Waraka wa wazi kwa The Finest.

Waraka wa wazi kwa The Finest.

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,075
Ninapoandika waraka huu ni dakika moja baada ya kumalizika birthday yako.Hongera.
Binafsi nimekuwa memba yapata muda sasa ndani ya jamvi hili la jf.Kama ni kuona nimeona mengi humu.Kwa kifupi i am a keen observer of the goings around here. Niseme neno moja:
afrodenzi anakupenda!
Ushauri wangu kwako:
Mpende afrodenzi
Muenzi afrodenzi
Mfanye afrodenzi awe kitovu cha dunia yako
Mkabidhi afrodenzi tunu ya roho yako
Katu usim cheat
Awe mboni ya jicho lako
Daima dumu
Na Inshallah
Mkijaliwa kuoana
Wanenu wakue vyema
Wawe mfano wa tabia njema
Ameeen.
Ps:
Kwa kuzingatia uzito wa waraka huu bishanga hatapost tena chochote kwenye uzi hu,alamsiki!
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahahahah,

Bishanga bwana unatisha...Umeandika haya kweli bila motivation ya kitu (brown envelope)??

Haya bwana TF...ushindwe mwenyewe!!

Happy B/day kama ni kweli!

Babu DC!!
 
Hahahahahahahah,

Bishanga bwana unatisha...Umeandika haya kweli bila motivation ya kitu (brown envelope)??

Haya bwana TF...ushindwe mwenyewe!!
Hahahahaha. Darkcity

Happy B/day kama ni kweli!

Babu DC!!
Hahahaha.. DarkCity brown envelope
 
Last edited by a moderator:
Hebu basi mjukuu wangu ninong'oneze, huyu bepari umekatia kama msimbazi ngapi vile?

Babu DC!!
Lol...Babu DC mimi sio kama wale wabunge wa CCM waliokuwa wanagombea ubunge wa Afrika Mashariki
 
Bishanga, umewshawa wee hadi umejikuna na kutumbua kipele.

Ila fynest, kazia hapo hapo kama bishanga avosema ndo maana jana alikuwa katingwa na umbea.
 
Last edited by a moderator:
Aaah!Sisi yetu macho,mabakuli yetu yamefungwa for good!
 
bishanga mbona kama unamkuwadia finest?
ndio mambo ya marriage consultant?
finest kaz kwako na hongera sana una bahati yaani hadi kuwadi unaye??????????????????????
 
Bishanga umejitahidi kweli kumtafutilia penalti TF sasa ngoja tuone atavyopiga penalti hiyo kuelekea lango la Afrodensi hapa, namuona golikipa machachari kabisa Afrodensi yupo golini pale kulinda lango lake vyema.

Refarii Bishanga anapuliza filimbi pale, mashabiki wote wa JF wanamuangalia TF anavyokwenda kupiga ile penalti.

Haya moja mbili anakwenda TF anapiga mpira ule, anapiga mpira ule AME .......

Ame....... inaweza kuwa amepata aua amekosa.

Nipeni mji niwamalizie kama amekosa au kapata.
 
Hahahaaaaaa inaelekea Bishanga refarii mzuri sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom