napita hapo walau niseme na Koku maneno mawili matatu nitamkaribisha nyumbani kwa OCD ili link ya familia yetu na ya kwako izidi kuwa kubwa..nafikiri kwa sasa hakuna kijana atakayemgusa maana baada ya kumtambulisha kwa OCD nitakuwa na uhakika wa kulindiwa Koku wangu..:eyebrows:kila siku jioni huwa anakwenda kucheza basket kwenye viwanja vya oysterbay polisi mkabala na nyumba ya ocd,karibu.
And this cat is on another level...:eyebrows:curiousity killed the cat!
Mzee mwenzangu yote uliyonena nimekubalian na wewe kwa % 100, lakini hapo kwenye bold na nyekundu, mh! nimeshawishika kuweka mtazamo wangu, si unajua wazee wanapowashauri watoto wao kuna wakati huchota busara kwa wazee wenzao! Nomba niweke yangu machache hapa ingawa najua sio wengi wenye mtazamo huo.Litakapokuja suala la kuchagua taaluma ,ikiwezekana chagua taaluma ambayo unaipenda,fuata moyo wako usijilazimishe kufuata mkumbo au kunifurahisha mimi mzazi wako.Katika taaluma yako fanya kazi kwa bidii na penda kazi yako.Hakuna mwajiri huwa anamlipa mwajiriwa stahiki yake,jifunze kudai unachostahili kulingana na uwezo na mchango wako kwa mwajiri.
mama Koku? that is another story,tutaongea siku nyingine,naishi na binti yangu,anamaliza form 4.
Koku mambo baba si atakuwa ameenda kuoga sasa hivi nitumie namba yako ya siku basi..hakikisha hajui kama tunawasiliana fanya haraka kabla hajamaliza kuoga..Ahsante baba, nimesikia.
Koku mambo baba si atakuwa ameenda kuoga sasa hivi nitumie namba yako ya siku basi..hakikisha hajui kama tunawasiliana fanya haraka kabla hajamaliza kuoga..
ohoooo......Koku mambo baba si atakuwa ameenda kuoga sasa hivi nitumie namba yako ya siku basi..hakikisha hajui kama tunawasiliana fanya haraka kabla hajamaliza kuoga..
Kumbe badomdogo kabisa SL lolwaraka mzuri, umetulia. Ngoja niedit kisha nauprint niubandike kwenye kitanda cha mwanangu, akikua aukute, utamsaidia sana. Hongera Baba Koku.
Kumbe badomdogo kabisa SL lol
Mdogo nani? Mimi au mwanangu?
Hahaha! Nilikuja sijakukuta! Hebu nnong'oneze sasa...lol wote wawili, kwangu mimi wewe mdogo, afu tena mtoto mdogo, so wote wadogo....afu kunigandisha pale stendi ubungo sio fresh (hivi si nilikuita nikunong'oneze)
Ohooooo....lol wote wawili, kwangu mimi wewe mdogo, afu tena mtoto mdogo, so wote wadogo....afu kunigandisha pale stendi ubungo sio fresh (hivi si nilikuita nikunong'oneze)
Ohooooo....