mmmmh!
curiousity killed the cat!
TF!!!!!!nakuweka kiporo,ngoja niangalie mechi ya aseno kwanza.Yule OCD ni family friend wetu kama huwa anaenda kucheza maeneo ya pale basi inshallah jioni naweza kuwa napita hapo walau niseme na Koku maneno mawili matatu nitamkaribisha nyumbani kwa OCD ili link ya familia yetu na ya kwako izidi kuwa kubwa..nafikiri kwa sasa hakuna kijana atakayemgusa maana baada ya kumtambulisha kwa OCD nitakuwa na uhakika wa kulindiwa Koku wangu..:eyebrows:
Ta Mtambuzi,nimekupata sana,tatizo kuna siku mdau Lizzy aliweka uzi kukemea utegemezi na yalisemwa mengi likiwemo la wazazi matajiri kuwazibia watoto fursa ya kutafuta wenyewe pa kutokea.Mkuu mimi ni mjasiriamali ndo mana sitaki kumshauri mtoto achukue route yangu maana nisingependa nimshawishi wala kumsukuma a join 'family business'.Mzee mwenzangu yote uliyonena nimekubalian na wewe kwa % 100, lakini hapo kwenye bold na nyekundu, mh! nimeshawishika kuweka mtazamo wangu, si unajua wazee wanapowashauri watoto wao kuna wakati huchota busara kwa wazee wenzao! Nomba niweke yangu machache hapa ingawa najua sio wengi wenye mtazamo huo.
Kwa mimi ningemshauri mwenetu Koku asome kwa bidii sana na aweke nguvu zake kwenye kujiajiri kuliko kuajiriwa, kwani huo ndio ukombozi pekee uliobaki kwa kizazi hiki tulicho nacho. Siku hizi yatupasa sisi wazazi tuonyeshe mwamko mpya wa kuwashauri wenetu kuweka uzingativu zaidi katika kujiajiri na kuwekeza, hata kama itatokea kuajiriwa, iwe ni njia tu ya kuelekea huko kwenye kujiajiri au kuwekeza.
Nakushukuru sana kwa barua barua hii ya wazi na sio kwa Koku tu bali pia naamini wenetu kama kina Cantalisa, Smile, Kabakabana na wengineo watakuwa wamenufaika na waraka huu.......................
nshakwambia we umedata,kwanza mwone pua kama la Rejao!
eti eh? Muhuni huyu TF!
Mara wewe,mara SL,mara smile,sasa tumchukulie vipi?
eti eh? Muhuni huyu TF!
Mara wewe,mara SL,mara smile,sasa tumchukulie vipi?
unamwogopa?