FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
afrodenzi wengi ? mi nilidhani wote... :biggrin:Bishanga...
umekunywa nini tu leo?? Tongwa ama Busa?
Kwa kifupi nawapenda wengi akiwepo The Finest..
sun wuafrodenzi wengi ? mi nilidhani wote... :biggrin:
Is there any space left to be loved if not yet in the list ? :hail:
Westlife - My Love (With Lyrics) - YouTube
afrodenzisun wu
my dear nikisema wote ntakuwa nadanganya bali wegi ni sahihi zaidi..
usjali kwenye list umeingia , bali ukinitibua nyongo nakutoa mkuku :yawn: hahahah
KAribu..
thanks for the song.
Bishanga...
umekunywa nini tu leo?? Tongwa ama Busa?
Kwa kifupi nawapenda wengi akiwepo The Finest..
FirstLady1Niko powah afrodenzi hofu kwako
Yaani kuna kitu nilikuwa nataka kufanya nimepitia ma detail nikagundua am missing something
please check ur inbox
afrodenzi
Ha ha ha haa once am in will cherish the moment and will make sure kwamba sikutibui wala sitoki.., ila nikikutibua naomba msamahaa kabla kabisa.., you know we humans are weak na makosa is part of our life.., so if i do you wrong please forgive me...
These Arms - All 4 one - YouTube
LosamboHaya wasikilizaji ile penalti iliyopigwa n TF hatimaye golikipa machachari ameicheza na kugonga mwamba kisha kutoka nje.
Kiukweli TF alipiga shuti kali lakini umakini wa golikipa umeisadia timu yake na kufanya matokeo bila bila.
Kwa mantiki hiyk Afrodensi anawapenda wengi nikiwemo mimi Losambo mtangazaji wako hapa katika mpambano ulikwisha wa sare, wengine ni PakaJimmy, Asprin, Bishanga mwenyewe, Krolokwini, Bigirita, Babu DC, BAK, Tumbiri, Mr. Rocky daaaah list ni ndefu kweli lakini wote ambao hamjaona majina yenu Afrodensi anawapenda sana.
Kutoka jukwaa MMU ni mimi mtangazaji wako nuksi Losambo.
Kongosho upo timu gani mpenzi?
Je unampenda afrodenzi awe mke wako kwenye shida na kula bata?